kimu mazengo
JF-Expert Member
- Sep 30, 2018
- 927
- 734
Uchunguzi gani zaid ya miaka 4?? Na ni sheria gani mtuhumiwa kukaa ndani zaid ya miaka 4?? Utaratibu wa mtuhumiwa kukaa mahabusu ukoje??Bado uchunguzi unaendelea ukikamilika watapata malipo yao
Uchunguzi gani zaid ya miaka 4?? Na ni sheria gani mtuhumiwa kukaa ndani zaid ya miaka 4?? Utaratibu wa mtuhumiwa kukaa mahabusu ukoje??Bado uchunguzi unaendelea ukikamilika watapata malipo yao
Mkuu mambo ya kisheria na mambo ya kipolis mi unanionea kbsaa...Ni sheria gani ya mtuhumiwa kukaa mahabusu zaid ya miaka nne??
Ata miaka 20 uchunguzi unaendelea tukio walilokuwa wanataka kufanya ni kubwa sana lazima uchunguzi ufanyike kwa ufanisi ili kujua na mengine zaidiUchunguzi gani zaid ya miaka 4?? Na ni sheria gani mtuhumiwa kukaa ndani zaid ya miaka 4?? Utaratibu wa mtuhumiwa kukaa mahabusu ukoje??
Nilifikili naongea na mwanasheria kumbe ni msukule wa lumumba buku 7. Uelewa wako kisheria ni mdogo,njoo nikufundishe utaratibu mwendesha mashtaka(DDP).ujinga ni ugonjwa mbaya sana .achana na propaganda mfu.Ata miaka 20 uchunguzi unaendelea tukio walilokuwa wanataka kufanya ni kubwa sana lazima uchunguzi ufanyike kwa ufanisi ili kujua na mengine zaidi
Ww ndio msukuleNilifikili naongea na mwanasheria kumbe ni msukule wa lumumba buku 7. Uelewa wako kisheria ni mdogo,njoo nikufundishe utaratibu mwendesha mashtaka(DDP).ujinga ni ugonjwa mbaya sana .achana na propaganda mfu.
Jamaa acha kupaniki.mwanajf hapanik hata siku moja,au ni mjen wa jf??Ww ndio msukule
Ww ndio umepaniki sasa msukule wa lumumba imeingia aje apoJamaa acha kupaniki.mwanajf hapanik hata siku moja,au ni mjen wa jf??
Dpp sheria inamtaka mtuhumiwa kukaa mahabusu ndani ya masaa 48.sasa hawa mashehe wapo ndani zaid ya miaka nne .this 's violation of human rights.Ww ndio umepaniki sasa msukule wa lumumba imeingia aje apo
Muulize Bashite aliwaahidi nini walipomsomea dua ofisini?Ingawa evidence huwa ni ngumu kupatikana ktk tuhuma za rushwa lakini hii inahitaji ushahidi thabiti ili tuelewe ulichokisema
Walimkosea nini kwani Kikwete? Sasa kashaondoka madarakani kwanini mrithi wake asichukue hatua ya ama kuwaachia huru au ahakikishe kesi yao inasikilizwa na kumalizika kwa haraka? Mbona kuna watu wengine ambao serikali hii imewasafisha baada ya kua walizinguana na Mkwere? Mmoja wao ni Professor MahaluHawa masheikh si DPP, ni order ya Kikwete na Balozi Ali Idi,
Lakini wajue tu Allah hajawasahau..
Ata miaka 20 uchunguzi unaendelea tukio walilokuwa wanataka kufanya ni kubwa sana lazima uchunguzi ufanyike kwa ufanisi ili kujua na mengine zaidi
Dpp sheria inamtaka mtuhumiwa kukaa mahabusu ndani ya masaa 48.sasa hawa mashehe wapo ndani zaid ya miaka nne .this 's violation of human rights.
Vyombo vya dola vishawawekea plasta mdomoni ndo maana wapo kimya.Na wale wajitao human rights wako kimya, ni wanafiki
Walimkosea nini kwani Kikwete? Sasa kashaondoka madarakani kwanini mrithi wake asichukue hatua ya ama kuwaachia huru au ahakikishe kesi yao inasikilizwa na kumalizika kwa haraka? Mbona kuna watu wengine ambao serikali hii imewasafisha baada ya kua walizinguana na Mkwere? Mmoja wao ni Professor Mahalu
Si kweli, katiba gani inayo sema Mtuhumiwa kufungwa miaka 5 bila ya hatia?Jambo hili la kumhusisha Mzee wa Msoga si haki asilani kwani ni jambo mtambuka, ndio nakubaliana nawe kuwa tatizo lilikuwepo na bado lipo lakini halikuwa la utashi wake bali ni katiba iliyokuwa inatumika madarakani/iliyopo madarakani na ndio maana hata huyu wa sasa pamoja na kujinasibu kuwa mtetezi wa wanyonge lakini hapo amebaki hana meno, hivyo naamini issue hiyo haina mahusiano na mtu yeyote binafsi bali inagusa katiba yetu.
Si kweli, katiba gani inayo sema Mtuhumiwa kufungwa miaka 5 bila ya hatia?