Dowans: Another Richmond in making?

we dont have system at the BRELA to control registration of companies/issuance of complaince certificates! How comes a company with capital of US$ 100 can run such a huge project. There an issue of ovre trading here - finance guys can help us here.

lakini hawa wakuu wa wizara mbali mbali ni useless heads who keep on filling their stomachs and have fun at the cost of wa TZ.

It is a big shame to have such misters who LIVE AND LET OTHERS DIE
 
we dont have system at the BRELA to control registration of companies/issuance of complaince certificates! How comes a company with capital of US$ 100 can run such a huge project. There an issue of ovre trading here - finance guys can help us here.

lakini hawa wakuu wa wizara mbali mbali ni useless heads who keep on filling their stomachs and have fun at the cost of wa TZ.

It is a big shame to have such misters who LIVE AND LET OTHERS DIE
I meant MINISTERS, apologies for the confusion
 
Enzi tukiwa na nchi inaitwa Tanzania sasa hivi kungelikuwa na watu wako Gerezani kabla hata press haijatoka, lakini tanzania ya sasa hawa wanaoleta makampuni ya kitapeli ndio watu wakuheshimika. Hata utakuta baadhi ya viongozi wakiwanyenyekea na kuona ni watu wa maana.
 
kampuni iliyoanzishwa kwa mtaji wa dola 100 ikapewa mkataba wa kuleta umeme kwa nchi ya watu milioni 40? Kwa dola mia moja unaweza kunua hata kompyuta ya ofisi?
Yes the Problem is,Kampuni ni ya Bwana Mkubwa na Rafiki zake,sasa Bwana Mkubwa unategema atafanya nini ili apate pesa nyingi..

Hivi Bwana Mkubwa ni nani??Unajua hawakumsema vizuri Bwana mkubwa ni yule anayeishi wapi?
 
Last edited:
Taifa Hili Ni Letu Sote Hivyo Kila Mmoja Wetu Hana Budi Kusimama Imara Kupambana Na Uovu Na Wizi Kama Huu Kwani La Sivyo Kuna Siku Italipuka.

Hiki Kusema Eti Wamevinja Mkataba Ni Kiini Macho Kwani Mkataba Wa Tanesco Na Dowans Unaisha Mwezi August Sasa Wao Wanajifanya Wamevunja Mkataba .

Kuna Siku Tutadai Mali Zetu.
 
This is shameless!! some things we dont need to know yet we have to know inorder to know how to fight...!!!
 
Mimi sishangai kampuni kuanzishwa kwa mtaji wa $ 100!!!. Nchi ikishatekwa na mafisadi basi kila kitu kinawezekana. Tumetekwa jamani au wenzangu hamjastuka bado????
 
Taifa Hili Ni Letu Sote Hivyo Kila Mmoja Wetu Hana Budi Kusimama Imara Kupambana Na Uovu Na Wizi Kama Huu Kwani La Sivyo Kuna Siku Italipuka.

Hiki Kusema Eti Wamevinja Mkataba Ni Kiini Macho Kwani Mkataba Wa Tanesco Na Dowans Unaisha Mwezi August Sasa Wao Wanajifanya Wamevunja Mkataba .

Kuna Siku Tutadai Mali Zetu.

Hiyo siku ni lini?Tuache Maneno na Tuamue Sasa lini tutaamua kuacha undondocha wetu na kuachwa kuzugwa.

Kama tukiamua kuacha ugomvi katika Vyama vya Upinzani basi mambo yatakuwa mazuri sana.Hii migogoro ndiyo inarudisha Nyuma Harakati zetu.
 
ishu zilizonishtua mimi kama naweza kurudia walivyosema wataalamu hapo juu ni je
- inakuwaje kiongozi kama ngeleja na idrissa waseme wanavunja mkataba wakati umeisha, wanataka kuwalipa fidia hao Dowans?
- kama mkataba ulikuwa batili toka mwanzo, je pesa waliolipwa itarudi? na faida ya asilimia ngapi?
- je wanatuuzia hiyo mitambo yao walioileta hapa? kwa bei gani, watauzia serikali au tanesco?
-tanesco na serikali wamegawanaje majukumu? Tanesco walisema walikuwa wananunua gesi, waziri anasema walikuwa wanatumia gesi, hapo ni tanesco au wizara?
- wafanyakazi wa wizara/tanesco walioingina mikataba feki (akiwamo mwanasheria mkuu) wanachukuliwa hatua gani?

na kadhalika nk, mambo ambayo yanachuja uzuri wa habari hii yenye vichwa vikubwa vya habari leo tanzania.
 
Tatizo ni kwamba watu wakionyesha wasiwasi wao, tunaambiwa kwamba tunataka kufukuza investors; si mmeona ya Sinclair??????? Mbona tumenyamaza jamani

Kuna ka-mfno si vibaya ku-share humu kundini - kuna mmarekani mmoja kaoa mtoto wa kihaya huwa anatapeli watu kwamba yeye ni consultant wa business, especially kwa wanaoanza na micro businessmen/women; Huyu jamaa yupo hapa kwa muda na kuna wakati hujifanya yeye ni ex-marine with huge experience on logistics etc. tusipoangalia kesho utamkuta kwenye directorship ya mega investor - HANA KITU

Njooni kwenye afya muone madudu huko na wataalam wa kigeni na kampuni za vikoba
 
Hivi ni kweli Watanzania wanashangilia?
I dont think so! ila nini tunaweza kufanya collectively, with more strength iliviwezekane now now sio kupewa porojo? when as a citizen of this nation can we stand and say enough is enough? where is the forum for young and not so young energetic citizen can come together and discuss issues openly? until such a time, we will move slowly but surely, ila it will take time! Dowe have such time???
 
Kama Mkataba Ni batili kwa nini usivunjwe sasa? Hadi August Mnasubiri nini?

Kwanza tuchukulie nadharia kwamba mkataba huu bado muda wake haujaisha. Swali la msingi ni je kwa nini usivunjwe sasa na kutaka pesa zote zilizolipwa kurudishwa haraka.
Sheria za mikataba ya kimataifa zinasemaje? na sheria zetu nchini zinasemaje?

Ukiangalia mkataba mzima umezungukwa na uongo mwingi kuliko ukweli, kwa haraka tuseme 'MISREPRESENTATION'

Basic principle ya sheria ni kwamba; Should there be a misrepresentation in any contract, the injured party i.e (Tanesco/we Tanzanians) will have the right to terminate the contract immediately as well as seek the recovery of funds already paid to the other party (Dowans/Richmond).

Wakati mwingine najiuliza hivi hawa mafisadi wanadhani watu wote tumelala...au?...

Kwa upande mwingine tuangalie kwamba mkataba huu umekwisha muda. Siwezi kutoa maelezo yeyote hapa yaka make sense zaidi ya kusema huu ni usanii kwa kwenda mbele na ufisadi mwingine kwa wale wote wahusika.
Huwezi kuvunja makataba ambao tayari muda wake umekwisha.

Mungu ibariki Tanzania, usiwabariki mafisadi
 
kampuni Iliyoanzishwa Kwa Mtaji Wa Dola 100 Ikapewa Mkataba Wa Kuleta Umeme Kwa Nchi Ya Watu Milioni 40? Kwa Dola Mia Moja Unaweza Kunua Hata Kompyuta Ya Ofisi?

Wewe Na Wenzako Wote Wenye Mawazo Ya Kugundua Maovu Na Ukiukwaji Wa Sheria Ni mandondocha....!

Do You Want To Bet??????
 
Hawa Richmonduli/Dowans Kama hawarudishi pesa zetu walizotuibia je sio halali tufanye jicho kwa jicho? wao wale ugali sie tumwage mboga?
 
Kumbe uzee ni dawa!

Mwanakijiji alisema mapambano ya kifikra!!!

Binafsi nimeyaona kwamba mapambano ya kifikra pamoja na ugumu wake... lakini tunaelekea kushinda!!! Ahsante WanaJF. lakini msipitishe kiwango... kwa kuwa "kuchamba kwingi mwisho huishia..."

Mungu Ibariki Tanzania
 
Hivi mnafikiri Dowans na wahusika wote hawajajianda kwa yote tunayosema hapa?

Je ni wajinga kama sisi tunavyowafikiri?

Kwa mambo yote yanayotokea kwenye siasa za Tanzania sasa hivi, hawajajianda kweli kwa lolote litakalotokea? Hii ni kama movie inaplay. Screenplay imeshaandikwa, cast tayari wamesoma script. Director ndio anaongoza sasa hivi.
 
Jamani kama Dowans hawakwenda mahakamani nitajua tu kwamba walilidhika na tujisenti walivyovuna kwa kipindi chote.
Pesa ya bure bure ya wadanganyika.
Wanajua fika kuwa tayari kuna noma kwenye deal.
Sasa tusikubali tu kuvunja mkataba lakini ifunguliwe kesi dhidi ya wote waliojihusisha na kuiingiza nchi katika hasara kubwa ya wizi wa viongozi.
 
Back
Top Bottom