Don't go for six packs, go for six cars!

Don't go for six packs, go for six cars!

Hutakiwi kuwa na mentality hiyo, unless huna uwezo/mbinu za hiko unachokitaka.
Kuna msela wangu mmoja kigezo chake number 1 kilikuwa lazima apate mmanga. Eeee bhana weee, alidima mpaka amempata ila naskia hali si hali. Bi dada anataka kifo cha mende tu
 
Sa' wewe si ndo umeanza kunisimanga kwa mafumbo, we unadhani mi sijui! Mimi najua tu Khantwe kakupenyezea umbeya kuhusu mimi na ndipo ukaamua u-post kwa niaba yake!! We Khantwe wewe! Unachotafuta utakipata tu, wallah tena!
Hahaahahahhaha tafuta hela sasa[emoji23][emoji23]na tengeneza body pia.
Mwanamke anataka hela na mwanaume mzuri mwenye body hata ukitembea nae barabarani unajiona wewe ndiyo wewe[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom