Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,418
Mambo?? Tuanzie kuchat hapa sasaKabisa wacha tuchati wenyewe teh
Kwa pamoja?? Au kimoja baada ya chengine???Wengine tunatafuta vyote,shape n cars
Akipatikana! Jitihada za kutafuta mziongeze sasa😀😀😀😀😀😀Lakini akipatikana kwenye vyote, nayo si mbaya😀😀😀😀
Usitake kunigombanisha na my Khantwe wewe! Mi nikajua anakutumia kuniponda kumbe zile hujuma unazibuni mwenyewe?! My sweetie Khantwe, usimsikilize huyu cute b, six packs six packs, wakati watatua marinda maarufu hivi sasa wanawafuata hao hao wenye 6 packs! Na kwavile hawana hela wakitegemea kupata visichana kama akina cute b kwa kutegemea 6 packs zao, ndo pale unakuta huku wanakula, kule wanaliwa; aaaaaaargh!Pale kuna usingizi mtamu[emoji23][emoji23]. Kama unapenda kudekezwa dekezwaa lakini. Maana atakuwa na mikono imetuna, kifua kimetuna basi ni kulala hapo unajihisi upo dunia nyingine.
Halafu zile za tumboni wakijikaza ndiyo huwa zinatokea,ila akikaa kawaida hamna.
Mwenye kitambi utaishia tuu kusikia minyoo, chruuuuuu, chrwaaaaa, chililiiiiiiii na ukute hana hela tena[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126](wanaume najua wanajiandaa kuja na Uzi wa kutusema tusio na chura).
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Nimesemwa mimi huyo! Huyu cute b huyu, we acha tu!!
Viwili sasa vitatushinda, hebu semeni kimoja baada ya chengine jamaniHahaahahahhaha tafuta hela sasa[emoji23][emoji23]na tengeneza body pia.
Mwanamke anataka hela na mwanaume mzuri mwenye body hata ukitembea nae barabarani unajiona wewe ndiyo wewe[emoji23][emoji23]
Kwa kweli aiseeee......Gym ndiyo ukombozi.
Hamna hata ila sijui myplusbee nilimkoseaga nini mimi.[emoji23][emoji23]Ipo namna
Nilisahau kusema na urefu pia lazima uhusike.Usitake kunigombanisha na my Khantwe wewe! Mi nikajua anakutumia kuniponda kumbe zile hujuma unazibuni mwenyewe?! My sweetie Khantwe, usimsikilize huyu cute b, six packs six packs, wakati watatua marinda maarufu hivi sasa wanawafuata hao hao wenye 6 packs! Na kwavile hawana hela wakitegemea kupata visichana kama akina cute b kwa kutegemea 6 packs zao, ndo pale unakuta huku wanakula, kule wanaliwa; aaaaaaargh!
Khaaaa nini?? Unajifanya hujui??Khaaa
Ulikuwa na maana hiyo hiyo[emoji3][emoji3] sikuwa na maana hiyo
Hapo ukishampata babe wako utamuuliza yeye anapendelea kipi kati ya hivyo.Viwili sasa vitatushinda, hebu semeni kimoja baada ya chengine jamani
Unanishawishije kuamini kwamba sio mimi??Kweli siyo wewe.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kwendeni zenu huko! Nikaichoshe misuli yangu eti kisa niwafurahishe nyie, aaaaaaargh!! Na nikipata pesa, nitatafuta mwanamke asiye na shobo na misuli manake nikija kwako au kwa Khantwe, itakuwa nafanya kazi ya kufupia, jitahada mnaenda kuzifanyia kwa wabeba vyuma!
Kwa hiyo WiFi yako imezimika??Kwaherini jama tanesco wamekata