Dotto Bulendu: Tumefika Hapa? Hakika Tumepoteza Mwelekeo kama Taifa

Unitukane, unidhihaki, unidhalilishe duniani, uisaliti nchi ninayoiongoza, uniite dikteta, uniite rubbish, bado nikuangalie, nikutibie, nikulipe mshahara, nikulindie kibarua chako. Kwani we umekuwa nani Mungu??!! Au binadamu namba moja duniani?!! Mwambieni kwanza ajifunze kuheshimu watu na mamlaka..mengine ataongezewa. Vinginevyo hata kidogo alicho nacho atanyang' anywa.
unajua level of tolerance kwa kiongoz wa nchi au jesh au bdo unapuyanga tu?kiongoz yyte lazma ku accept critizism kwan dunia ya ss ipo kweny rennaissance kipnd cha ku reason,ss ukishndwaa ulingo wa ku reasoning mbadala wake usiwe kutumia mabavu
 
Kwa Akili ya kibinadamu utaamini kuwa:- john, job na mtaturu walihusika kupanga na kutekeleza mipango ya kupigwa risasi, kunyimwa gharama za matibabu, kuvuliwa ubunge na hata haya maamuzi ya mahakama kuna viashiria kuna maamuzi ya wakubwa.

WATU WANAFANYÀ UNAFIKI, ETI MNIOMBEE KWA MUNGU.

Kwa hali hii, wacha ndege zikamatwe, zitumbukie baharini na zingine ziwake moto. Magari ya serikali yaache njia.

Kauli za viongozi zizidikutofautiana ili hatimaye mnara wa babeli usijengeke.

Huko majeshini iwe kama mbagara na gongo la mboto.

Kidatu na mtera maji yakauke.

Ikinyesha mvua iwe janga la mafuriko kidatu na mtera ziende na maji.

Simba, tembo, faru, nyati, chui na fisi wavamie miji na vijiji.

Bahari nayo ivamie nchi kavu.hasa kwenye majengo yale ya nanii.

Upepo, mainzi, chawa na nge ziwepo kila mahali.

Mpaka hapo kiburi kitakapokwisha.
 
Kuna maswala ukiyaandika kwa ushabiki yanaharibu. Tunapotoa maoni kwenye maswala ya kitaifa hasa kwa mwalimu na mwandishi wa habari kama Dotto lazima uweze kuweka mizani ya habari zako vizuri, wazungu wanasema balance report.

Kwenye uzi huu Dotto umeongelea bahari za kifo na Mateso aliyopitia Lisu, pili umeongelea vyazifa zake za uongozi.
Kwenye mateso aliyopitia sitaki niongelee sana hapa, ila nitaongelea badae.
Ninachotaka kusema kwa sasa ni kwamba Kupoteza kwa ubunge wake kuna watu lazima wafurahie kwa sababu zifuatazo.
1. Lissu ametumia uhuru wake wa kujieleza vizuri sana hadi kupitiliza.
2. Lissu anatumai maneno makali sana hadi yanaumiza na kukela watu.
3. Lissu anamuandama sana Rais wa nchi hadi anasahau hata kazi yake ya Ubunge kiasi kwamba wafuasi wa Rais na Rais mwenyewe wanakeleka. Kwa nini umukele mwenzako wakati anatekeleza majukumu yake ya kitaifa kwa kiasi kile?
4. Lissu kaamua kwenda nchi za nje huko kwenda kumkela tu Rais wa nchi na watanzania, huku akiomba TZ ikose ushirikiano wa kimataifa, Bahati mbaya wamempuuza huko.
5. Lissu mekuwa mtu wa kufurahis nchi inapokosea na inaposhitakiwa badala ya kusaidia jinsi ya kuninasua na badala yake anatumia maneno ya kejeli sana kukosoa na kuona wenzake hawana akili.
Lissu asizani kumkela mkuu wa nchi unaweza ukawa huru na salama popote pale duniani.

Tujifunze kuwa na kiasi.

Nakushauri Dotto uwe unaweka usawa . kama unataka kuwe na furaha hii nchi lazima kila mmoja aambiwe kosa lake katika jamii.

Kuna makosa hayawezi kupelekwa mahakamani ila lazima yakemewe kijamii na kwa kalamu. Lissu aonywe, anakela watu na wanakosa Amani moyoni.
 
Ameandika Mwandishi Dotto Bulendu

1.Amejeruhiwa na Risasi mchana kweupe,wenzake pamoja na Kiongozi wao mkuu wa mhimili wakaenda kumuona hospital ya Rufaa akiwa hajitambui,anavuja damu,haongei wala hajui chochote.

2.Alipelekwa Hospital Nairobi bila uficho,Rais mstaafu wa nchi hiyo,Makamu wa Rais wa nchi wakaenda Nairobi kumuona na kumpa pole.

3.Familia yake ikaandika barua ofisini kwake kuomba apatiwe haki yake ya matibabu,ofisi yake ikajibu kuwa haiwezi kubeba hizo gharama kwani utaratibu wake wa kwenda Nairobi Hospital eti haukufuatwa.

4.Akatangazwa kusitishiwa mshahara wake,akalalamika baadae akarudishiwa mshahara Kama ilivyo kawaida.

Akiwa kitandani anaupambania uhai wake,akatangazwa kuwa amefutwa ubunge kwa madai kuwa hajulikani alipo na hajajaza fomu za mali na madeni za watumishi kwa mujibu wa sheria,kuondoshwa kwenye ubunge kwa tuhuma hizi kutamuweka nje ya ulingo wa kuwania nafasi za uwakilishi za kisiasa mfano Ubunge na Urais kwa miaka mitano.

Haki ya msingi ya binadamu yeyote ni haki ya kuishi,ndiyo maana linapokuja suala la kupigania Uhai gari la kubeba wagonjwa halifungwi na sheria za barabarani maana tunalenga kuokoa uhai wa binadamu.

Mtu mwenye utu,anayeamini Mungu yupo,anayesali Kanisani ama msikitini au popote hawezi weka masharti kwenye suala la kuokoa uhai wa mtu.

Mtu mwenye utu,anayemuogopa Mungu hawezi fanya sherehe ya kufurahia bunadamu mwenzake kupita kwenye tishio la kupoteza uhai.

Mtu anayemuogopa Mungu hawezi shabikia tishio ana jaribio la binadamu mwenzake kuuawa,leo kama kuna mtu anamdhikahi mtu aliyenusulika kifo na kuwa sehemu ya mkakati wowote wa kumzidishia mateso binadamu yeyote aliyepo duniani kwa kusudi la Mungu akasome Mwanzo,Zaburi,injili,Ufunuo na Quran tukufu aone kama kuna sehemu inayosema tufurahie mateso ya wenzetu.

Kwa nini ufurahie mateso ya mwenzako?Maandiko matakatifu yanatuambia amri kuu kuliko zote ni Upendo,kweli tumefika mahali upendo siyo sehemu ya maisha na sasa tunaweza furahia mateso ya binadamu?

Sheria tulizotunga wenyewe zinasema Uhai ni moja ya msingi mkuu wa binadamu,Uhai hauna mbadala,ukitoka umetoka,leo kweli tunajenga jamii ya watu wanaoweka masharti makali dhidi ya binadamu anayepigania uhai wake?

Leo tumefika mahali binadamu wanapelekena kwenye vyombo vya sheria tena za binadamu kuvutana kwa hoja kuwa mgonjwa alikosea ama hakukosea kupambania uhai wake?

Leo tunajenga jamii inayokusubiri unasuke na kifo halafu ianzishe mjadala wa kama ulikosea ama kupatia kuupambania uhai wako?

Ni jamii hii hii inayosali kwa kusema...

"Eeeh mwenyezi Mungu Mtukufu ,
Muumba Mbingu na Dunia
Umeweka katika Dunia Serikali za wanadamu na Mabunge ya mataifa ili haki yako itendeke""

Kila nikisoma mistari hiyo, najiuliza ni haki gani tunaizungumzia? wakati haki ya kwanza ya binadamu yeyote ni uhai?leo tuna jamii isiyoguswa na uhai wa binadamu,ipo tayari kwenda kubishana kisheria eti binadamu aliyeupambania uhai wake kakosea na anastahili Adhabu?

Ni Mungu yupi tunayemtaja kila siku?ama kuna Mungu mwingine ambaye hatambui thamani ya uhai na ameweka mipaka ya namna ya kuupambania uhai?maana jumapili iliyopita nilipokwenda kusali,tukaambiwa Mungu wetu hapendi watu wanaojikweza na waliojaa viburi.

Mungu anatutaka tuwe wanyenyekevu,tusubiri kukwezwa na tusijikweze,tunajenga jamii ya watu wenye viburi,wasiostushwa na kuono mioyo ya watu inajazwa chuki.

Eeeh Mwenyezi Mungu utusaidie.
Tulia, Kesi iko Mahakamani
 
Dotto Bulendu namfahamu vizur Sana na Ni ndugu yangu wa karibu Sana. lkn lazima nikili kwamba....
Tangu kusitishwa kakipindi kake Flani pale star TV na kauwezo kake ka kufikiri kameshuka Kama 37% ivi,yaani anacopy tu matukio pumba tupu ataki kuumizwa kichwa
 
Jina lako halisadifu ueoewa wako nadhani ipo namna katika ufikiri na utu wako kiujumla.
 
Karma is bi..h wait your time he will reply what you was ask for

Maneno yako ni machache na umeandika kwa hisia kali. Kweli Watanzania tumefika pabaya sana, ndiyo maana kwa machukizo tunayofanya dhidi ya Mwenyezi Mungu tunapata majanga kama haya ya kulipuka kwa malori ya mafuta na watu kufa.

Au kushikwa kwa ndege yetu ya Airbus 220 kwa deni dogo tu linalolipika. Hakika Mungu hapendi namna JPM anavyoendesha nchi. Tumeacha misingi ya undugu na upendo badala yake imekuwa nchi ya uhasama, chuki, fitna na visasi kila uchao.
 
Ameandika Mwandishi Dotto Bulendu
1.Amejeruhiwa na Risasi mchana kweupe,wenzake pamoja na Kiongozi wao mkuu wa mhimili wakaenda kumuona hospital ya Rufaa akiwa hajitambui,anavuja damu,haongei wala hajui chochote.
2.Alipelekwa Hospital Nairobi bila uficho,Rais mstaafu wa nchi hiyo,Makamu wa Rais wa nchi wakaenda Nairobi kumuona na kumpa pole.
3.Familia yake ikaandika barua ofisini kwake kuomba apatiwe haki yake ya matibabu,ofisi yake ikajibu kuwa haiwezi kubeba hizo gharama kwani utaratibu wake wa kwenda Nairobi Hospital eti haukufuatwa.
4.Akatangazwa kusitishiwa mshahara wake,akalalamika baadae akarudishiwa mshahara Kama ilivyo kawaida.
Akiwa kitandani anaupambania uhai wake,akatangazwa kuwa amefutwa ubunge kwa madai kuwa hajulikani alipo na hajajaza fomu za mali na madeni za watumishi kwa mujibu wa sheria,kuondoshwa kwenye ubunge kwa tuhuma hizi kutamuweka nje ya ulingo wa kuwania nafasi za uwakilishi za kisiasa mfano Ubunge na Urais kwa miaka mitano.
Haki ya msingi ya binadamu yeyote ni haki ya kuishi,ndiyo maana linapokuja suala la kupigania Uhai gari la kubeba wagonjwa halifungwi na sheria za barabarani maana tunalenga kuokoa uhai wa binadamu.
Mtu mwenye utu,anayeamini Mungu yupo,anayesali Kanisani ama msikitini au popote hawezi weka masharti kwenye suala la kuokoa uhai wa mtu.
Mtu mwenye utu,anayemuogopa Mungu hawezi fanya sherehe ya kufurahia bunadamu mwenzake kupita kwenye tishio la kupoteza uhai.
Mtu anayemuogopa Mungu hawezi shabikia tishio ana jaribio la binadamu mwenzake kuuawa,leo kama kuna mtu anamdhikahi mtu aliyenusulika kifo na kuwa sehemu ya mkakati wowote wa kumzidishia mateso binadamu yeyote aliyepo duniani kwa kusudi la Mungu akasome Mwanzo,Zaburi,injili,Ufunuo na Quran tukufu aone kama kuna sehemu inayosema tufurahie mateso ya wenzetu.
Kwa nini ufurahie mateso ya mwenzako?Maandiko matakatifu yanatuambia amri kuu kuliko zote ni Upendo,kweli tumefika mahali upendo siyo sehemu ya maisha na sasa tunaweza furahia mateso ya binadamu?
Sheria tulizotunga wenyewe zinasema Uhai ni moja ya msingi mkuu wa binadamu,Uhai hauna mbadala,ukitoka umetoka,leo kweli tunajenga jamii ya watu wanaoweka masharti makali dhidi ya binadamu anayepigania uhai wake?
Leo tumefika mahali binadamu wanapelekena kwenye vyombo vya sheria tena za binadamu kuvutana kwa hoja kuwa mgonjwa alikosea ama hakukosea kupambania uhai wake?
Leo tunajenga jamii inayokusubiri unasuke na kifo halafu ianzishe mjadala wa kama ulikosea ama kupatia kuupambania uhai wako?
Ni jamii hii hii inayosali kwa kusema...
"Eeeh mwenyezi Mungu Mtukufu ,
Muumba Mbingu na Dunia
Umeweka katika Dunia Serikali za wanadamu na Mabunge ya mataifa ili haki yako itendeke""
Kila nikisoma mistari hiyo, najiuliza ni haki gani tunaizungumzia? wakati haki ya kwanza ya binadamu yeyote ni uhai?leo tuna jamii isiyoguswa na uhai wa binadamu,ipo tayari kwenda kubishana kisheria eti binadamu aliyeupambania uhai wake kakosea na anastahili Adhabu?
Ni Mungu yupi tunayemtaja kila siku?ama kuna Mungu mwingine ambaye hatambui thamani ya uhai na ameweka mipaka ya namna ya kuupambania uhai?maana jumapili iliyopita nilipokwenda kusali,tukaambiwa Mungu wetu hapendi watu wanaojikweza na waliojaa viburi.
Mungu anatutaka tuwe wanyenyekevu,tusubiri kukwezwa na tusijikweze,tunajenga jamii ya watu wenye viburi,wasiostushwa na kuono mioyo ya watu inajazwa chuki.
Eeeh Mwenyezi Mungu utusaidie.
Hiyo mistari ya sala ya bunge ni wimbo tu wa kasuku kwani hata wao huwa hawaikumbuki wakimaliza kuimba.
 
simply acha kuwa mpumbavu
Dotto Bulendu namfahamu vizur Sana na Ni ndugu yangu wa karibu Sana. lkn lazima nikili kwamba....
Tangu kusitishwa kakipindi kake Flani pale star TV na kauwezo kake ka kufikiri kameshuka Kama 37% ivi,yaani anacopy tu matukio pumba tupu ataki kuumizwa kichwa
 
Dotto Bulendu namfahamu vizur Sana na Ni ndugu yangu wa karibu Sana. lkn lazima nikili kwamba....
Tangu kusitishwa kakipindi kake Flani pale star TV na kauwezo kake ka kufikiri kameshuka Kama 37% ivi,yaani anacopy tu matukio pumba tupu ataki kuumizwa kichwa
So what! you do not value his contribution? We do value this contribution. So GO TO HELL if you are against this! You can also be linked to fake homosapiens or may be you are the remainder Homohabilis?
 
Dotto Bulendu namfahamu vizur Sana na Ni ndugu yangu wa karibu Sana. lkn lazima nikili kwamba....
Tangu kusitishwa kakipindi kake Flani pale star TV na kauwezo kake ka kufikiri kameshuka Kama 37% ivi,yaani anacopy tu matukio pumba tupu ataki kuumizwa kichwa

Really? Ndiyo maana ameandika hivi? Mungu tunusuru na roho za kishetani!
 
Duh! Una roho ngumu. .. Unafanyaje hivi mpaka mtu unakua na roho ngumu kama yako?

Ndugu yangu, hujawahi kufuatilia wale wapiganaji wanaojinasibu kuwa wanapigania Dola la Kiislamu ambao huua binadamu wenzao kwa kumchinja kama kuku? Nasi katika kipindi kifupi tumeshatengeneza roho za aina hiyo! Na usishangae kuambiwa ni kodi yako ndiyo iliyofanya kazi hiyo! Tumuombe sana Mungu atunusuru na roho hizi.
 
Tupo kwenye awamu iliyojaa unyama na ukatili uliopiliza.Ni kwa neema ya Mwenyezi Mungu tu mwingi wa huruma,ITUSAIDIE.
 
Kuondoka kazini ni tofauti na kuondoka kwa kushambuliwa kwa risasi nusu ya kufa. Na hata ingetokea hivyo bado mkuu wake wa chuo angekuwa mstari wa mbele kujua mfanyakazi wake anaendeleaje na chuo kingeshiriki kumtibu. Je spika na bunge wamefanya hivyo kwa Lissu?

Aidha atapewa nafasi ya kujitetea kwanini asindolewe kazini na utetezi wake usipotosheleza ndiyo aondolewe.
 
Ameandika Mwandishi Dotto Bulendu

1.Amejeruhiwa na Risasi mchana kweupe,wenzake pamoja na Kiongozi wao mkuu wa mhimili wakaenda kumuona hospital ya Rufaa akiwa hajitambui,anavuja damu,haongei wala hajui chochote.

2.Alipelekwa Hospital Nairobi bila uficho,Rais mstaafu wa nchi hiyo,Makamu wa Rais wa nchi wakaenda Nairobi kumuona na kumpa pole.

3.Familia yake ikaandika barua ofisini kwake kuomba apatiwe haki yake ya matibabu,ofisi yake ikajibu kuwa haiwezi kubeba hizo gharama kwani utaratibu wake wa kwenda Nairobi Hospital eti haukufuatwa.

4.Akatangazwa kusitishiwa mshahara wake,akalalamika baadae akarudishiwa mshahara Kama ilivyo kawaida.

Akiwa kitandani anaupambania uhai wake,akatangazwa kuwa amefutwa ubunge kwa madai kuwa hajulikani alipo na hajajaza fomu za mali na madeni za watumishi kwa mujibu wa sheria,kuondoshwa kwenye ubunge kwa tuhuma hizi kutamuweka nje ya ulingo wa kuwania nafasi za uwakilishi za kisiasa mfano Ubunge na Urais kwa miaka mitano.

Haki ya msingi ya binadamu yeyote ni haki ya kuishi,ndiyo maana linapokuja suala la kupigania Uhai gari la kubeba wagonjwa halifungwi na sheria za barabarani maana tunalenga kuokoa uhai wa binadamu.

Mtu mwenye utu,anayeamini Mungu yupo,anayesali Kanisani ama msikitini au popote hawezi weka masharti kwenye suala la kuokoa uhai wa mtu.

Mtu mwenye utu,anayemuogopa Mungu hawezi fanya sherehe ya kufurahia bunadamu mwenzake kupita kwenye tishio la kupoteza uhai.

Mtu anayemuogopa Mungu hawezi shabikia tishio ana jaribio la binadamu mwenzake kuuawa,leo kama kuna mtu anamdhikahi mtu aliyenusulika kifo na kuwa sehemu ya mkakati wowote wa kumzidishia mateso binadamu yeyote aliyepo duniani kwa kusudi la Mungu akasome Mwanzo,Zaburi,injili,Ufunuo na Quran tukufu aone kama kuna sehemu inayosema tufurahie mateso ya wenzetu.

Kwa nini ufurahie mateso ya mwenzako?Maandiko matakatifu yanatuambia amri kuu kuliko zote ni Upendo,kweli tumefika mahali upendo siyo sehemu ya maisha na sasa tunaweza furahia mateso ya binadamu?

Sheria tulizotunga wenyewe zinasema Uhai ni moja ya msingi mkuu wa binadamu,Uhai hauna mbadala,ukitoka umetoka,leo kweli tunajenga jamii ya watu wanaoweka masharti makali dhidi ya binadamu anayepigania uhai wake?

Leo tumefika mahali binadamu wanapelekena kwenye vyombo vya sheria tena za binadamu kuvutana kwa hoja kuwa mgonjwa alikosea ama hakukosea kupambania uhai wake?

Leo tunajenga jamii inayokusubiri unasuke na kifo halafu ianzishe mjadala wa kama ulikosea ama kupatia kuupambania uhai wako?

Ni jamii hii hii inayosali kwa kusema...

"Eeeh mwenyezi Mungu Mtukufu ,
Muumba Mbingu na Dunia
Umeweka katika Dunia Serikali za wanadamu na Mabunge ya mataifa ili haki yako itendeke""

Kila nikisoma mistari hiyo, najiuliza ni haki gani tunaizungumzia? wakati haki ya kwanza ya binadamu yeyote ni uhai?leo tuna jamii isiyoguswa na uhai wa binadamu,ipo tayari kwenda kubishana kisheria eti binadamu aliyeupambania uhai wake kakosea na anastahili Adhabu?

Ni Mungu yupi tunayemtaja kila siku?ama kuna Mungu mwingine ambaye hatambui thamani ya uhai na ameweka mipaka ya namna ya kuupambania uhai?maana jumapili iliyopita nilipokwenda kusali,tukaambiwa Mungu wetu hapendi watu wanaojikweza na waliojaa viburi.

Mungu anatutaka tuwe wanyenyekevu,tusubiri kukwezwa na tusijikweze,tunajenga jamii ya watu wenye viburi,wasiostushwa na kuono mioyo ya watu inajazwa chuki.

Eeeh Mwenyezi Mungu utusaidie.
Maswali fikirishi 1.ninani anasababisha uzalendo usiwepo Tanzania 2.ninani anahimiza watanzania wawe wazalendo 'kauli mbiu 2020 kutokomeza unafiki Tanzania inawezekana chukua hatua'
 
Back
Top Bottom