Dotto Bulendu: Tumefika Hapa? Hakika Tumepoteza Mwelekeo kama Taifa

Dotto Bulendu wewe ni Mhadhiri hapo SAUT Main Campus. Ebu ondokaka kazini bila kutoa taarifa rasmi kwa uongozi uone kama hicho kibarua utaendelea kuwa nacho. Hata kwenye kusomea "ufather" ulipigwa chini kwasababu hukufuata misingi halafu unawatetea wengine. Ajabu sana!
 
Duh! Una roho ngumu. .. Unafanyaje hivi mpaka mtu unakua na roho ngumu kama yako?

hata mm sijajua inatakiwa ufanyaje mpaka uwe na roho ngumu kias hiki!

kwa bandiko hili hata kama nasapoti serikali napita kimya kimya! maana lina laana ndan yake.

nawalumbusha wanaoshabikia uovu wanaofanyiwa wengine Mungu wetu hajalala anawaona na atawalipa tuu!kama si wao ni kizazi chao cha tatu na cha nne! ipo kwenye amri za Mungu
 
Dot
Dotto Bulendu wewe ni Mhadhiri hapo SAUT Main Campus. Ebu ondokaka kazini bila kutoa taarifa rasmi kwa uongozi uone kama hicho kibarua utaendelea kuwa nacho. Hata kwenye kusomea "ufather" ulipigwa chini kwasababu hukufuata misingi halafu unawatetea wengine. Ajabu sana!
Kampige risasi walau 6
 
Unitukane, unidhihaki, unidhalilishe duniani, uisaliti nchi ninayoiongoza, uniite dikteta, uniite rubbish, bado nikuangalie, nikutibie, nikulipe mshahara, nikulindie kibarua chako. Kwani we umekuwa nani Mungu??!! Au binadamu namba moja duniani?!! Mwambieni kwanza ajifunze kuheshimu watu na mamlaka..mengine ataongezewa. Vinginevyo hata kidogo alicho nacho atanyang' anywa.
 
Tatizo lako umeshindwa kudiscuss kichwani Mwako. Uko biased. Mungu unayemtaja ameweka pia natural law ya kutohukumu mtu bila kumsikiliza. MgonjwA unayemtaja amezunguka mataifani akimtuhumu kiongozi Wa nchi na kuongea mambo ya „kitubio“ ya nyumbani kwetu. Akitaja mpaka na uhalali Wa mashoga. Kwanini asionekane mzima. Kwanini asifanye vitu official. Mkuki kwa nguruwe.
 
Tatizo kubwa ni ongezeko kubwa LA uzao wa shetani. Kukamatwa ndege ni jambo muhimu zaidi kuliko maisha ya binadamu. We Mungu tuokoe. Amen
 
Sio kweli, nyie mnaompongeza kwa kufikiwa na zamu, ndio haswa mmepoteza uwezo wa kufikiri na kutafakari
Dotto Bulendu namfahamu vizur Sana na Ni ndugu yangu wa karibu Sana. lkn lazima nikili kwamba....
Tangu kusitishwa kakipindi kake Flani pale star TV na kauwezo kake ka kufikiri kameshuka Kama 37% ivi,yaani anacopy tu matukio pumba tupu ataki kuumizwa kichwa
 
Wote waliomfanyia mhe lissu either kwa kupanga kumua au kushirik kwa namna yoyote ile kumpiga risasi pamoja na kumnyima haki zake za kimungu hawhitaji kuombewa mema bali kisasi cha Mungu kipo juu yao na vizazi vyao

Siasa za Tanzania zinahuzunisha sana yaan watu hawaoni thamani ya wengine kuishi kisa tu vyama

God knows and every politicians will reap what s/he planted time will judge
 
Back
Top Bottom