Dr Aisha Kigoda ni daktari wa binaadamu ambaye ni licensed to doctorate as MDs wa Muhimbili University, Yes she has advanced Diploma in medicine which have accreditation to work as other MDs, mbona doctors wote toka Russia, Cuba etc vyeti vyao vinaonyesha kuwa ni Diploma in medicine na bado wakirudi hapa nyumbani mnawaita Doctors?
"Hata Muhimbili wanajua,ndio maana huwezi kupata AMO au Medical assistant hapo"
Kwa Muhimbili napenda kukuelimisha kidogo tu, ni mara chache sana utafanyiwa Operation pale muhimbili bila kupitia mikononi mwa hawa AMOs ambao wame specialize Anaesthesia, au mmakonde ukipata ukichaa wa akili utakutana na AMOS waliokatika fani ya vichaa na Usipoona vizuri macho yako basi wapo AMOs kibao katika kukusaidia wewe usiyependa waitwe Doctors, basi sawa AMOs sio doctor lakini nenda Hospitali za mikoani na wilayani eg Temeke, Ilala, Mwananyamala, Kigoma, Magu, Ngara, Ntwara etc halafu uje nalist ya MDs V/S hao bare footed doctors nafikiri utakuwa umejua wana umuhimu gani kwako wewe na watanzania wengine....wasalimie!