Betoratekha
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 317
- 915
Aliandika sanaaa huyu jamaa kuhusu Kibiti, tatizo ni kuwa mnaoumizwa TL kuna wakati mnaona bora afe kwa njia yoyote na mnafikiri mnaweza pata utetezi wa dhuluma hiyo.Polisi,viongozi na watu mbalimbali waliuawa kwa kupigwa risasi pale Kibiti lakini hukuweza kulaani kwa kuandika makala kama hii Ila umeona TL ni more human than those who were killed by unidentified gun men.
My Take: We are all equal in eyes of GOD