Soma Cheche la Mzee Mwanakijiji
=========TUZINGATIE: Rostam anamiliki 35% ya Vodacom, Dk. Rashid alikuwa Mkurugenzi wa Vodacom, Ngeleja alikuwa mtumishi wa Vodacom.
Note: Wakati mitambo ya Richmond inawasili pale uwanja wa ndege wa Dar, Salva kupitia kampuni yake ya G&S alikuwa ndiye PRO wa Richmond
.....A CIA/KGB Spy story couldnt get more Intriguing than this. Poor Tanzania.....!
leave the guy alone......mwanakijiji kajitahidi sana kw hii ishu....weka tofauti pembeni mkuu.....suala la waandishi hata mie wananiudhi sometimes......lakini mkuu una maoni gani kwa hili?Uwe unaunga au huungi mkono msimamo huu mpya wa Rais kuhusu ufuataji sheria ya manunuzi, walichoripoti Guardian hapo juu kwamba Rais amekisema sio kilichomo kwenye taarifa ya Ikulu.
Mara nyingi tunaumiza vichwa kutatua vitendawili vya nini kinaendelea ndani ya serikali kwa sababu magazeti hayaripoti mambo kwa usahihi. Hatuna waandishi. Waziri Ngereja, kwa mfano, alilisharipotiwa mpaka kupigwa picha akisema kwamba serikali imeghaili kununua mitambo ya Dowans baada ya wao, Wizara, kuona busara ya mapendekezo ya Tume ya Kudumu ya madini ya Bunge ikipinga jambo hilo. Ghafla bin vuu sakata limeibuka upya, sasa hakuna anaejua je, ni kweli serikali ilitangaza imeghaili au tulipotoshwa. Mwandishi mmoja jana kamuhoji Ngereja kwenye redio za mtandao wa inteneti kwa dakika 30 na ushee bila ya jambo hilo kujibiwa wala kuulizwa. Moja ya laana inayokwamisha mambo nchini ni kukosa waandishi, hivyo hatujui kinachoendelea. Huwezi kuendelea kama hujui kinachoendelea.
leave the guy alone......mwanakijiji kajitahidi sana kw hii ishu....weka tofauti pembeni mkuu.....suala la waandishi hata mie wananiudhi sometimes......lakini mkuu una maoni gani kwa hili?
=====Hebu niwakumbushe kidogo.
Jakaya Mrisho Kikwete aliteuliwa kuwa Waziri wa Maji, Nishati na Madini mwaka 1990 na Raisi wa wakati huo, Ali Hassan Mwinyi. Mheshimiwa Kikwete alishiriki moja kwa moja katika kusaini mikataba mibovu ya madini na makampuni ya madini ya kimataifa ambayo kwayo taifa lilipoteza utajiri mkubwa na hivyo Serikali kunyimwa uwezo wa kifedha wa kuhudumia wananchi.
Mwishoni mwa mwaka 1993 aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu, Gilman Rutihinda, alifariki kwa ugonjwa katika mazingira ya kutatanisha. Mwaka 1994 Jakaya Mrisho Kikwete alihamishiwa Wizara ya Fedha na Dr. Idris Rashidi kuteuliwa Gavana wa Benki Kuu. Mwaka huo, 1994 ndiyo IPTL ilizaliwa kama "joint venture" kati ya Mechmar Corporation of Malaysia (70%) and VIP Engineering and Marketing Limited (30%).
Kama siyo kwa shinikizo la Hayati Mwalimu Nyerere, Jakaya Mrisho Kikwete angeutwaa Uraisi mwaka 1995. Kwamba hivi sasa Jakaya Mrisho KIkwete ni Raisi na Dr. Idris Rashidi ni Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, hakuwezi kushangaza hata kidogo. Tukishanunua mitambo chakavu ya Dowans, kitu gani kitatuzuia kununua mitambo chakavu ya IPTL ? "Sabotage" kidogo tu kwenye mabwawa itazaa dili nyingine ?
Hebu niwakumbushe kidogo.