Dotto Bulendu amchambua James Mbatia

Dotto Bulendu amchambua James Mbatia

Labda sema shushushu asiejitambua, kwani wale wa marekani wanaofikia hatua ya kueleza anayofanya Trump sio wabobevu au wajinga? Hakuna shushushu wa mtu au wa Rais ni wa Taifa. Usalama wa Taifa.
Shushushu wa kijinga
 
Sasa hivi Mbatia analialia ooo natukanwa sana matusi makubwa lkn navumilia.

Naona linalo muuma zaidi ni kudhaniwa kuwa jamaa ni bahati mbaya

In God we Trust
Hakuna anayemtukana bali anajitukana mwenyewe. Watu wanachofanya ni kumwelezea jinsi alivyo na afanyavyo. Hatakiwi kumlaumu mtu zaidi ya nafsi yake mwenyewe.

Rais anafanya vizuri ili kuweza kuwatambua watu hawa. Wanamsema vibaya, wanamkosoa na kumkejeli kama vile wana uzalendo na maono kuwazidi wale waliopo CCM.

Kisha Rais kuweza kuwapima anawalambisha kidogo tu hela na ahadi ya vyeo, kwisha kabisa. Wanaanza kuimba nyimbo za kumsifa Rais yule yule waliyekuwa wakimkosoa mwanzoni. Baada ya hapo Rais anajua kuwa huyu siyo wa kumwamini ni opportunist. Mtumie kwa wakati fulani kwa lengo fulami na mahali fulani. Muda ukifika, mtupe tu huko. Hana maana na wala hawezi kuaminika kwa lolote.

Hawa ni kama mke wa mtu, uwe na uhusiano naye, umshauri kumfanyia ubaya mumewe ili aachane naye na kisha umwoe, halafu anakubali. Huyo kamwe siyo mwanamke wa kumwamini kwa lolote. Mtumie kwa starehe yako lakini usimwamini kwa jukumu lolote muhimu na linalohitaji mtu wa kuaminika.

Watu kama Waitara, na wote waliobadilika kutokana na ahadi ya fedha na vyeo, ni wa kuwatumia kwa muda fulani tu huko CCM, kisha ni kuwatupa huko wakahangaike na mambo binafsi, na siyo uongozi. Hawa siku CCM ikipoteza madaraka, watakuwa wa kwanza kuondoka, hawatapoteza muda kuipigania CCM.
 
Swadakta mkuu

In God we Trust
 
Ushushushu wa Mbatia ni wa hovyo tu
Labda sema shushushu asiejitambua, kwani wale wa marekani wanaofikia hatua ya kueleza anayofanya Trump sio wabobevu au wajinga? Hakuna shushushu wa mtu au wa Rais ni wa Taifa. Usalama wa Taifa.

In God we Trust
 
Sasa hivi Mbatia analialia ooo natukanwa sana matusi makubwa lkn navumilia.

Naona linalo muuma zaidi ni kudhaniwa kuwa jamaa ni bahati mbaya

In God we Trust
Niliwahi kusikia mdogo wake yule daktari kwamba ndiye bahati mbaya, na huyu naye?!
 
Tazama kwanza wakati wa kuongea anavyo jiwachia
Niliwahi kusikia mdogo wake yule daktari kwamba ndiye bahati mbaya, na huyu naye?!

In God we Trust
 
Kupanga ni kuchagua alafu hilo swali lako nadhani nikuingilia personal affair za mhusika
Mmawia hivi kinachomfanya Dotto Bulendu kutooa hadi leo na miaka yake zaidi ya hamsini ni nini?

In God we Trust
 
Namfahamu Mbatia. Ukweli ni kuwa si mtu wa kuaminika hata kidogo. Yeye na rafiki yake Mosena Nyambabe aliyewahi kuwa Katibu mkuu wa NCCR Ni watu ndumila kuwili waliomtumbukiza Mabere Marando shimoni kwa msaada wa dola.
Akiongea utadhani ni binadamu, huku nyuma ya pazia Ni msaliti aliyetayari kuuza wenzake kwa vipande 20 vya fedha.
Kwa uhalisia hakuna limbukeni Kama James Mbatia na hivi kachekewa na Magufuli, sasa ni usaliti mtindo mmoja.
 
Ndugu yangu humjui Mbatia weweee. Ni gubu tu linalokusumbua!
 
Ndiyo maana historia yake imejaa habari za ajabu ajabu na kusikitisha

Back
Top Bottom