Operation toa sukuma gang weka samia Gang maana haamini mtu yeyote toka bara.Yaani,
Ni mshangao kwa walio wengi. Ila, we saw it coming.
Matumizi yake ili kuhakikisha Majaliwa hana nguvu sana yameisha.
Siasa hizi! Na mseme kuna maridhiano?
Jesnister muhagama hajakosea, i wonder amedumu kivipi uwazir maana hana qualificationsInnocent Bashungwa, Jenister Mhagama.
Ripoti ya jeshi kuwa kuna watu si raia na wanepewa nafasi kubwa za maamuzi hukuiona?Yaani,
Ni mshangao kwa walio wengi. Ila, we saw it coming.
Matumizi yake ili kuhakikisha Majaliwa hana nguvu sana yameisha.
Siasa hizi! Na mseme kuna maridhiano?
Qualifications zipi?Jesnister muhagama hajakosea, i wonder amedumu kivipi uwazir maana hana qualifications
Kuna wazanzibar wangapi kwenye Baraza,ambayo ni asilimia ngapi?Operation toa sukuma gang weka samia Gang maana haamini mru yeyote toka bara.
Wangu naibu elimu😆😆😁😁
Mchengerwa na Wanu
Blue coast!?Mnyarwanda.
Ila mkampa ubunge?Ripoti ya jeshi kuwa kuna watu si raia na wanepewa nafasi kubwa za maamuzi hukuiona?
Ila hilo jeshi linaona mafisadi kuongoza nchi au mwendokasi na Bandari kupewa UAE ni sawa?Ripoti ya jeshi kuwa kuna watu si raia na wanepewa nafasi kubwa za maamuzi hukuiona?
Ubunge ni pettyIla mkampa ubunge?
Wewe sema tuh waislam,na udini wenu wa kikatoliki huoWatanganyika wametemwa wengi.Hakuna mzenj hata mmoja ambae alikuwepo kwenye baraza lililopita katemwa .Wazenj wote wamerudi.Na kina Wanu wameongeza idadi ya wazenj
D9 itamaliza upuuzi wote huo... naona kuna mpuuzi anaiongelea Bangladesh hapa halafu hajui km Bangladesh kilinukaBiteko ni Mnyarwanda acheni ujuaji
Madini walipewa makaburu na wazungu hukuona kama ni shida,ila mwarabu,wasalimie wenzio huko ukumbi wa TECIla hilo jeshi linaona mafisadi kuongoza nchi au mwendokasi na Bandari kupewa UAE ni sawa?
Duh basi tuna jeshi la ajabu sana
Kwani Hajui kusoma na kuandika Kiswahili AU kiinger3za?Jesnister muhagama hajakosea, i wonder amedumu kivipi uwazir maana hana qualifications
D9 itakupa jibu wewe kiazi na bichwa lako hilo limebeba takataka sio ubongo...Wewe sema tuh waislam,na udini wenu wa kikatoliki huo
Waambieni watoe waraka mwingine basi
Petty? Mtu ambae sio raia anakua mbunge, unasema ni petty?Ubunge ni petty