Al Jazeera wabaguzi sana. Hawa ndiyo Wafalme wa 'Double Standard'

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
1,409
4,281
Wako very bias sana. Hawa ndio wafalme wa double standard.

Ingawa vyombo vya habari vya wazungu navyo vina mlengwa lakini wakija katika utu na ukweli haijalishi hata kama linawalenga wao binafsi unakuta wana report to the utmost extent.

Sasa kuja kwa ndugu zetu al jazeera wazee wa ku-report israel na US vibaya ingawa ndugu zao wa jamii yao wanafanya mambo ya ovyo sana.

Unakuta habari za ukatili wa iran na mataifa mengine ya kiislam zinaguswa guswa sasa ikija israel na marekani ni siku nzima.

Hawa jamaa wanachekesha sana, kipindi kils walianza kushutumu Israel kwa kulipua hospitali wakati camera zao live zili nasa kombola la hamas lilidondokea hospitali.

Baada ya kukugundua hilo walipotezea hio habari na hawakuendelea kuilaumu hamas.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Rubbish
Umewahi kuangalia Fox News au Canada Top Tv au hujawahi kwa sababu hazionyeshwi ITV?
AL Jazeera wana waandishi Tel Aviv, Jerusalem ,Gaza na Ukingo wa Magharibi sasa wewe uliopo porini unadhani unajua zaidi yao.
Ignoramus
 
We ni mpuuzi, kuna watu biased kama western media?

Mfano, South Africa walivyoeleza kesi hawaku cover,

Israel wakati wanajibu waka cover story.

Watoto wakiuliwa ukrain wanaita “children killed”
Ila Gaza wanasema “ minor found dead”

Kama unataka udini uzungumzie udini kama unataka kua rational be rational,
 
Hayo yote huwa unayaona peke yako?Acha ujuaji.
 
We ni mpuuzi, kuna watu biased kama western media?

Mfano, South Africa walivyoeleza kesi hawaku cover,

Israel wakati wanajibu waka cover story.

Watoto wakiuliwa ukrain wanaita “children killed”
Ila Gaza wanasema “ minor found dead”

Kama unataka udini uzungumzie udini kama unataka kua rational be rational,
Uwe unaangalia RT.
 
Ha ha ha kwamba cnn hawasemi children killed in Gaza? Kazi kweli kweli.
 
Wako very bias sana. Hawa ndio wafalme wa double standard.

Ingawa vyombo vya habari vya wazungu navyo vina mlengwa lakini wakija katika utu na ukweli haijalishi hata kama linawalenga wao binafsi unakuta wana report to the utmost extent.

Sasa kuja kwa ndugu zetu al jazeera wazee wa ku-report israel na US vibaya ingawa ndugu zao wa jamii yao wanafanya mambo ya ovyo sana.

Unakuta habari za ukatili wa iran na mataifa mengine ya kiislam zinaguswa guswa sasa ikija israel na marekani ni siku nzima.

Hawa jamaa wanachekesha sana, kipindi kils walianza kushutumu Israel kwa kulipua hospitali wakati camera zao live zili nasa kombola la hamas lilidondokea hospitali.

Baada ya kukugundua hilo walipotezea hio habari na hawakuendelea kuilaumu hamas.Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app

Hater wa waarabu katika ubora wako, wewe na wenzako mpo!

Baada ya aljazeera kutoa habari za ukweli na uhakika bila kuficha ficha ukaona kukaa kimya haitoshi ukaamua kulisema 😁

Pole sana

Bhujiku ng'waka
 
Wako very bias sana. Hawa ndio wafalme wa double standard.

Ingawa vyombo vya habari vya wazungu navyo vina mlengwa lakini wakija katika utu na ukweli haijalishi hata kama linawalenga wao binafsi unakuta wana report to the utmost extent.

Sasa kuja kwa ndugu zetu al jazeera wazee wa ku-report israel na US vibaya ingawa ndugu zao wa jamii yao wanafanya mambo ya ovyo sana.

Unakuta habari za ukatili wa iran na mataifa mengine ya kiislam zinaguswa guswa sasa ikija israel na marekani ni siku nzima.

Hawa jamaa wanachekesha sana, kipindi kils walianza kushutumu Israel kwa kulipua hospitali wakati camera zao live zili nasa kombola la hamas lilidondokea hospitali.

Baada ya kukugundua hilo walipotezea hio habari na hawakuendelea kuilaumu hamas.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Unaijua cnn wewe?

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Acha kulia lia nawewe anzisha chombo chako Cha habari

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom