'Dr' Aisha Kigoda

Labda nikuulize kaswali kadogo; Baraza la Madaktari lipo kisheria? kwa act ipi ya Bunge? Uliambiwa wapi NBAA inafundisha?

Nadhani ufanye utafiti vizuri, KIFUPI NBAA wana mtaala wao na awards zao. Kuhusu baraza la madaktari kama hujui role yake nenda kaulize NA KWA KIFUPI HUWEZI KUPRACTICE BILA KUPATA LESENI YAO, NA UKIVUNJAA MIIKO WANAUWEZO KUKUNYANG'ANG'ANYA LESENI NA UKIPRACTISE BILA LESENI YAO NI KOSA LA JINAI.

ZAIDI FANYA UTAFITI MWENYEWE
 
Mnozya unaonekana unajua accounting.Huyu Ludovick Utoah , CAG,ambaye alikuwa muda mrefu NBAA,ana cheti gani cha accountancy?ACCA au CPA?Sijawahi kuiona CV yake.
 
Labda nikuulize kaswali kadogo; Baraza la Madaktari lipo kisheria? kwa act ipi ya Bunge? Uliambiwa wapi NBAA inafundisha?

KIFUPI NI HIVI
  1. NBAA WANA MITAALA YAO NA AWARDS ZAO.
  2. HUEZI KUFANYA KAZI YA UDAKTARI WA BINADAMU BILA KUPEWA LESENI NA HILO BARAZA NA LINAUWEZO KUKUNYANG,ANG,ANYA LESENI UKIKIUKA MIIKO
  3. PIA NI KOSA LA JINAI KUFANYA KAZI YA UDAKTARI WA BINADAMU BILA YA KUWA NA LESENI YAO.
Zaidi fanya utafiti ili ueweze kufahamu vizuri, nina mambo mengi ya kufanya.
 
Mnozya unaonekana unajua accounting.Huyu Ludovick Utoah , CAG,ambaye alikuwa muda mrefu NBAA,ana cheti gani cha accountancy?ACCA au CPA?Sijawahi kuiona CV yake.

No mimi sifahamu uhasibu ila ninafahamu vema miundo ya kada mbalimbali ilivyo.

Sijadhibitisha ila CAG nasikia anayo ya Canada, jina iitwavyo siikumbuki ILA SI CPA (T), wala ACCA ila hadhi yake ni sawa na hizo
 
Nadhani ufanye utafiti vizuri, KIFUPI NBAA wana mtaala wao na awards zao. Kuhusu baraza la madaktari kama hujui role yake nenda kaulize NA KWA KIFUPI HUWEZI KUPRACTICE BILA KUPATA LESENI YAO, NA UKIVUNJAA MIIKO WANAUWEZO KUKUNYANG'ANG'ANYA LESENI NA UKIPRACTISE BILA LESENI YAO NI KOSA LA JINAI.

ZAIDI FANYA UTAFITI MWENYEWE
Nashukuru ingawa haukunijibu. Baraza la Madaktari kama ilivyo TLS, MCT havina nguvu wala mamlaka unayoyaeleza hapo kisheria. Tuendelee na hoja iliyo mbele yetu.
 
Doctor means on health services somebody qualified and licensed to give people medical treatment (Encarta Dictionary)
 
AMO na MD si sawa kitaaluma,ingawa kwenye hizo sheme of services wanaweza kulipwa sawa au kufanya kazi sawa zaidi AMO akim-complememnt MD pale asipo kuwepo kwa sababu moja au nyingine.Ili AMO awe full MD inabidi aingie tena darasani kwa miaka miwili kama sikosei.Sasa tumsaidie huyu dada yetu aingie darasani ili ajiite Dr kwa nafasi.

Nadhani confussion inkuja kwa kuwa hatuna MD wa kutosha kwa hiyo hawa AMO wana complement hiyo deficiency tu.Sasa huyu dada angejiita Dr kule Handeni ingekuwa sawa kwa vile hakuna MD lakini kujiita Dr Tanzania(MoHSW) amabapo kuna ma MD kibao si sahihi.
 
waru bwana, me ningekushauri mwenye thread hii useme, medical assistance wote wasiitwe Dr.ila kwa ulimbukeni wako wakuweka siasa mbele umemuona ASHA KIGODA pekeyake.nonesense kabisa watanzania.

Yaani wewe ndio umeamua kututukana wabongo wote? Haya bana!!!!
 
Nashukuru ingawa haukunijibu. Baraza la Madaktari kama ilivyo TLS, MCT havina nguvu wala mamlaka unayoyaeleza hapo kisheria. Tuendelee na hoja iliyo mbele yetu.

Kifupi hizi ndio regulatory boardis za wizara ya afya. Zinatambulika kisheria na zina nguvu zote nilizozisema.

Regulatory Boardies of the Ministry​
javascript:print('print_div1')​
  • [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Registrar of Private Hospitals[/FONT]
  • [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]National Food control Commission[/FONT]
  • [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Optical Council of Tanganyika[/FONT]
  • [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Medical Council of Tanganyika[/FONT]
  • [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Pharmacy Board[/FONT]
  • [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Tanzania Nurses and Midwives Council[/FONT]
  • [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Private Health Laboratories Board[/FONT]
 
AMO na MD si sawa kitaaluma,ingawa kwenye hizo sheme of services wanaweza kulipwa sawa au kufanya kazi sawa zaidi AMO akim-complememnt MD pale asipo kuwepo kwa sababu moja au nyingine.Ili AMO awe full MD inabidi aingie tena darasani kwa miaka miwili kama sikosei.Sasa tumsaidie huyu dada yetu aingie darasani ili ajiite Dr kwa nafasi.

Nadhani confussion inkuja kwa kuwa hatuna MD wa kutosha kwa hiyo hawa AMO wana complement hiyo deficiency tu.Sasa huyu dada angejiita Dr kule Handeni ingekuwa sawa kwa vile hakuna MD lakini kujiita Dr Tanzania(MoHSW) amabapo kuna ma MD kibao si sahihi.

Vinginevyo labda u Dr wake ni kama wa Remmy na Kifimbo
 
Kifupi hizi ndio regulatory boardis za wizara ya afya. Zinatambulika kisheria na zina nguvu zote nilizozisema.

Regulatory Boardies of the Ministry​

  • [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Registrar of Private Hospitals[/FONT]
  • [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]National Food control Commission[/FONT]
  • [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Optical Council of Tanganyika[/FONT]
  • [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Medical Council of Tanganyika[/FONT]
  • [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Pharmacy Board[/FONT]
  • [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Tanzania Nurses and Midwives Council[/FONT]
  • [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Private Health Laboratories Board[/FONT]
Kama zipo kisheria kama ilivyo NBAA sikukatalii. NBAA ilianzishwa kwa Act No 33 ya mwaka 1972. Vinginevyo hizo zipo kiushauri tu.
 
Mkuu hebu tulia kwanza hapo hapo. Je unajua maana ya advanced diploma na zinakotolewa. Vyuo ambavyo havikuwa vyuo vikuu vilikuwa na vinatoa ADVANCED DIPLOMA amabayo ni equivalent to a DEGREE. Ukitoka hapo ni Masters straight wala husomi tena hizo bachelor degr. zenu. Upo hapo?

So what are you trying to justify here?
 
Dokta is a person who practise as a general practitioner or a consultant physician and surgeons....a dentist is not a dokta....or a pharmacist is not a dokta either....

Na kama ni sergeon Akipata PhD tu anapoteza Hadhi yake ya U Dr. Anaitwa Mr. au Miss. Mpo Hapo?
 
So what are you trying to justify here?

Tuwekane sawa kidogo...Advanced Diploma hapa Tanzania kwa cadre nyingi with exception ya Medicine and Engireeing zinakuwa parred.Mtu mwenye B.comm anakuwa sawa na mwenye ADA au ADCA na wtafanya mitihani sawa ya CPA kwa wahasibu.

Kwa vile tunaongelea AMO vs MD basi si sawa kama mtarejea hoja yangu ya awali.
 
we all know they are doing great job but that should not make us change them to become doctors, i think the issue is whether is professionally ok for them to be called mds
 
AMO ni Asst. medical Officer anayepata cheo hicho baada ya kumaliza mafunzo ya clinical Diploma. PERIOD na MD ni Medical Officer mwenye degree medicene. Hawafanani hata kidogo. Kama kuwa Asst ni sawa na cheo kamili basi hiyo kwenu. Ila washahili uvivu na kupenda kutukuza mtu ili wapate mradi wao ndio kifupi Dr. mbele kwa mbele!! Na huyo anyeitwa basi hawezi kukanusha ama kukataa SIFA ATI!!!
 
Back
Top Bottom