Don't Shout Argue - Mbowe ameitendea haki falsafa hii

Benki kuu ili delay miezi mitatu ili government machineries zifanye due diligence kwamba kujiridhisha na transactions hizi.Lakini kwa sababu watu wakitaka kula waliona BOT inawachelewesha tuu.
 
Watanzania popote mlipo adui Na nyoka mkubwa katika maisha yenu Na umasikini mlio nao Ni ccm. Nawaambia tena Ni ccm.
 
Ukweli nimefurahi sana leo kuona baadhi ya wenzetu waliokuwa mashabiki no 1, wakivaa uzalendo. Nimeona michango yenu karibu machozi yanitoke, Big Up wooooote!
 
Kuna tofauti kubwa sana ujenzi wa hoja na facts mezani ndio msingi wa majadiliano hakuna ngonjera let him work.
 
Nimependa mchango wa Mbowe, ni maneno mazuri ya ujenzi wa taifa letu.

Safi Sana nakubaliana na wewe tuseme ukweli penye ukweli naomba umuite lizaboni msalani Na kibibi faizafoxy ujaribu kuongea nao. Ni mapinduzi hapa jf.your welcome officially.
 
Muheshimiwa Freeman Mbowe Mwenyekiti wa CHADEMA na Mwenyekiti wa Kambi Rasmi ya Upinzani Ametoa facts ambazo Kama Taifa ni Funzo kubwa sana. Thanks Mbowe WAzalendo wote tupo nyuma yako mpaka hili jambo lifike mwisho
Ni kweli presentation ya Mbowe leo ilikuwa factual and well argued.
In actual fact, it puts His Exellency in a spot-the buck has reached its destination.
 
Tumesha anza kukubaliana kidogo kidogo leo mda siyo mrefu tutaungana na ccm imani na tanzania itakuwa imekombolewa kutoka mikononi mwa mafisadi
 
Nimesikitishwa sana na au umbumbumbu au ushabiki au ujinga wa wabunge wa CCM waliochangia

Inaonekana wazi kuwa walikuwa wameambiwa na chama nini wakiseme ndani ya bunge leo.

Hili suala la watawala kufikiri kuwa Watanzania ni Mabwege ni muhimu kulitafutia dawa.
 
Kweli nimemsikiliza kwa makini mheshimiwa Mbowe. Sisi watanzania tutaonekana wajinga tukifunika kombe ili mwanaharamu apite. Niliona Saada Mkuya na Mwingulu Nchemba walikuwa makini sana. Alitoa fact ilifika point nikaona upumuaji wa Werema umebadilika. hili suala ni kwamba hata mkuu wa nchi ana habari. BoT walichelewesha malipo na kuwaandikia serikali wajiridhishe. Walishaliona hilo. Mkuu wa nchi aliridhia kwa kushauriwa na mwabasheria. Halafu akina Rusinde wanaongea tu jama wako kwenye kijiwe cha wavuta bangi. Big up Mbowe!!!

Kutokana na Tundu Lissu, Yeye ndo alilianzisha akiwa kama waziri wa nishati 1994, 1995 alisaini yeye kama waziri wa fedha huo mkataba wa iptl, hivyo anajua kila kitu na imepita kwenye chaneli zake!! nina mashaka pia wakubwa wa awamu ya tatu wamo humu.
 
Ni kweli presentation ya Mbowe leo ilikuwa factual and well argued.
In actual fact, it puts His Exellency in a spot-the buck has reached its destination.

Will he act accordingly I mean his excellency?
 
Nimependa mchango wa Mbowe, ni maneno mazuri ya ujenzi wa taifa letu.
Ritz mchizi wangu njoo huku kuna mtu anatumia ID yako, anyway Mr Mbowe speech was philosophical dealing with causes, reasons, and effects rather than circumstances of the escrow saga.
Big up Mbowe the pragmatic.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom