Dowans: Another Richmond in making?

Dowans: Another Richmond in making?

I dont think so! ila nini tunaweza kufanya collectively, with more strength iliviwezekane now now sio kupewa porojo? when as a citizen of this nation can we stand and say enough is enough? where is the forum for young and not so young energetic citizen can come together and discuss issues openly? until such a time, we will move slowly but surely, ila it will take time! Dowe have such time???

Here is the Forum, right infront of your eyes. This tool has given us access to each others thoughts. Here we can now plan our next course of actions.

Tuanze na kupanga Maandamano ya kupinga wizi na kutokuchukuliwa hatua yeyote ya kisheria kwa mafisadi. Tunaweza kuwaalika viongozi wa upinzani (na wengineo walio tayari kutusaidia) kusema maneno machache. Bidii kubwa itabidi ifanyike kwenye kuhakikisha wanachi wengi wanashiriki au angalau wanasikia. Awareness! Pia tujaribu kuwafahamisha, uhusiano wa moja kwa moja kati ya ufukara wao na hii serikali iliyojaa watendaji butu na wezi.

Au mnasemaje wakuu.....
 
Here is the Forum, right infront of your eyes. This tool has given us access to each others thoughts. Here we can now plan our next course of actions.

Tuanze na kupanga Maandamano ya kupinga wizi na kutokuchukuliwa hatua yeyote ya kisheria kwa mafisadi. Tunaweza kuwaalika viongozi wa upinzani (na wengineo walio tayari kutusaidia) kusema maneno machache. Bidii kubwa itabidi ifanyike kwenye kuhakikisha wanachi wengi wanashiriki au angalau wanasikia. Awareness! Pia tujaribu kuwafahamisha, uhusiano wa moja kwa moja kati ya ufukara wao na hii serikali iliyojaa watendaji butu na wezi.

Au mnasemaje wakuu.....
yes here we do that

but the next course of action is very important, kama mengi yanasemwa humu JF and then yanatokea means we have something good going on, yasiishie kwetu tuu, we have to think how to bring awareness to wananchi wa kawaida, so that come 2010, we want changes in elections not business as usual!! Sio wagombea waje na what they will do but what have they done for the country in their 5yrs in service to the people, na sio danganya danganya zaó za mwishoni, wananchi wademand mtiririko wa maendeleo waliyoleta...awareness for them to know inorder for their lives to improve they (wananchi) have to show solidarity (wasikubali pilau la siku moja then wakae njaa for another 5 years)...and that power is in their hands and not otherwise - this is important if we want to see our nation move...
 
Kumbe uzee ni dawa!

Mwanakijiji alisema mapambano ya kifikra!!!

Binafsi nimeyaona kwamba mapambano ya kifikra pamoja na ugumu wake... lakini tunaelekea kushinda!!! Ahsante WanaJF. lakini msipitishe kiwango... kwa kuwa "kuchamba kwingi mwisho huishia..."

Mungu Ibariki Tanzania

Ndugu yangu Kasheshe,

Kuna mambo yanafanyika Tanzania ambayo yanafanya nijiulize ni kwa kiwango gani viongozi wa serikali wanawaheshimu watanzania. Hii ya Dowans na dada yake richmonduli inapita kiwango cha kawaida cha dharau kwa watanzania.
 
yes here we do that

but the next course of action is very important, kama mengi yanasemwa humu JF and then yanatokea means we have something good going on, yasiishie kwetu tuu, we have to think how to bring awareness to wananchi wa kawaida, so that come 2010, we want changes in elections not business as usual!! Sio wagombea waje na what they will do but what have they done for the country in their 5yrs in service to the people, na sio danganya danganya zaó za mwishoni, wananchi wademand mtiririko wa maendeleo waliyoleta...awareness for them to know inorder for their lives to improve they (wananchi) have to show solidarity (wasikubali pilau la siku moja then wakae njaa for another 5 years)...and that power is in their hands and not otherwise - this is important if we want to see our nation move...

Hapo umesema! Ndio wanahitaji awareness. Combination ya Ufukara uliovuka mpaka na kutoelewa mambo (haswa nguvu ya kura zao) ndio yanayowafanya washindwe kutoka kwenye hii minyororo ya kitumwa ya CCM. Haswa vijijini. Si unaona jinsi viongozi wa CCM wasivyokuwa na aibu wanavyokimbilia vijijini kujisafisha?
 
CHANGA LA MACHO

Mkataba umeisha tena kwenye mjadala wetu hapa Jf tuliona kuwa baada ya mkataba kuisha watalipwa kurudisha mtambo yao huko walikouchukua na ipo ndani ya mkataba hapa tunapigwa changa wanajenga hoja ya kuwalipa pesa
HAta hivyo changa kubwa zaidi ni pale mkataba umeisha wao wanadai wameuvunja kama wanaume kweli wauvunje tarehe ya leo(changa la macho) na waziri jana kajiumauma tu kuhusu fedha zetu
 
lile hekalu analojenga ra pale osterbay tukipiga mnada tutapata nini?????????sisi tunahitaji maji safi na hospitali sio makasri ya kishenzi.
 
Hapana cha habari njema ,kama ni habari njema basi wale woooute waliohusika wapatiwe chumba kule keko ,haya mambo ya kusema wanastopishwa halafu ndio mipango ya feza hayo hayakubaliki maana hayana tofauti na wale waliojiuzulu halafu wakaachwa wanamwaga vumbi ndani ya jumba la Bunge.
Mambo haya ya kuzimishwa zimishwa huenda nayo vilevile yakawa yanarushuwa ,yaani fanya uwezavyo kuzima na wewe donge lako hili hapa ,pokea nusu na nusu tukishayamaliza. Hata hivyo stepu ni stepu.
Ila jambo moja tuone faida ya kusimamishwa hayo matumizi yaliyokuwa yakilipwa maana mahesabu yalikuwa makubwa ,sijui kila mwanafunzi atapata mlo,kila wilaya itapata sekondari ya kisasa kila kijiji kitajengewa zahanati ,akina mama zetu nao hawatapata tabu tena ya kujifungua waTz, wepya yaani tunataka haya tuyaone kwa vitendo ndio tutakapokubali kwamba tumechelewa sana kuyafikia maendeleo kutokana na ushirikina wa mafisadi.
VijiTz vipya vikizaliwa na kujaaliwa kupata uhai mrefu waone mababu zao tulivyotoka masuguru kwa kuwachokoa mafisadi lazima tukae nao chini ya miti mikubwa nyakati za jioni na usiku wake tukiwasimulia habari za mashujaa walioikomboa Tanzania na kuipeleka katika wananchi wanaoishi daraja la kati na kuwapa mkakakati wao waendeleze na kuwafanya WaTz wawe na maisha ya daraja la kwanza ,inawezekana kabisa na ardhi tuliyonayo lazima wawe na maekari ya mibono.
 
Hatujawahi kuwalipa Dowans hela. Hela ipi mnataka irudi? Tupunguze kukurupuka.

Kaka hapa wewe ndio umekurupuka, Dowans wamelipwa na waliendelea kulipwa hadi kamati ya Mwakyembe ilipotoa taarifa yake Bungeni. Labda kwa taarifa yako ni kwamba, mara baada ya taarifa ya Mwakyembe kusomwa bungeni, Serikali ilisitisha malipo yote kwa Dowans, lakini malipo kwa makampuni yale mengine kama vile Agreko yanaendelea kama kawaida kwani wao hawakuhusishwa na kasha hio moja kwa moja.

Hili swala la kusitisha mkataba kama Dr. Rashid anavyosema, mi naona ni kiini macho tu, mkataba wa Dowans ulikua unaisha muda wake mwezi August 2008.

Hapa najua Rostam atabuni mbinu nyingine ya kuiba hela hapa, usishangae baadae kusikia kwamba serikali iliwalipa Dowans mabilioni kama fidia ya kuvunja huu mkataba.
 
Mwiba,
Nakubaliana na wewe sana, hili ni changa la macho kwani inajulikana kwamba mkataba unakwisha mwezi wa nane na kulikuwepo na fununu za kwamba mkataba huo ungeongezewa miaka. Sasa leo kisheria serikali imeamua kutoongeza miaka ya mkataba inatumia hoja ya kuwa Mkataba ulikuwa batili hali muda wote wa mkataba tumeendelea kulipa fedha za walipakodi?...
Hili swala ni lazima liende sambamba na wote waliohusika na mkataba huo na pengine fedha za wnanchi zirudishwa iwe kwa kuwafilisi ama kifungo ambacho gharama za maafa yao ni kutumikia Segelea!.. Hawa watu ni WAHUJUMU UCHUMI kwa mara ya kwanza sheria ya Uhujumu uchumi itumike kwani hapatakuwepo na kesi yenye ukweli wazi kama hii ya Richmond.
Tukiacha swala hili likielea basi sidhani kama kutakuwepo na kesi nchini kwani kigezo kikubwa kitakuwa swala hili la Richmond!..Kama hawa watu hawakuchukuliwa hatua, Je, kuna kesi gani zaidi kisheria itawekwa ktk fungu la kuhujumu Uchumi!
 
Mwiba,
Nakubaliana na wewe sana, hili ni changa la macho kwani inajulikana kwamba mkataba unakwisha mwezi wa nane...

Mkuu, hii ni taarifa ya Rashid:

"He pointed out that DOWANS documents showed that its services would have officially ended on September 5, next year. Dr Rashid said that DOWANS, who now own the 100 MW generators installed at Tanesco headquarters’ yard at Ubungo in Dar es Salaam, would be free to take them away after August 1.

He said that the endorsement was made in Dar es Salaam when Tanesco’s board and management met the Minister of Energy and Minerals, Mr William Ngeleja, with his experts last Sunday. Dr Rashid explained that termination of DOWANS services was one among several recommendations including taking legal action against it in the light of findings drawn by a local law firm contracted to look into the marriage between Richmond Development Company (RDC) LLC and Tanesco."
 
Tuweni Makini Sana, Kama Mkataba Ulikuwa Unaisha July30,2008. Ina Maana Beyond That, Hakuna Mkataba! Sasa Kama Mtu Anatoa Notisi Ya Kuvunja Mkataba Unaoisha, Na Notisi Hii Anaitoa Ndani Ya Mkataba Na Mkataba Bado Uko Hai, What Are The Remedies? Huenda Kuna Dili Linasukwa Hapa Kumbeba Tena Richmond
Mimi Si Mtaalamu Lakini Kwenye Mkataba Ya Ujenzi, Ukimpa Mwenzako Notisi Ya Kumwondoa Kwenye Mkataba Huwa Unabeba Yafuatayo
1. Kumlipa Gharama Zote Za Kumwondoa Site(demobilisation0

2. Loss Of Profits
3.distrurnances
4. Loss Of Opprtunities
5. Overheads Cost

Isije Ikawa Hii Notisi Ya Dr Rashid Ni Kumsaidia Richmond, Ili Wamlipe Kuondoa Yale Mamtambo Yake Feki Pale Na Kumlipa Hizo Gharama Hapo Juu. Mafisadi Wanaona Km100 Mbele.


Mi nakubaliana na wewe, kwa jinsi nnavojua WADANGANYIKA tulivyo, hapa kuna ulaji mwingine unatafutwa, usishangae baada ya siku chache ukasikia serikali inalipa mabilioni ya shilingi kama fidia ya kuvunja mkataba huo. Rostam ni dakika tano mbele yule.wameshakaa wakatafuta mbinu ya kukamua kodi za watanzania kwa ulaini kama ilivyo kawaida yao
 
Hivi ni sababu uipi iliwafanya wachelwe kufanya hivi,au ndiyo maagizo aliyoyatoa Rais kwa Mhe. Ngeleja kuhusu kushughulikia Ripoti ya NISHATI na MADINI.
 
Huu ni uhuni. Hakuna maan ya kung'olewa wakati faida imeshapatikan asilimia mia mmoja.
Ujinga na upumbavu umejaa serikalini. Imejua lini kuwa Richmond in ya kihuni?. Termination hii ya mkataba haina maana yoyote kwa kuwa mkataba unefika mwisho na ukaongezwa.
 
Kabla Ya Kufurahi Ngoja Tuangalie Kama Hawatakimbilia Mahakama Za Kimataifa. Maana Kufikia Hapo Ujue Wajanja Waliishajipanga Ila Nasi Tujipange Mpaka Kieleweke
 
Mbalamwezi,
He pointed out that DOWANS documents showed that its services would have officially ended on September 5, next year. Dr Rashid said that DOWANS, who now own the 100 MW generators installed at Tanesco headquarters' yard at Ubungo in Dar es Salaam, would be free to take them away after August 1.
Then, itakuwa labda nimepoteza kumbukumbu zangu maanake nakumbuka kuwa mkataba wa Richmond ulikuwa wa muda mfupi yaani miaka miwili na uliongezewa muda kwa sababu hadi April 2006 mitambo bado ilikuwa haijafika..
Sasa kama kweli ilikuwa miaka miwili iweje tena iwe Sept 2009?.. Je Dorwans waliongezewa muda..Au mimi ndiye nimejikanyaga!
 
Hatujawahi kuwalipa Dowans hela. Hela ipi mnataka irudi? Tupunguze kukurupuka.
The point may be taken ,ila kunahitajika uchunguzi wa mnyororo wa viungo wa fedha ambazo zinapigiwa makelele kuwa hawa wateja wanapokea kwa siku au sijui kwa mwezi ,inawezekana kabisa kuna jingine hapo maana mtandano wa ufisadi ni mnyororo wenye matawi.
 
Mkataba na Richmond uliingiwa tarehe 23 Juni 2006.. ulitakiwa uwe wa miaka miwili....
 
Richmond: How it all began

2008-07-01 10:48:11
By Guardian Reporter

Richmond Development Company LLC, until then falsely known as a US firm, was awarded a contract on June 23, 2006 to provide 100MW of emergency power generation, as Tanzanian electricity supplies were affected by low rainfall and low water levels at the reservoirs that supply the country�s main hydro schemes.

According to the Public Procurement Regulatory Authority (PPRA) there was remarkable `political influence` and interference by `higher authorities` in government in the awarding of the tender to Richmond.

PPRA findings show that the power utility company (Tanesco) had initially identified two bidders out of the short-listed eight - Renco SPA of Italy and Real Energy of UK - more relatively more responsive to the bid requirements than Richmond Development LLC.

Other short-listed companies included, Aggreko International (UAE), APGUM Company Limited (Germany), Globeleq Limited (UK), GAPCO (Tanzania) Limited and QUANTUS of Germany.

Although Tanesco had already rejected the company as incompetent, the government went ahead and picked Richmond without even conducting due diligence on the company.

It is believed that the selection of Richmond as the successful bidder was personally done by a top government leader on June 21, 2006.

Despite receiving USD 152,000 a day from the government, the company failed to provide electricity before the water levels had risen and power supplies had returned to normal.

Richmond�s generating equipment did not turn up on time and the state power company Tanesco, recommended that the company`s services were no longer needed but the Prime Minister`s office advised the government to extend the deal, despite the fact that Richmond had sold its contract to another firm, Dowans Holdings, in 2007.

On November 11, 2007, the Speaker of the National Assembly formed a parliamentary select committee consisting of Harrison Mwakyembe, Eng. Stella Manyanya, Mohammed Mnyaa, Lucas Selelii and James Mtangi after members of parliament demanded investigation into circumstances that made the government enter into a contract with the controversial power-generating firm.

The committee was tasked to investigate who is Richmond Development LLC, who owns it, how the firm secured the power generating contract and
whether the method to acquire the contract was legal.
The team also evaluated Richmond`s contract with Tanesco.

The committee presented its report in parliament in February this year showing that the company had no experience, expertise and was financially incapacitated to carry on the task.

The committee reports also said the company had no share records or straight registration in the US or Tanzania and that the whole bidding process was marred by corruption and gross irregularities.

The committee advised the government to take action on all people involved in the controversial contract as well as terminating the contract with Dowans, the successor to Richmond company.

Following the committee`s recommendations, then Prime Minister Edward Lowassa, former minister for mineral and energy Nazir Karamagi and former minister for East African Cooperation Ibrahim Msabaha, who were all implicated in the scandal, resigned.

Dr Msabaha was the minister for energy and mineral when the controversial contract was signed in 2006.

The government had been paying Dowans USD 152,000 per day as capacity charges ever since.

SOURCE: Guardian
 
Back
Top Bottom