Ashampoo burning
JF-Expert Member
- May 12, 2023
- 1,299
- 3,958
Za ndani kabisa ni ule unyarwanda wake ndo maana katemwa nje maana hata mdogo wake alikatwa kwenye ubunge hivyo hivyoYaani,
Ni mshangao kwa walio wengi. Ila, we saw it coming.
Matumizi yake ili kuhakikisha Majaliwa hana nguvu sana yameisha.
Siasa hizi! Na mseme kuna maridhiano?