Alah, kumbe TANESCO wana uwezo wa kumiliki na kuendesha mitambo hiyo hiyo ya Dowans/Richmond ambayo walienda kuwa contract Dowans/Richmond ?
Hivi kumbe hizi contract - hata zile zilizokuwa halali - basi mi miradi ya watu!!!
I mean, unaweza kuingia mkataba wa kukodisha gari kulitumia mwaka mzima wakati una hela za kununua likawa lako ?
Somebody ask Ngeleja this question.
Hapa kinachitakiwa ni serikali kutaifisha hiyo mitambo. Baada tya kuifaifisha na wakaona hawaihitaji iiuze kwa anayeihitaji, sio wao kununua!
Duh, kaaz kweli kweli hapa mahali..... Mitambo ilikodishwa na TANESCO kutoka Richmond... Richmond imefutwa kisheria miezi kadhaa baada ya kuuzwa/kununuliwa na Dowans... Then miezi michache baadaye Dowans wanaiuza mitambo ile!!!
Duh, hii inaitwa usanii daraja la kwanza sababu:
1. Serikali ilisaidia kupatikana kwa mitambo ile!
2. Mchakato wa kuipata na upatikanaji wake ulileta sokomoko nchi ikatikisika (PM kuresign etc etc etc)
3. Mapendekezo ya Kamati ya Mwakyembe hayajatimizwa
nadhani ni mimi nipo slow lakini hii kitu haileti maana ndani ya hii kichwa ya kiMasai kabisa!!!
Hapa kinachitakiwa ni serikali kutaifisha hiyo mitambo. Baada tya kuifaifisha na wakaona hawaihitaji iiuze kwa anayeihitaji, sio wao kununua!
Mwenyekiti wa kamati ya Bunge inayoshughulikia masuala ya Nishati na Madini Bw. William Shelukindo (CCM) anatarajia kutoa statement inayohusu Richmond na Dowans muda si mrefu.
Mzee Shelukindo ndio wale wale mtoto wa nyoka ni nyoka, Miaka yote walikuwepo kwenye bodi hizo kazi kujiweka wao safi tuu. Tunamshukuru mungu mabadiliko yanafika bila wao kutegemea kwani jamii ya mika ya 1975 sio ya hivi leo tunaona Wathailand wanaitoa serikali, Greece wanachachamaa hivyo viongozi wetu ni lazima wawajibike. Kwani kwa maisha ya sasa uongozi ni sawa na kukalia bomu la cluster likilipuka haliishi maisha
Kuna press conference au? Hayo mambo ya kuwaweka wawekezaji kwenye "tension and suspense" kunadhoofisha uwekezaji nchini!
Utafiti unaonyesha kwamba wawekezaji kwenye sekta ya madini hapa Tanzania ume-stagnate kwa karibu miaka miwili kutokana na hiyo kamati ya kuchunguza mikataba ya madini. Maana hawaelewi mwelekeo utaofuata baada ya hapo!
Ukichanganya na financial meltdown ndio kabisa, vijikampuni vidog vidogo vya exploaration vyote vimesimamisha shughuli zao na kupunguza wafanyakazi!