GHIBUU
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 4,432
- 3,016
DPP wa Watanzania Hajui Haki Maana yake nini!
Unawaweka watu kwa Mamia ndani Kwa Miaka zaidi ya Mitano eg. UAMSHO kwa sababu Eti uchunguzi Bado unaendelea..ni Kituko Kikubwa. #Munawadhulumu Wanadamu
Dhulma inaendelea Waislamu.. tumeufyata. Watanzania wamenyamaza kimya Kwasababu ya Ubinafsi. Mungu hawezi kuibariki Nchi na Mabalaa kamwe hayawezi kutuondokea tusitafute mchawi Wachawi ni sisi wenyewe.