PostGE2025 Dotto Biteko atemwa rasmi na Rais Samia

PostGE2025 Dotto Biteko atemwa rasmi na Rais Samia

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Yaani,

Ni mshangao kwa walio wengi. Ila, we saw it coming.

Matumizi yake ili kuhakikisha Majaliwa hana nguvu sana yameisha.

Siasa hizi! Na mseme kuna maridhiano?
Unapewa unaibu waziri mkuu badala ya kufanya kazi wewe unaishia kuwa motivesheni speaker tu.
 
Mkuu kasome Katiba vizuri, usilete ufundi wa kujenga hoja hapa. Kuna baadhi ya nafasi ambazo Katiba inakataza mtu ambaye wazazi wake hawana asili ya Tanzania, kuzishika zikiwemo hizo za maamuzi (Waziri Mkuu, Makamu wa Rais na Rais).
Lakini katiba haizuii kwa raia yeyote kuwa mbunge au waziri wa kawaida.
Tubishane kwa hoja.

Wakati anateuliwa kuwa NWM hawakujua hilo? Hakufanyiwa vetting?

Huyu katemwa kama wengine wote walivyotema akina Bashe, Bashungwa, Mhagama nk. Asili yake has nothing to do with it. Za ndani kabisa yeye na Tulia walikua timu against Hangaya.

Mitanganyika acheni kuloa mkisikia Rwanda tu. Mna Inferiority complex ya ajabu sana, mmekaa kinyonge nyonge tu. Smh
 
Yaani,

Ni mshangao kwa walio wengi. Ila, we saw it coming.

Matumizi yake ili kuhakikisha Majaliwa hana nguvu sana yameisha.

Siasa hizi! Na mseme kuna maridhiano?
Ukweli sikubariani na seriakili dhalimu na teuzi zake. Angekuwepo au asingekuwepo sawa
 
Unaweza kuta maongezi yake yote ya simu yalikuwa yanasikilizwa.....
 
Back
Top Bottom