Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 5,176
- 14,533
Mkuu mambo mengine mie sijui unanisakama bure tu.Kama Biteko ni mnyarwanda mbona Samia ni muomani na ni Rais? Vipi nchimbi? kwa nini hamsemi kuwa ni mmalawi? 😲
Mkuu mambo mengine mie sijui unanisakama bure tu.Kama Biteko ni mnyarwanda mbona Samia ni muomani na ni Rais? Vipi nchimbi? kwa nini hamsemi kuwa ni mmalawi? 😲
Rejea ripoti ya tpdf na nafasi kubwa za maamuzi kupewa wageni
Mkuu mambo mengine tuache ujuaji. Nchi ina mambo mengi
Wageni wanaruhusiwa kuwa wabunge maana bado ni mbunge? TZ inakubali uraia pacha?
Wageni wanaruhusiwa kuwa wabunge maana bado ni mbunge? TZ inakubali uraia pacha?
Mkuu kuna nafasi za maamuzi ? Unazijua kwa asili yake hawezi kuwa Waziri ama waziri MkuuWageni wanaruhusiwa kuwa wabunge maana bado ni mbunge? TZ inakubali uraia pacha?
Amani tu mwana!. Tunajaribu kutafakari ubinafsi ubaguzi na aina flani ya unyanyapaa kwa baadhi ya watu wenye muonekano fulani na kutoa hukumu hata bila kuwa na ushahidi. Tanzania hii imevurugwa sana.... Tunatakiwa kuanza upya kama taifa.Mkuu mambo mengine mie sijui unanisakama bure tu.
Mkuu
Mkuu kuna nafasi za maamuzi ? Unazijua kwa asili yake hawezi kuwa Waziri ama waziri Mkuu
Yaani,
Ni mshangao kwa walio wengi. Ila, we saw it coming.
Matumizi yake ili kuhakikisha Majaliwa hana nguvu sana yameisha.
Siasa hizi! Na mseme kuna maridhiano?
Kama ni hivyo, Muriro('moto' kwa kitusi) na Mafwele mbona ni wanyarwanda lakini hawatenguliwi?Biteko ni Mnyarwanda acheni ujuaji
Kama imekuuuma chomoa!Kuna wizara mtu na mke wake ni Mawaziri...
Samia achomoi
Inasemekana na mama yako nae goviGenge la magovi wenye husda na kutu za chuki za kidini nyoyoni
Chujio linakuja Mkuu kama ushahidi upo wala usiwezeKama ni hivyo, Muriro('moto' kwa kitusi) na Mafwele mbona ni wanyarwanda lakini hawatenguliwi?
Mkuu kasome Katiba vizuri, usilete ufundi wa kujenga hoja hapa. Kuna baadhi ya nafasi ambazo Katiba inakataza mtu ambaye wazazi wake hawana asili ya Tanzania, kuzishika zikiwemo hizo za maamuzi (Waziri Mkuu, Makamu wa Rais na Rais).Alipokuwa WN na NWM hakufanyiwa vetting? Hakuwa na maamuzi huko?
TZ haina uraia pacha wala hairuhusu mgeni kuwa hata balozi wa nyumba kumi let alone kuwa mbunge au waziri. Mbona hatenguliwi?
Wote waliotemwa ni raia wa nje?
Amir Jamal the best ever waziri wa fedha nchi hii toka imepata uhuru alikua na asili ya India ila alifanya makubwa kuliko wamatumbi asilia.
USA na Ulaya huko wanawekwa watu waliozaliwa nje kabisa na bado wanaperform ila kwenye hizi shithole countries mtu anatemwa kisa tu ana asili ya sehemu fulani. Shithole country ni shithole country hakika.
Hao wenye asili wamewafikisha wapi kama nchi bado ni shithole kiasi hiki?
Lastly, sijawahi kuelewa hii inferiority complex mitanganyika mliyonayo against Rwanda. Mkisikia RW tu mnaloa wakati ni kanchi kadogo kama mkoa tu na imezidiwa kila kitu na bongo hadi pisi kali. Yes, hadi pisi tumewazidi. Ila wabongo mkisikia RW tu mnaloa hapo hapo, kwa kipi hasa?
Mimi sina udini.Wewe sema tuh waislam,na udini wenu wa kikatoliki huo
Waambieni watoe waraka mwingine basi