'Dr' Aisha Kigoda

'Dr' Aisha Kigoda

Na kama ni sergeon Akipata PhD tu anapoteza Hadhi yake ya U Dr. Anaitwa Mr. au Miss. Mpo Hapo?

Labda ungefafanua zaidi.Wengi wenye PhD huku kwetu hupenda kuitwa Dr.Lkini wenzetu utakuta wanajiita Ms.Condoleeza Rice PhD,huyu mama hajawahi kujiita Dr hata siku moja.

Sasa kama ni surgeon na akapata Phd atabaki kuwa Dr ila akipenda ataweka hiyo PhD salutaion mwisho.
 
Degree or equivalent, hii phrase huwa naiona sana wakati wa ku-apply for further studies na wakati wa kuomba kazi, je wakuu maana ya or equivalent ndio maana AMO anakuwa Dr n.k n.k n.k?
 
Dr. anayepoteza Hadhi yake salutation ya UDr. sergeon tu. Lakini Dr yeyote awe wa kutibu ama PhD holders watabaki kuitwa Dr.
 
Ndugu wana jamii nafikiri mtoa hoja yupo sahihi. Unajua hizi title ziliwekwa for a purpose, for official use. Officially mtu mwenye uwezo wa kutumia title ya Dr ni mtu mwenye moja wapo au zaidi ya sifa zifuatazo
1. Mtu mwenye shahada ya kwanza ya udaktari wa binadamu yaani MD degree kutoka kwenye chuo chochote kinachotambulika na serikali.
2. Mtu mwenye shahada ya kwanza ya udaktari wa meno ya binadamu yaani DDS kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na serikali
3. Mtu mwenye shahada ya kwanza ya udaktari wa mifugo yaani BVM kutoka chuochochote kinachotambuliwa na serikali
4. Mtu mwenye shahada ya uzamivu yaani Phd katika field yoyote ile kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na serikali

Hivyo basi, matumizi ya title ya Dr kiofisi kwa mtu yeyote yule asiye kuwa na angalau mojawapo ya sifa tajwa hapo juu ni batili. Na ndio maana hata waganga wa kienyeji hujiita Dr au professor lakini kamwe huwezi kukuta jina lake linaazia na Dr au Prof katika nyaraka zozote za kiserikali.
Hivyo Aisha kigoda kama hana mojawapo ya sifa tajwa hapo juu, aache maramoja kutumia hiyo title, kwani kuendelea kuitumia kinyume cha sheria ni kuwa hadaa watanzania na wapiga kura wake, na inaweza kuleta hali ya mashaka katika uwezo wake na uhalali wake wa kutuongoza.
 
Ngoja jamani niwaeleweshe.

AMOs are not supposed to be called a Doctor as in medical studies.A person who is entitled to a Doctor's title is one who has completed a thorough 5 years of Medical School.In Medicine a person who aquires a diploma is not entitled to be called a Doctor period.There is a vast difference between a a degree course and a diploma course.A degree course costs the hell of five years,and diploma just costs 2 years.A degree course is a really intensive course to mould a person to become a doctor,while diploma is just a brushing course to understand the concept of medicine.

A doctor with degree can explain the pathophysiology of the disease,but AMO can not as he has not done so many subjects as a degree holder has done.A degree holder does one year of Anatomy,but AMO does not.So an AMO even doesnt know what and where the muscle is inserted,what the anatomy of the organ he doesnt know....

Degree holders do Biochem,Physiology,Microbiology,Pathology,Epidemiology,Pharmacology,but AMO even doesnt know what these courses are.MD understands how the medicine works in your body,but AMO doctor does not.

So please guys,respect the one who has lost his sleep for five years and and one year of internship,as AMO even doesnt undergo internship.They are supposed to be addressed as Mr.or Mrs,and r supposed to work under a qualified MD.period.
 
Ngoja jamani niwaeleweshe.

AMOs not supposed to be called a doctor as in medical studies.A person is entitled to a Doctor's title is one who has completed a thorough 5 years of medical school.In medicine a person who aquires a diploma is not entitled to be called a doctor period.There is a vast difference between a a degree course and a diploma course.A degree course costs the hell of five years,and diploma just costs 2 years.A degree course is a really intensive course to mould a person to become a doctor,while diploma is just a brushing course to understand the concept of medicine.

A doctor with degree can explain the pathophysiology of the disease,but AMO can not as he has not done so many subjects as a degree holder has done.A degree holder does one year of anatomy,but amo does not,so amo even doesnt know what and where the muscle is inserted,what is the anatomy of the organ he doesnt know.

Degree holders do biochem,physiology,microbiology,pathology,epidemiology,pharmacology,but AMO even doesnt know what these courses are.MD understands how the medicine works in your body,but AMO doctor does not.

So please guys,respect the one who has lost his sleep for five years and and one year of internship,as AMOeven doesnt undergo internship.They are supposed to be adressed as Mr.or Mrs,and r supposed to work under a qualified MD.period.

Nuff sed Great Thinker.
Kamata tano ya nguvu kwa haya maelezo.
 
one thing more,to enter a Medical College for a degree course one needs a pass in Advanced Level,with either division one or an upper two,but to do a course of AMO,even a form four division four can persue this course,but u can never enter a degree course without a pass in your advanced levels.

so there is a huge difference btn these two cadres,which will never meet.ma AMO wanojiita ma doc,please respect the school.If u wanna be called a doc,than go to school again for 5 years and one year of thorough internship.period.
 
Ngoja jamani niwaeleweshe.

AMOs are not supposed to be called a Doctor as in medical studies.A person who is entitled to a Doctor's title is one who has completed a thorough 5 years of Medical School.In Medicine a person who aquires a diploma is not entitled to be called a Doctor period.There is a vast difference between a a degree course and a diploma course.A degree course costs the hell of five years,and diploma just costs 2 years.A degree course is a really intensive course to mould a person to become a doctor,while diploma is just a brushing course to understand the concept of medicine.

A doctor with degree can explain the pathophysiology of the disease,but AMO can not as he has not done so many subjects as a degree holder has done.A degree holder does one year of Anatomy,but AMO does not.So an AMO even doesnt know what and where the muscle is inserted,what the anatomy of the organ he doesnt know....

Degree holders do Biochem,Physiology,Microbiology,Pathology,Epidemiology,Pharmacology,but AMO even doesnt know what these courses are.MD understands how the medicine works in your body,but AMO doctor does not.

So please guys,respect the one who has lost his sleep for five years and and one year of internship,as AMO even doesnt undergo internship.They are supposed to be addressed as Mr.or Mrs,and r supposed to work under a qualified MD.period.

KUNANI PALE TANGA!
Ni kweli AMO hawastahili kuitwa Dr, lakini usipotoshe jamii kwa kusema kuwa hawa watu hawafahamu Physiology, Biochem,Micro, Pharmacology. Ukweli ni kwamba wanafahamu masomo hayo na wanajua kwa kiwango cha AMO
 
one thing more,to enter a Medical College for a degree course one needs a pass in Advanced Level,with either division one or an upper two,but to do a course of AMO,even a form four division four can persue this course,but u can never enter a degree course without a pass in your advanced levels.

so there is a huge difference btn these two cadres,which will never meet.ma AMO wanojiita ma doc,please respect the school.If u wanna be called a doc,than go to school again for 5 years and one year of thorough internship.period.

Nina cousin wangu yuko kijijni ambaye alifanya hii kozi ya AMO na anatembea na stethescope akigawa Panadol na kwinini kutibu malaria na watu wanamuita Dr. Japheth. Alafu nina kakangu tumbo moja ambaye alisota hio miaka mitano na mwengine mmoja wa internship na kwa sasa anapiga diploma ya kuspecialise in a particular field, nadhani ni Obstetrics na Gyns, na yeye ni Dr pia.

Basi tulipokua msibani kwa bibi ilikua vichekesho kweli maana ilikua kaazi kweli kweli watu walipojaribu kuwatofautisha. Hata hivyo AMO alikaa kikalio cha chini maana alijua hawezi kutamba mbele ya bro mdogo.

Lets be Great Thinkers wana-JF na tuwache uzalendo na kushabikia hali ambayo kwamba tunajua si kweli bali we are just pleasing our egos.

Regards.
 
analysti,hebu kaangalie hiyo cariculum ya amo,halafu uje uniambie kama mimi napotosha umma.kaangalie hiyo carriculum yao na miwani kama inabidi,na uniambie wanasoma mwaka gani na kwa muda upi hizo courses ambazo nimezitaja,ndio uje uni condemn.mimi binafsi nimefundisha amo kwa miaka mingi tu,na najua ni course ya aina gani na hapo nilikuwa ni md tu,na nilikuwa nawafundisha.huwezi kuniambia hata siku moja wamesoma hizp course,sana sana watosoma in the ward,kama md atawapa shule,kama na md siyo muongeaji sana kwenye ward rounds hiyo shule hawaipati.in md course unasoma pharmacology na hizo course nyingine for one year na una zifanyia mtihani.
 
KUNANI PALE TANGA!
Ni kweli AMO hawastahili kuitwa Dr, lakini usipotoshe jamii kwa kusema kuwa hawa watu hawafahamu Physiology, Biochem,Micro, Pharmacology. Ukweli ni kwamba wanafahamu masomo hayo na wanajua kwa kiwango cha AMO

Hii topic huja kila linapokuwepo Bunge pale Dodoma, je ina mahusiano na siasa za maji taka? Nimewahi kukutana na madaktari wengi wa kutoka USA na kitu kimoja kilichonishangaza wao hawapendi kujitambulisha kama doctor...fulani, bali wanatumia zaidi Mr, kwa Tanzania jina doctor ni deal wakati elimu yenyewe ndio hii tunayoijua na vitendea kazi vyao primitive, lakini napendekeza aitwe "Mganga wa Binaadamu"
 
Kusema AMO ni dr ni sawa na kusema katekista au muijilisti ni Askofu! Incompatibles!

Mkuu, hii nayo ni mada nyingine kabisa maana kuna 'maaskofu' hata haifahamiki uaskofu wao waliupata vipi na nani aliwapatia
 
mmakonde,
Lets be fair. Una hakika kuwa Muhimbili haina AMO's? Unasemaje kuwa Hospitali nyingi za wilaya Tanzania zilikuwa chini ya AMO's ( for lack of MD's) na wamefanya kazi nzuri sana. Wakati wote hao wameitwa madaktari. Je unafahamu kuwa WHO imetambua kada hiyo, na imekubaliwa kuwa hata na specialization, mathalan AMO (opthalmology)n.k. Nadhani unahitaji kutuwekea details zaidi ili Jamvi hili likuelewe vizuri.

Haya, na Professa Majimarefu? Dr Kifimbo? Dr nani nani nani nani....? Kutoka SUmbawanga, kutoka Ujiji, Kutoka Bagamoyo, Kutoka Tanga..... na wapi tena vile...? Hao nao wamefanya kazi nzuri sanaaa! Ng'wijukulu ng'wana jilala, ...... hatujui chuo chao kiko wapi na wanasajili vipi wanafunzi wapya, si bora RMA anafahamika shule alikosomea?

Leka
 
Wadau msipige kelele, leteni authority na criteria hapa na siyo porojo.

Mtake msitake Aisha ni Daktari Msaidizi kwa kiingereza ni Assistant Medical Officer, na anaitwa Daktari kwa mujibu wa mamlaka zote na amesajiliwa na kupewa leseni.

........Aisha ni Daktari Msaidizi kwa kiingereza ni Assistant Medical Officer, na anaitwa Daktari..........

Daktari msaidizi = Daktari

Naibu Waziri = Waziri

Assistant Coach = Coach

Advanced Diploma = Degree

Kaaaaazi kweli kweli! Watu kwa kupenda misifa bana!?
 
Wadau msipige kelele, leteni authority na criteria hapa na siyo porojo.

Mtake msitake Aisha ni Daktari Msaidizi kwa kiingereza ni Assistant Medical Officer, na anaitwa Daktari kwa mujibu wa mamlaka zote na amesajiliwa na kupewa leseni.

Aisha kigoda ni afisa Tabibu, siyo Daktari.
Tunachozungumza ni kwamba, hatuwezi kuwakataza wagonjwa kumwita daktari, ila haitakiwa yeye atambulishwe rasmi kama daktari either katika vyombo vya habari au sehemu yoyote ambapo jina lake linakua refered.
 
Wakuu si vema kutoa comments katika kitu ambacho huna upeo nacho. Dr Aisha ni daktari msaidizi, ana Advanced Diploma na kwa mujibu wa miundo ya utumishi wa kada zilizochini ya wizara ya Afya huyo ni anaitwa Dr, na ndiye anayetakiwa kuwa mkuu wa kituo cha Afya (Health Center), Pia anaruhusiwa kufanya upasuaji kama wa akina mama kujifungua.

Medical assistant siku hizi wanaitwa Clinical officer kwa kiswahili ni TABIBU hawa wana diploma ya kawaida na ndio wanaotakiwa kuwa wakuu wa zahanati (dispensary) NA HAWARUHUSIWA KUFANYA UPASUAJI NILIOUTAJA HAPO JUU.

Acheni majungu na ulimbukeni, mnyonge mnyongeni lakini mpeni haki yake, Aisha ni Dr.
You have said all!! JF sasa inageuka kuwa forum ya personal attacks.
 
Dawa ni kukubaliana kutokubaliana. Inahitajika Board ya profession hii ya Udaktari inayofanana na kulingana kwa hadhi na NBAA ya wahasibu, NBMM ya wanunuzi, ERB ya wahandisi na ile ya Archtects & Quantity Surveyors.
Mamlaka zingine hizi ni utata mtupu.
 
Back
Top Bottom