Dotto Bulendu amchambua James Mbatia

Dotto Bulendu amchambua James Mbatia

Sasa hivi Mbatia analialia ooo natukanwa sana matusi makubwa lkn navumilia.

Naona linalo muuma zaidi ni kudhaniwa kuwa jamaa ni bahati mbaya

In God we Trust
Unamaanisha nini "BAHATI MBAYA"
 
Nimesikiliza mahojiano kati ya Mwenyekiti wa Taifa wa NCCR Mageuzi Na mwandishi wa Habari ,katika mazungumzo hayo Mbatia kasema.

1.Watu wakiendelea kumsakama Kwa kumuita msaliti,atamwaga siri zote za UKAWA Na nani alikuwa anasaidia UKAWA.

2.Analalamika kuwa UKAWA ulisababisha Idadi ya Wabunge kutoka NCCR Mageuzi kuporomoka kutoka watano mpaka mmoja,Na pia hata ile nafasi moja ya Mbunge wa Afrika Mashariki wakaipoteza.

3.Analalamika pia hata Makao Makuu ya UKAWA hayakuwa NCCR.

Baada ya kumsikiliza Mbatia nimejiuliza maswali mengi

1.Kwa nini Mh Mbatia analalamika leo kuhusu UKAWA?

2.Mbatia anahofia nini kueleza nia ovu ya UKAWA Kama kweli analitakia heri taifa hili?

3.Je Mbeya ni Jimbo la Mbatia? Na je, ni jimboni kwa mbunge wa NCCR au? Kama sivyo je, kauli iliyotolewa kwamba kila mbunge afanye shughuli za siasa jimboni kwake haikumhusu Mbatia?

4.Kama ina mhusu imekuwaje kwenda kutoa hamasa Mbeya? Je, tayari Kampein zimeshaanza kwa vyama vyote na Mbatia kaona kwa kuanza kueleza sera za chama chake ni Mbeya?

Kama Mbatia ana mapenzi Na nchi yake,anahofia nini kueleza hayo mabaya ya UKAWA?

In God we Trust
Taifa limejaa matakataka kila Kona

Amkeni wananchi kataeni huu ujinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amepata ubatizo wa moto pale Magogoni
 
Mnasahau haraka nyie jamani. huyu jamaa uchaguzi Fulani aligombea pale jimbo la kawe na akalipiwa na haohao jamaa zake kuonyeshwa mubashara na tbc
Hata kule ukawa alikuwa anazuga tu
Na ninahisi wapinzani wa kweli kule ni wachache. Wengi wao ni mamluki akiwepo huyo mbatia
 
Nakumbuka nikiwa mtoto primary nikifanya kosa na dadangu akaniona basi nakuwa mnyonge kwake ili asinisemee..

Kila nimejaribu kupinga anachoniambia anasema ..unabishaa eee NTAKWENDA KUKUSEMA KWA BABA, narudi kuwa mpole na naishi maisha magumu mno.

Mheshimiwa Mbatia na yeye anatumia Technique ile ile...ATASEMA KILA KITU kama atasakamwa!!
 
Hakuna aliye sahau mkuu

In God we Trust
 
Hakuna mpinzani mwenye ubongo kama wake
Nakumbuka nikiwa mtoto primary nikifanya kosa na dadangu akaniona basi nakuwa mnyonge kwake ili asinisemee..

Kila nimejaribu kupinga anachoniambia anasema ..unabishaa eee NTAKWENDA KUKUSEMA KWA BABA, narudi kuwa mpole na naishi maisha magumu mno.

Mheshimiwa Mbatia na yeye anatumia Technique ile ile...ATASEMA KILA KITU kama atasakamwa!!

In God we Trust
 
Baada ya kunywa juisi ya Ikulu ndo siri za UKAWA za kumwagwa hadharani zimepatikana, siku zote zilikuwa hazipo.
 
Nimesikiliza mahojiano kati ya Mwenyekiti wa Taifa wa NCCR Mageuzi Na mwandishi wa Habari ,katika mazungumzo hayo Mbatia kasema.

1. Watu wakiendelea kumsakama Kwa kumuita msaliti,atamwaga siri zote za UKAWA Na nani alikuwa anasaidia UKAWA.

2. Analalamika kuwa UKAWA ulisababisha Idadi ya Wabunge kutoka NCCR Mageuzi kuporomoka kutoka watano mpaka mmoja,Na pia hata ile nafasi moja ya Mbunge wa Afrika Mashariki wakaipoteza.

3. Analalamika pia hata Makao Makuu ya UKAWA hayakuwa NCCR.

Baada ya kumsikiliza Mbatia nimejiuliza maswali mengi

1. Kwa nini Mh Mbatia analalamika leo kuhusu UKAWA?

2. Mbatia anahofia nini kueleza nia ovu ya UKAWA Kama kweli analitakia heri taifa hili?

3. Je Mbeya ni Jimbo la Mbatia? Na je, ni jimboni kwa mbunge wa NCCR au? Kama sivyo je, kauli iliyotolewa kwamba kila mbunge afanye shughuli za siasa jimboni kwake haikumhusu Mbatia?

4. Kama ina mhusu imekuwaje kwenda kutoa hamasa Mbeya? Je, tayari Kampein zimeshaanza kwa vyama vyote na Mbatia kaona kwa kuanza kueleza sera za chama chake ni Mbeya?

Kama Mbatia ana mapenzi Na nchi yake, anahofia nini kueleza hayo mabaya ya UKAWA?

In God we Trust

MBATIA Ni malaya na sasa ameamua kuwa boot licker
IMG_20191105_112729.jpg
kama alivyosema Baba wa Taifa
 
Mbatia ni Shushushu mbobezi na wanaccm wengi wanamjua
Mpinzani gani ilifikia kuteuliwa na raisi wa awamu ya nne
Labda sema shushushu asiejitambua, kwani wale wa marekani wanaofikia hatua ya kueleza anayofanya Trump sio wabobevu au wajinga? Hakuna shushushu wa mtu au wa Rais ni wa Taifa. Usalama wa Taifa.
 
Back
Top Bottom