analysti
JF-Expert Member
- Aug 24, 2009
- 729
- 612
Wadau msipige kelele, leteni authority na criteria hapa na siyo porojo.
Mtake msitake Aisha ni Daktari Msaidizi kwa kiingereza ni Assistant Medical Officer, na anaitwa Daktari kwa mujibu wa mamlaka zote na amesajiliwa na kupewa leseni.
You have said all!! JF sasa inageuka kuwa forum ya personal attacks.
Mnozya,
Hii ni public forum, na kwa kuzingatia definition ya majungu, humu hamna majungu kwa kuwa Aisha kigoda hajazuiwa kuingia na kuangalia pamoja na kushiriki mijadala.
Na kwa ushauri si busara kuita watu malimbukeni publickly hata kama ungekuwa unamjua unayejadiliana nae. kwani ni daalili ya kukosa uvumilivu(tolerance).
Argue without insulting, hapo ndo tutakuwa tunajenga, toa vielelezo vya kutosha na shawishi watu. Tofauti na hapo mantiki nzima ya hii forum inakuwa compromised!