Dotto Bulendu amchambua James Mbatia

Dotto Bulendu amchambua James Mbatia

Baba endeleza huo wanaouita usaliti mpaka mwanao nimalize masters yangu kwanza, ukileta za kuleta, hao wanaokushabikia hawatanisomesha siku ukilikosa jimbo, si unajua maisha ya uingereza yalivyo.
 
Fisadi yupi huyo?
Yule aliye rudi ccm juzi akapokelewa kama mfalme?

Wewe kama ni mwana ccm basi unamvunjia heshima mwenye chama chake
Waliosaliti wote Mageuzi ya 2015 wanafahamika kiongozi, kwa kuruhusu fisadi awe mgombea uraisi.

In God we Trust
 
Hata pale magogoni kuna jimbo tu
Baba endeleza huo wanaouita usaliti mpaka mwanao nimalize masters yangu kwanza, ukileta za kuleta, hao wanaokushabikia hawatanisomesha siku ukilikosa jimbo, si unajua maisha ya uingereza yalivyo.

In God we Trust
 
Fisadi yupi huyo?
Yule aliye rudi ccm juzi akapokelewa kama mfalme?

Wewe kama ni mwana ccm basi unamvunjia heshima mwenye chama chake

In God we Trust
Mafisadi wote wanafahamika nchi hii, pale watu waliporuhusu fisadi agombee uraisi ndio kaburi lilichimbwa, na juzi nimesikia bwana mkubwa akisema Kama Membe atakuwa tayari kujiunga CDM basi anamkaribisha, hajifunzi kwa yaliyopita.
 
1583570893379.png

Huyu ndiye Mbatia wa 2020
 
Ajifunze nini jipya kwenye siasa za kibongo? Lowasa alipo toka ccm kuhamia cdm wana ccm walimtukana kila aina ya matusi. Lkn leo hii karudi ccm anashangiliwa na kutukuzwa na hao hao wana ccm utazani kabatizwa na maiji ya moto!
Mafisadi wote wanafahamika nchi hii, pale watu waliporuhusu fisadi agombee uraisi ndio kaburi lilichimbwa, na juzi nimesikia bwana mkubwa akisema Kama Membe atakuwa tayari kujiunga CDM basi anamkaribisha, hajifunzi kwa yaliyopita.

In God we Trust
 
Mkuu Mishenyi ya gaburanga, au ya pale bijaba?
Mbatia ni mtu dhaifu sana zee zima linatumika!! Mimi na umri huu siwezi ila mbatia kaweza

In God we Trust
 
Nimesikiliza mahojiano kati ya Mwenyekiti wa Taifa wa NCCR Mageuzi Na mwandishi wa Habari ,katika mazungumzo hayo Mbatia kasema.

1.Watu wakiendelea kumsakama Kwa kumuita msaliti,atamwaga siri zote za UKAWA Na nani alikuwa anasaidia UKAWA.

2.Analalamika kuwa UKAWA ulisababisha Idadi ya Wabunge kutoka NCCR Mageuzi kuporomoka kutoka watano mpaka mmoja,Na pia hata ile nafasi moja ya Mbunge wa Afrika Mashariki wakaipoteza.

3.Analalamika pia hata Makao Makuu ya UKAWA hayakuwa NCCR.

Baada ya kumsikiliza Mbatia nimejiuliza maswali mengi

1.Kwa nini Mh Mbatia analalamika leo kuhusu UKAWA?

2.Mbatia anahofia nini kueleza nia ovu ya UKAWA Kama kweli analitakia heri taifa hili?

3.Je Mbeya ni Jimbo la Mbatia? Na je, ni jimboni kwa mbunge wa NCCR au? Kama sivyo je, kauli iliyotolewa kwamba kila mbunge afanye shughuli za siasa jimboni kwake haikumhusu Mbatia?

4.Kama ina mhusu imekuwaje kwenda kutoa hamasa Mbeya? Je, tayari Kampein zimeshaanza kwa vyama vyote na Mbatia kaona kwa kuanza kueleza sera za chama chake ni Mbeya?

Kama Mbatia ana mapenzi Na nchi yake,anahofia nini kueleza hayo mabaya ya UKAWA?

In God we Trust
ana madhara kwa upinzani
 
Back
Top Bottom