PostGE2025 Dotto Biteko atemwa rasmi na Rais Samia

PostGE2025 Dotto Biteko atemwa rasmi na Rais Samia

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Yaani,

Ni mshangao kwa walio wengi. Ila, we saw it coming.

Matumizi yake ili kuhakikisha Majaliwa hana nguvu sana yameisha.

Siasa hizi! Na mseme kuna maridhiano?
Sipendi kusoma au kuchangia kwenye mada hizi za kipuuzi puuzi za kushangilia HARAMU. Lakini maandishi yako haya yamevuta macho yangu.

Sasa nikuulize wewe unaye shangilia ujinga huu, unajuaje kuwa inawezekana huyo huyo Biteko kakataa kushiriki kwenye haramu!
 
Biteko ni Mnyarwanda acheni ujuaji
What about his performance? Africa hatukujigawa wenyewe bali tuligawanywa na wakoloni kwa maslahi yao that's why tabia zetu zinafanana sana. I wish Africa ingekuwa nchi moja, but hii ni ngumu coz wakoloni walifanikiwa kutugawanya kwa misingi ya lugha, utamaduni na dini.
 
Mkuu kasome Katiba vizuri, usilete ufundi wa kujenga hoja hapa. Kuna baadhi ya nafasi ambazo Katiba inakataza mtu ambaye wazazi wake hawana asili ya Tanzania, kuzishika zikiwemo hizo za maamuzi (Waziri Mkuu, Makamu wa Rais na Rais).
Lakini katiba haizuii kwa raia yeyote kuwa mbunge au waziri wa kawaida.
Tubishane kwa hoja.
Kwahiyo alipoteuliwa naibu waziri mkuu alikua Mtanzania ila ghafla tu kuanzia leo amegeuka mnyarwanda? Duh hii kali
 
Back
Top Bottom