Dr Bahati Kaluwa katutoka

Dr Bahati Kaluwa katutoka

So sad, apunzike anapostahili
kizuri hakidumu.
 
Sababu ya umauti nini?

Alikuwa anafanya Phd Germany aliporudi likizo mwka jana dec akanza kuumwa ndo ikajulikana anaumwa Kansa ya MAPAFU, ametibiwa india for 6mnth at last ametutoka Dr.
 
kira nafsi itaonja umauti. Mungu amuepushe na adhabu ya kaburi
 
R.I.P Dr. Mungu aitie uvumilivu familia na ndugu katika kipindi hiki kigumu amen
 
pole yetu sote na wafiwa wote Mungu awape faraja katika kipindi hiki kigumu, very yough aisee
 
Nimeona picha yake na familia, inasikitisha sana kwani kaacha watoto wadogo sana!
 
a gentleman and a star gone too soon

you will dearly be missed... my heart goes to his young and beautiful family
 
Dah! Pole sana Dr. Grace, class mate wangu. Dr. Bahati tumecheza nae sana pool table DARUSO-MUHIMBILI. Mungu amlaze mahali anapostahili. Amen
 
R.I.P doctor, wewe tangulia na sisi tunafuata nyuma. Huko kila mtu aliyezaliwa lazima afike tu
 
Back
Top Bottom