Dotto Bulendu: Tumefika Hapa? Hakika Tumepoteza Mwelekeo kama Taifa

Nawaonea huruma Mapadri na maakofu wanaowahubiria kina Ndugai na wenzake huwa wanasoma bibilia ipi?
 
Dotto Bulendu namfahamu vizur Sana na Ni ndugu yangu wa karibu Sana. lkn lazima nikili kwamba....
Tangu kusitishwa kakipindi kake Flani pale star TV na kauwezo kake ka kufikiri kameshuka Kama 37% ivi,yaani anacopy tu matukio pumba tupu ataki kuumizwa kichwa
Haya imbecile za lumumba hizo, zinashusha pumba.
 
Barikiwa kwa ujumbe mzuri, uliojaa utu.


Ee, Mungu wa mbinguni, uwezaye kulipa sawasawa na uovu wa mwanadamu, nyoosha mkono wako kukemea na kuadhibu kundi hill ovu.

Wamekosa ubinadamu hao.

Hakuna maneno sahihi kutoka kwenye kinywa cha binadamu, bali ni kukuachia WEWE uwezaye KUHUKUMU.

BWANA KATIKA UTATU WAKO, KATENDE VILE UTAKAVYOONA INAFAA.

AMINA.
 
Dot
Dotto Bulendu wewe ni Mhadhiri hapo SAUT Main Campus. Ebu ondokaka kazini bila kutoa taarifa rasmi kwa uongozi uone kama hicho kibarua utaendelea kuwa nacho. Hata kwenye kusomea "ufather" ulipigwa chini kwasababu hukufuata misingi halafu unawatetea wengine. Ajabu sana!

Kuondoka kazini ni tofauti na kuondoka kwa kushambuliwa kwa risasi nusu ya kufa. Na hata ingetokea hivyo bado mkuu wake wa chuo angekuwa mstari wa mbele kujua mfanyakazi wake anaendeleaje na chuo kingeshiriki kumtibu. Je spika na bunge wamefanya hivyo kwa Lissu?
 
Unitukane, unidhihaki, unidhalilishe duniani, uisaliti nchi ninayoiongoza, uniite dikteta, uniite rubbish, bado nikuangalie, nikutibie, nikulipe mshahara, nikulindie kibarua chako. Kwani we umekuwa nani Mungu??!! Au binadamu namba moja duniani?!! Mwambieni kwanza ajifunze kuheshimu watu na mamlaka..mengine ataongezewa. Vinginevyo hata kidogo alicho nacho atanyang' anywa.

Kwa hiyo huyo aliyemdhihaki ndiye aliyeagiza apigwe risasi? Je hizo hela ni zake?
 
Usimwamini MTU amtendeaye mabaya MTU mwingine kwa kuwa ni rafiki yako kuna siku atakutendea wewe. Waliohusikika wote kwenye mpango wa kumuondolea Lissu ubunge wake ni wauaji wakubwa
 
Afuate na kulinda katiba kama alivyoapa, nae ataheshimika
Unitukane, unidhihaki, unidhalilishe duniani, uisaliti nchi ninayoiongoza, uniite dikteta, uniite rubbish, bado nikuangalie, nikutibie, nikulipe mshahara, nikulindie kibarua chako. Kwani we umekuwa nani Mungu??!! Au binadamu namba moja duniani?!! Mwambieni kwanza ajifunze kuheshimu watu na mamlaka..mengine ataongezewa. Vinginevyo hata kidogo alicho nacho atanyang' anywa.
 
Ukifuatilia hili suala la T Lissu kuanzia kupigwa risasi zisizo na idadi,kunyimwa kugharamia matibabu,kukataza watu wasimchangie damu,kukataza watu wasimfanyie maombi,kunyimwa mishahara yake,kutoa CCTV Camera eneo la tukio ili wasijulikane waliomshambulia na kumvua ubunge kwa kuweka wana Sheria 15.inaonyesha dhahiri kabisa serikali haimtaki Lissu awe Mbunge wa wananchi ndiyo maana zinatumika kila hila ili asiwe muwakilishi.
 
Kwa Nchi kama Tanzania uhai wa mwanadamu haijapewa kipaumbele ila uhai wa Chama ndo iko juu.
 
Moyo wako umejaa machungu na chuki kwa wanadamu wanaoona Wana maamuzi juu ya uhai wa binadamu wenzao. Jukumu hili Ni la mungu muumba. Ubarikiwe sana kwa kuwa mkweli na mungu atakusimamia. Atakuepusha na wote watakaochukizwa na ukweli wako. Mungu atawaumbua kwa kesi hiii. Amen.
 
Walitamani azikwe haraka,wala bungeni asiagwe
Damu zilizo mwagika haziwaachi salama asilani
 
Na alipoenda Uingereza, Marekani na Ujerumani wakati huo akiropoka juu ya nchi take hukuona?
Siyo kila kitu mnajitoa ufahamu
Sheria na taratibu za nchi zifuatwe
Kasome kanuni za bunge utaelewa
 
Back
Top Bottom