Don't go for six packs, go for six cars!

Don't go for six packs, go for six cars!

Kwanza mkuu huyo unaemuita haka kabinti ni nani?? Tuanzie hapo kwanza

Halafu @harakisheni hii ndoa yako na Khantwe Jamani
"Hako kabinti" ni kasichana kamoja hivi kanaitwa cute b! Nimegundua mpenzi wangu Khantwe anakatumia haka kabinti ku-post mafumbo kwa niaba yake lakini akinilenga mimi! Alijuaje kwamba sina hela wala "sox" packs kama sio kapewa umbeya na Khantwe?!
 
Kuna msela wangu mmoja kigezo chake number 1 kilikuwa lazima apate mmanga. Eeee bhana weee, alidima mpaka amempata ila naskia hali si hali. Bi dada anataka kifo cha mende tu

Utility ni something very hard to please.

He has lived up to his expectations, kwa hiyo hata akiacha au akiendelea naye. That dream is fulfilled.
 
Niseme ule ukweli, kuna mtu niliwahi kubishana nae humu akaishia kuniita mshamba, sina exposure blah blah (he was probably right). Hizo kitu zinaitwa six packs sijawahi kuzielewa yaani sijawahi kuvutiwa nazo kabisa. Kwanza mtu akiwa nazo nakuwa naogopa hata kumshika kwenye hizo ndude, kiukweli huwa najishangaa how comes wanawake wengine zinawavutia ila mimi ni kinyume chake?
Pale kuna usingizi mtamu[emoji23][emoji23]. Kama unapenda kudekezwa dekezwaa lakini. Maana atakuwa na mikono imetuna, kifua kimetuna basi ni kulala hapo unajihisi upo dunia nyingine.
Halafu zile za tumboni wakijikaza ndiyo huwa zinatokea,ila akikaa kawaida hamna.

Mwenye kitambi utaishia tuu kusikia minyoo, chruuuuuu, chrwaaaaa, chililiiiiiiii na ukute hana hela tena[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126](wanaume najua wanajiandaa kuja na Uzi wa kutusema tusio na chura).
 
"Hako kabinti" ni kasichana kamoja hivi kanaitwa cute b! Nimegundua mpenzi wangu Khantwe anakatumia haka kabinti ku-post mafumbo kwa niaba yake lakini akinilenga mimi! Alijuaje kwamba sina hela wala "sox" packs kama sio kapewa umbeya na Khantwe?!
Aaaaaaaaa! Kumbeeee. Huo ndio mchezo wao?? Khantwe Anamtumia cute b kukunanga?? And vice versa may be working as well
 
Kwanza mkuu huyo unaemuita haka kabinti ni nani?? Tuanzie hapo kwanza

Halafu @harakisheni hii ndoa yako na Khantwe Jamani
"Hako kabinti" ni kasichana kamoja hivi kanaitwa cute b! Nimegundua mpenzi wangu Khantwe anakatumia haka kabinti ku-post mafumbo kwa niaba yake lakini akinilenga mimi! Alijuaje kwamba sina hela wala "sox" packs kama sio kapewa umbeya na Khantwe?!
myplusbee ohoooooo!
Umezoea kunionea na kunisimanga.
 
kaka hyo potential unaipimaje!??,... maana speaking from that note, kiupande wangu nikipima potential yangu ntaishia kua na mwajuma chautundu pale temeke uswahilini ... sema people tuna dare and balls to strive above our potentials.
Hebu mwaga madini zaidi na zaidi mkuu
 
Umenifanya nicheke na staff wenzangu wananishangaa.

Are you what?? project manager or something??

Any way, hizo ndio njia haswa. Na hiyo abort the mission and go back to number 2 is not an option sometimes

Nilitaka kuandika kwamba before the abortion, do you think you can raise up your potential to match it?

And mind you, sometimes by losing a battle you find a new way to win the WAR.

That is to say you get to learn by practicing no matter the outcomes.
 
Back
Top Bottom