Dotto Bulendu amchambua James Mbatia

Dotto Bulendu amchambua James Mbatia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,237
Reaction score
98,199
Nimesikiliza mahojiano kati ya Mwenyekiti wa Taifa wa NCCR Mageuzi Na mwandishi wa Habari ,katika mazungumzo hayo Mbatia kasema.

1. Watu wakiendelea kumsakama Kwa kumuita msaliti,atamwaga siri zote za UKAWA Na nani alikuwa anasaidia UKAWA.

2. Analalamika kuwa UKAWA ulisababisha Idadi ya Wabunge kutoka NCCR Mageuzi kuporomoka kutoka watano mpaka mmoja,Na pia hata ile nafasi moja ya Mbunge wa Afrika Mashariki wakaipoteza.

3. Analalamika pia hata Makao Makuu ya UKAWA hayakuwa NCCR.

Baada ya kumsikiliza Mbatia nimejiuliza maswali mengi

1. Kwa nini Mh Mbatia analalamika leo kuhusu UKAWA?

2. Mbatia anahofia nini kueleza nia ovu ya UKAWA Kama kweli analitakia heri taifa hili?

3. Je Mbeya ni Jimbo la Mbatia? Na je, ni jimboni kwa mbunge wa NCCR au? Kama sivyo je, kauli iliyotolewa kwamba kila mbunge afanye shughuli za siasa jimboni kwake haikumhusu Mbatia?

4. Kama ina mhusu imekuwaje kwenda kutoa hamasa Mbeya? Je, tayari Kampein zimeshaanza kwa vyama vyote na Mbatia kaona kwa kuanza kueleza sera za chama chake ni Mbeya?

Kama Mbatia ana mapenzi Na nchi yake, anahofia nini kueleza hayo mabaya ya UKAWA?

In God we Trust
 
Mwalimu Nyerere Alisema!!!
Aliposema Serikali Ya Mwalimu Nimeiweka Mfukoni, Nikajiuliza Ana Mfuko Mpana Kiasi Gani.
Nikajua Anatoa Rushwa, Nikamtupa Ndani.
✍✍😀😁😂😁😄😄
 
Rushwa kwa sasa ndani ya ccm ni kama msomali na fiat 682
Mwalimu Nyerere Alisema!!!
Aliposema Serikali Ya Mwalimu Nimeiweka Mfukoni, Nikajiuliza Ana Mfuko Mpana Kiasi Gani.
Nikajua Anatoa Rushwa, Nikamtupa Ndani.
[emoji871][emoji871][emoji3][emoji16][emoji23][emoji16][emoji1][emoji1]

In God we Trust
 
Mbatia ni Shushushu mbobezi na wanaccm wengi wanamjua
Mpinzani gani ilifikia kuteuliwa na raisi wa awamu ya nne
Swali la msingi sana hilo, na mimi nilikuwa namuamini sana, kumbe ni bozongo tu, ni kweli kwamba amehongwa ndio maana anaona hasira kuitwa msaliti, ukweli unauma sana, aendelee kuitumikia ccm ataona mwisho wake
 
Mbatia anaandamwa na laana ya mzee Augustino Lyatonga Mrema!
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umenikumbusha mbali sana dah na alimwambia unatafuta laana isiyo isha maishani mwako unanichukulia jimbo langu iyo laana aitokuisha aiseee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchaga yule kwisha fikia bei tiyari. Anaamini kuchukua mzigo wa kutosha kustaafu kwa hishima ya ngawira huyo. Kwa usemi wake, tiyari kishajitangaza kuwa ni msaliti. Hata kama hatazisema, nadhani alipokunywa ile juisi pale white house, aliipewa ili atiririke siri zote.

Adui hana shida tena ya kuwapiku UKAWA kwani walimwaga siri zote mbele yake. Njaa ni mbaya sana sana
 
Kwa hiyo wachawi wote wa gambosh wamepewa makazi magogoni haha aisee!!
 
Sasa hivi Mbatia analialia ooo natukanwa sana matusi makubwa lkn navumilia.

Naona linalo muuma zaidi ni kudhaniwa kuwa jamaa ni bahati mbaya

Back
Top Bottom