Mtanganyika
JF-Expert Member
- Jul 18, 2007
- 1,601
- 963
.............................................................
Muhamed Saleh anajua nani ni mmiliki wa hii kampuni, kwani si yeye aliyekuwa anaripoti kisiri siri kwa Richmond/Muhamed Gire/Rostam mambo ya internal negosiation ya Tanesco. Sasa mbona hii serikali ya Jakaya inataka kutufanya Watanzania hatuna hakili? Muhamed Saleh aliacha kazi Tanesco kwenda kuwa mkurugezi wa Dowans baada ya Richmond kuachia ngazi. Sasa kama mnataka kumjua nani muhusika wa Dowans si mnakwenda kumshika Saleh anamtaja muajiri wake?? Wote tunajua kabisa Saleh ndio aliwalobby Tanesco kuhusu Richmond na ni yeye aliyesoma na Muhamed Gire.
............................................................................
Mohamed Saleh hakusoma na Mohamed Gire. Gire ni mdogo sana wa kuweza kusoma na Mohamed Saleh. Saleh alikuwa Manager - Light Current Tanesco (karibu na stesheni) wakati Gire hata secondary alikuwa hajamaliza. Connection yao katika Richmond inatokana na urafiki wa Msabaha/Saleh na Saleh/Gire kupitia kwa binti ya Saleh (na mume wake, siwakumbuki majina) wanaoishi Houston, Texas. [Mume wa huyo binti ni kijana wa Bagamoyo na anamwita JMK, mjomba (au binamu, mtoto wa mjomba), na ndiye aliyewezesha Gire kuonana na JK alipozuru NY, na JK kutamka ameonana na Richmond na wamemhakikishia kuwa kazi watamaliza kabla ya Sept 2006].
[/B]]..kwahiyo richmond/dowans ya nani?