Dotto Bulendu amchambua James Mbatia

Dotto Bulendu amchambua James Mbatia

Aisee hapa nagundua unafiki utalitafuna taifa hiki.
Namheshimu sana kama mtu tu Kwa sasa na si mpinzani tena na amewai mno kuonesha sura yake hadharani
Kwa heshima yake alitakiwa lipua Bomu hilo mapema
Pole mbatia
Pole demokrasia
Pole sasa safi
Na jibu ni lowasa alifadhili ukawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwisha habari zake sasa amebaki anaweweseka tu
Huyo ameshikwa na kwikwi za kula vitu vya kule mjengoni.
Ni mara chache sana mpinzani akaenda mjengoni akarudi salama.

In God we Trust
 
Naanza kukosa imani na wachaga nao wameanza kufika Bei kirahisi hv
Mbatia hakuanza kufika bei leo. Ameanza zamani sana. Umesahau kipindi cha JK alikuwa mbunge wa viti maalum toka Magogoni huku akiwa uoinzani?

Leo nasikia tena hata mkutani mkuu wa ACT Wazalendo umedhaminiwa na bwana mkubwa na utarushwa live na ile tv ya Ccm. Wakati chama halali cha upinzani walicho shindwabkuweka mamluki wake wakivuruge, kilipo fanya uchaguzi Mkuku alikodisha Tv na vyombo vyote vya habari kapeleka kule mkoa pendwa kuonekana yeye akifungua mahakama nk.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesikiliza mahojiano kati ya Mwenyekiti wa Taifa wa NCCR Mageuzi Na mwandishi wa Habari ,katika mazungumzo hayo Mbatia kasema.

1.Watu wakiendelea kumsakama Kwa kumuita msaliti,atamwaga siri zote za UKAWA Na nani alikuwa anasaidia UKAWA.

2.Analalamika kuwa UKAWA ulisababisha Idadi ya Wabunge kutoka NCCR Mageuzi kuporomoka kutoka watano mpaka mmoja,Na pia hata ile nafasi moja ya Mbunge wa Afrika Mashariki wakaipoteza.

3.Analalamika pia hata Makao Makuu ya UKAWA hayakuwa NCCR.

Baada ya kumsikiliza Mbatia nimejiuliza maswali mengi

1.Kwa nini Mh Mbatia analalamika leo kuhusu UKAWA?

2.Mbatia anahofia nini kueleza nia ovu ya UKAWA Kama kweli analitakia heri taifa hili?

3.Je Mbeya ni Jimbo la Mbatia? Na je, ni jimboni kwa mbunge wa NCCR au? Kama sivyo je, kauli iliyotolewa kwamba kila mbunge afanye shughuli za siasa jimboni kwake haikumhusu Mbatia?

4.Kama ina mhusu imekuwaje kwenda kutoa hamasa Mbeya? Je, tayari Kampein zimeshaanza kwa vyama vyote na Mbatia kaona kwa kuanza kueleza sera za chama chake ni Mbeya?

Kama Mbatia ana mapenzi Na nchi yake,anahofia nini kueleza hayo mabaya ya UKAWA?

In God we Trust
Mkuu Mbatia ni MSALITI TU akane akubali na hizo siri za Ukawa kwani yeye alikuwa wapi si alikuwa ndani ya Ukawa? Hakuna anayetishika ataendelea kuitwa MSALITI na Historia itasema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watashindana na cdm lkn hawatoishinda maana cdm ni nguvu ya mungu
Mbatia hakuanza kufika bei leo. Ameanza zamani sana. Umesahau kipindi cha JK alikuwa mbunge wa viti maalum toka Magogoni huku akiwa uoinzani?
Leo nasikia tena hata mkutani mkuu wa ACT Wazalendo umedhaminiwa na bwana mkubwa na utarushwa live na ile tv ya Ccm. Wakati chama halali cha upinzani walicho shindwabkuweka mamluki wake wakivuruge, kilipo fanya uchaguzi Mkuku alikodisha Tv na vyombo vyote vya habari kapeleka kule mkoa pendwa kuonekana yeye akifungua mahakama nk.

Sent using Jamii Forums mobile app

In God we Trust
 
Yaani kwa kauli yake hii akidhani anatutisha kumbe amejivua nguo kabisa

Back
Top Bottom