Dr alphonce ndibalema wa udsm hatunae tena

Dr alphonce ndibalema wa udsm hatunae tena

wagagagigikoko

Senior Member
Joined
Dec 5, 2010
Posts
163
Reaction score
49
Chuo kikuu cha dar es salaam kimempoteza mhadhili wake mahili dr ndibalema. Msemaji wa familia amesema kifo chake kimetokana na mshituko wa moyo ( presha). Mungu aiweke mahali pema peponi roho ya marehemu ndibalema amini!!
 
Roho ya marehemu Dr. Ndibalema (na wengine wote) wapate rehema kwa Mungu, wapumzike kwa amani.
 
rip...But we haVE to know thAT God is in control.
Poleni sana wandugu zake.
 
Bwana alitoa
bwana ametwaa
jina la bwana lihimidiwe.
 
RIP Dr Ndibalema.......jamani naomba kama nitakuwa nimekosea nisahihishwe.....humu ndani tuna member anaitwa Ndibalema......ndie huyu?
 
RIP Dr. Ndibalema. Namkumbuka mzee huyu kwa vichekesho vyake wakati ananifundisha Educational Management pale UDSM miaka michache iliyopita.
 
RIP Dr Ndibalema.......jamani naomba kama nitakuwa nimekosea nisahihishwe.....humu ndani tuna member anaitwa Ndibalema......ndie huyu?
Preta I was just about 2 ask the same question, ngoja wanaofahamu watujuze.
 
RIP Dr. Ndibalema. Poleni UDSM/Mungu awatie nguvu, naona mmeandamwa sana siku za karibuni; maana juzi juzi mmempoteza yule Prof. wa Golf, na pia niliona thread nyingine ya dr. mmoja engineer.
 
Back
Top Bottom