ekomu1
JF-Expert Member
- Apr 15, 2018
- 295
- 330
Walikuwa wanavyoongea kama vidume walivyobananishwa kwakaaza kulia lia mara tunalawitiwa acheni wapate walichokuwa wanakitafutaHapa kuna deal inachezwa . na deal yenyewe ni kuidanganya dunia kuwa tanzania kuna ugaidi. Lkn Kikwete wewe na Seif iddi, Sheni na Haji Omar kheir laanutullahi na mmelaaniwa na Allah na mtaingia motoni nyote. Angalia leo wakristo wanaonesha huruma kwa kuwa wanajua kuwa UAMSHo hawana kesi ya kujibu na nyinyi waislamu niliowataja ndo mnaotaka waislamu wenzenu waendelee kuteseka. Hakika ghadhabu za Allah zikushikieni. Nawapongeza ndugu zangu wakristo wote walioonesha uungwana na kuunga mkono kilio cha waislamu cha kutaka UAmsho waachiwe huru kwa sababu hawana kesi ya kujibu.