Dotto Bulendu: Tumefika Hapa? Hakika Tumepoteza Mwelekeo kama Taifa

Polisi,viongozi na watu mbalimbali waliuawa kwa kupigwa risasi pale Kibiti lakini hukuweza kulaani kwa kuandika makala kama hii Ila umeona TL ni more human than those who were killed by unidentified gun men.

My Take: We are all equal in eyes of GOD
Aliandika sanaaa huyu jamaa kuhusu Kibiti, tatizo ni kuwa mnaoumizwa TL kuna wakati mnaona bora afe kwa njia yoyote na mnafikiri mnaweza pata utetezi wa dhuluma hiyo.
 
Huu ni mtazamo wa mtu na tuko huru kuwa na mitazamo tofauti tofauti, hivyo wakati mmoja ana mtazamo kuwa tumepoteza mwelekeo maana anaona kama tunakokwenda siko, wengine wana mtizamo tofauti kwa kumuaminia naohodha wetu wa meli yetu au dereva wetu wa gari letu anasema "we are on a right track", kwa vile lengo ni kufika salama safari yenu na kuna njia nyingi za kufika huko, then tumuaninie tuu naohodha wetu, atatufikisha tuu.

P
 
Chakaza,

..Spika aliwachangisha wabunge na kuwasilisha fedha hizo Nairobi alikokuwa akitibiwa TL.

..kwa msingi huo Spika hawezi kugeuka na kusema Bunge halina taarifa za ugonjwa wa TL, au alipaswa kumuandikia barua kulieleza bunge kuwa ni mgonjwa.
nduGUY alaumike kwa kukubali kutumika na jiwe maana anachofanya ni kufuata maelekezo ya waliompiga risasi
 
Huu ni mtazamo wa mtu na tuko huru kuwa na mitazamo tofauti tofauti, hivyo wakati mmoja ana mtazamo kuwa tumepotea njia, wengine wana mtizamo tofauti kwa kumuaminia naohodha wetu wa meli yetu anasema "we are on a right track".

P
It doesn't matter anaua wananchi wake kwa kiasi gani!
 
Polisi,viongozi na watu mbalimbali waliuawa kwa kupigwa risasi pale Kibiti lakini hukuweza kulaani kwa kuandika makala kama hii Ila umeona TL ni more human than those who were killed by unidentified gun men.

My Take: We are all equal in eyes of GOD
Ujinga ni kuhalalisha kifo cha mmoja kwasababu mwingine naye amekufa. Aliye laani kilichomtokea Lissu si kazi yake kulaani kila tukio. Wewe na wengine wana kazi gani? Kama yeye amelaani lile wewe laani lingine.
 
Eeenh, kwa kweli inapofika kwenye mifano kama hii; haya anayotendewa Tundu Lissu, halafu unawaza yote haya ni kwa utashi wa mtu, tena kiongozi juu ya binaadam mwenzake, unabaki unajiuliza ulipo ubinaadam wa kiongozi anayefanya haya.

Tena anayafanya bila kujali raia zake watayaona vipi matendo yake!
 
Huu ni mtazamo wa mtu na tuko huru kuwa na mitazamo tofauti tofauti, hivyo wakati mmoja ana mtazamo kuwa tumepotea njia, wengine wana mtizamo tofauti kwa kumuaminia naohodha wetu wa meli yetu anasema "we are on a right track".

P
Ulianza taratibu but siku zinavyosogea unazidi kuongeza speed!!! Mwanzoni ulizuga kupaka mafuta kwa mgongo wa chupa but nowadays unafanya kweli.
Sijui uoga? Unafiki?;? Njaa?!? Au umetishiwa?!?

All the best coz naamini unachokifanya unakijua na malengo unayo.
 
How can we arrive safely if many of us go missing, shot dead, charged with organised crimes, money laundering, detained and abducted, asked their citizenship. The nation is full of fearful and feared people. People don't speak and do what they believe but what they think may praise somebody in high office for assured stay in office or promotion. Sometimes even me I have adapted hypocrisy, hatred, false pretences and inhuman because of this regime
Huu ni mtazamo wa mtu na tuko huru kuwa na mitazamo tofauti tofauti, hivyo wakati mmoja ana mtazamo kuwa tumepoteza mwelekeo maana anaona kama tunakokwenda siko, wengine wana mtizamo tofauti kwa kumuaminia naohodha wetu wa meli yetu au dereva wetu wa gari letu anasema "we are on a right track", kwa vile lengo ni kufika salama safari yenu na kuna njia nyingi za kufika huko, then tumuaninie tuu naohodha wetu, atatufikisha tuu.

P
 
It doesn't matter anaua wananchi wake kwa kiasi gani!
It depends na mwendo kasi wa dereva wetu kama basi lina abiria 100, na liko mwendo kasi wa speed 180km/h, halafu kuna mtu amejitokeza ghafla na kusimama kati kati ya barabara ili kuzuia safari, ungekua wewe ndio dereva, unafanyaje?. Kwa mwendo huu ukichuna break kwa nguvu, tairi zina bust kwa friction, gari inapinduka kwa kubinuka kwa mbele linakuwa kichwa chini miguu juu na kuendelea kuserereka, unaua abiria 100 kwa kumkwepa mtu mmoja?. Ukimkwepa, kutokana na high velocity, gari inapoteza mwelekeo na kupinduka kwa bingiri bingiri kwa upande upande kwa kuwafirigisha watu kama mashine ya kufulia nguo, kuchinja abiria wote, katika situation kama hiyo, kama wewe ndio dereva, unaamua nini?.
P
 
Huu ni mtazamo wa mtu na tuko huru kuwa na mitazamo tofauti tofauti, hivyo wakati mmoja ana mtazamo kuwa tumepoteza mwelekeo maana anaona kama tunakokwenda siko, wengine wana mtizamo tofauti kwa kumuaminia naohodha wetu wa meli yetu au dereva wetu wa gari letu anasema "we are on a right track", kwa vile lengo ni kufika salama safari yenu na kuna njia nyingi za kufika huko, then tumuaninie tuu naohodha wetu, atatufikisha tuu.

P
Nimeshindwa kupita kimyakimya tu.
Nadhani huu utakuwa mmoja kati ya michango michache hapa JF nitakayokuwa naikumbuka maisha yangu yote.

Ilibidi nirudi kule juu niisome tena mada iliyowasilishwa hapa, na kuiweka sambamba na fikra hizi kwenye hili bandiko.
Vinaendana vizuri tu.
 
Haya bhana, bora afe mmoja ili kumi wafike vema ila kumbuka tahadhari ya dereva barabarani ni muhimu sana kwa usalama. Kama anaweza pita kwa mwendokasi wa 180kph huku barabara ni chini ya 90kph mwenye makosa ni dereva na abiria aliowabeba kushindwa kumdhibiti huyu dereva ambae nahisi amekunywa Pombe ya Chato
It depends na mwendo kasi wa dereva wetu kama basi lina abiria 100, na liko mwendo kasi wa speed 180km/h, halafu kuna mtu amejitokeza ghafla na kusimama kati kati ya barabara ili kuzuia safari, ungekua wewe ndio dereva, unafanyaje?. Kwa mwendo huu ukichuna break kwa nguvu, tairi zina bust kwa friction, gari inapinduka unaua abiria 100 kwa kumkwepa mtu mmoja?. Ukimkwepa, kutokana na high velocity, gari inapoteza mwelekeo na kupinduka kwa bingiri bingiri na kuchinja abiria wote, unaamua?.
P
 
Shida ni moja ya kuuishi uchama, ndio hapo ameweza sana kutugawa. Atajifanyia chochote huku kawaweka wale wafia chama wake kumtetea huku wakidhani wanakomoa upinzani huku wakisahau kuwa kama taifa tunapoteza mwelekeo. Angepatikana mlei asiye na chama akatuunganisha kama taifa ili tupiganie utaifa wetu dhidi ya wanao uharibu.
 
It depends na mwendo kasi wa dereva wetu kama basi lina abiria 100, na liko mwendo kasi wa speed 180km/h, halafu kuna mtu amejitokeza ghafla na kusimama kati kati ya barabara ili kuzuia safari, ungekua wewe ndio dereva, unafanyaje?. Kwa mwendo huu ukichuna break kwa nguvu, tairi zina bust kwa friction, gari inapinduka unaua abiria 100 kwa kumkwepa mtu mmoja?. Ukimkwepa, kutokana na high velocity, gari inapoteza mwelekeo na kupinduka kwa bingiri bingiri na kuchinja abiria wote, unaamua?.
P
Kumbuka kwa MTU huyo mmoja utaona bora umpitie ili uokoe 100 wasiangamie. Jee akitokea tembo naye? Utampitia tuu ili uponye 100? Ndio utajuwa kwa nini dereva anafundishwa kuendesha kwa tahadhari maana uhai was 100 kaushika yeye.
Pascal usimtetee ndugu yako, unless hapa intention ni kumkejeli jambo ambalo siku akikugundua kuwa "huwa kumbe ulikuwa unamkekeli" utakuwa na hali mbaya kuliko Identified user wanaokosoa kwa uwazi na ukweli na ukweli anaujua.
 
Haya bhana, bora afe mmoja ili kumi wafike vema ila kumbuka tahadhari ya dereva barabarani ni muhimu sana kwa usalama. Kama anaweza pita kwa mwendokasi wa 180kph huku barabara ni chini ya 90kph mwenye makosa ni dereva na abiria aliowabeba kushindwa kumdhibiti huyu dereva ambae nahisi amekunywa Pombe ya Chato
Tena usikute miongoni mwa abiria kuna wadunguaji, walipomuona tuu yule mtu aliyesimama kati kati ya barabara, na wanajua lazima dereva atampitia tuu na kwa vile amesimama lazima pia atasababisha impact, waduguaji wanaoweza kuamua kumlaza kwanza chini ili kupunguza impact, ndipo gari inampitia kwa juu na kuendelea na safari mwendo mdundo as if nothing happened!. Uamuzi wa kumlaza sio wa dereva, yeye dereva aliambiwa aendelee tuu kuendesha as if mbele hakuna kitu.

Usikute hata siku ile naohodha wetu alipozungumzia kinachofanywa vitani kwenye usaliti, na akasema wazi wazi, tuko vitani kwenye vita vya kiuchumi, na vita ya kiuchumi ni mbaya kuliko vita ya kawaida, vita ya kawaida adui unamjua unamuona unamuwahi kabla hajakuwahi, lakini vita ya kiuchumi, adui humjui, na aliposema tuu kuwa kuna mmoja simu yake tumeidukua, pale pale vijana wa kazi wakaingia kazini kusafisha barabara, kabla gari ya mwendokasi haijamfikia, wakaamua kumlaza kabla na hata bila kumwambia dereva kuwa wanamsafishia njia, dereva yeye kazi yake iwe ni moja tuu, kuendesha huku macho mbele, kanyaga mafuta, kanyaga mwendo, mwendo mdundo, mbele kwa mbele asitazame pembeni hadi tufike safari yetu.
P
 
Unatuma mawakili 15 kupambana na raia wako aliyeshindiliwa risasi 30 na watu wasiojulikana,hapana lazima utakuwa unawajua naapia lazima utakuwa unawajua
 
Dot
Dotto Bulendu wewe ni Mhadhiri hapo SAUT Main Campus. Ebu ondokaka kazini bila kutoa taarifa rasmi kwa uongozi uone kama hicho kibarua utaendelea kuwa nacho. Hata kwenye kusomea "ufather" ulipigwa chini kwasababu hukufuata misingi halafu unawatetea wengine. Ajabu sana!
kwan lissu aliondok bila taarifa?kwa akili yako alikua anakula bata Nairobi na Ubelgiji?pumbafu sanaa,eti nae mama yako alishikwa uchungu kuzaa bumunda kama ww
 
103 Reactions
Reply
Back
Top Bottom