Don't go for six packs, go for six cars!

Don't go for six packs, go for six cars!

Nilisahau kusema na urefu pia lazima uhusike.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Unaona sasa! Yaani unazidi kunichokonoa tu! Hivi una nini we mtoto!! Umetumwa, au?! Binti mdogo, lakini uchawi unawazidi akina Bi Mwenda, aaaaaaaargh! Urefu ungekuwa dili Haji Manara angekuwa mbeba mabegi ya Hamisa Mobetto; weweeee 😡 😡 😱😱🙄🙄!!
 
Don't worry my angel, naondoka sasa hivi kwenda TANESCO kuwaambia wakufungie mtambo wako binafsi wa kuzalisha umeme wa gesi hapo home! 25 MW za umeme si zitakutosha, au?! Kama ndiyo, mwambie huyu cute b na mwenyewe akawaambie wabeba matofali wake wakamfungie japo solar power kama wataweza!
Wakishua mimi wewe!.
Umeme hauwezi kukatika nilipo.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tena natangaza rasmi kwamba wewe ndie adui yangu namba moja hapa JF! Huwezi kumwaga sifa kedekede za wanaume wenye 6 packs kwa mpenzi wangu @Khanatwe wakati unajua kabisa mi mwenyewe nina packs 2 unusu tu 😀 😀 ,alah! Khantwe, am watching your movements na huyu cute be!!
[emoji23][emoji23][emoji23]jamani kweli mimi naweza kumwaribu khantwe? Wewe sema una bifu na mimi tangu ile siku[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakishua mimi wewe!.
Umeme hauwezi kukatika nilipo.[emoji23][emoji23][emoji23]
Sa' washua si wazazi wako! Na hayo majamaa yanayobeba machuma na kurudi nyumbani wanaishia kula mikate miwili ya buku 2 bila blue band na wenyewe ni wa kishua?! Usijichekeshe wewe, waambie wakufungie japo solar power kama wanao huo ubavu!
 
Nilitaka kuandika kwamba before the abortion, do you think you can raise up your potential to match it?

And mind you, sometimes by losing a battle you find a new way to win the WAR.

That is to say you get to learn by practicing no matter the outcomes.
Kama ulitaka kuandika hivyo hapo sawa! Unajua hiyo movie ya "the point of no return"???

Na pia kuna baadhi ya watu, the vocabulary losing is not in their dictionaries. But learning yeah, it has been repeated several times
 
Unaona sasa! Yaani unazidi kunichokonoa tu! Hivi una nini we mtoto!! Umetumwa, au?! Binti mdogo, lakini uchawi unawazidi akina Bi Mwenda, aaaaaaaargh! Urefu ungekuwa dili Haji Manara angekuwa mbeba mabegi ya Hamisa Mobetto; weweeee 😡 😡 😱😱🙄🙄!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jitahidi urefuke hamna namna.
 
Usitake kunigombanisha na my Khantwe wewe! Mi nikajua anakutumia kuniponda kumbe zile hujuma unazibuni mwenyewe?! My sweetie Khantwe, usimsikilize huyu cute b, six packs six packs, wakati watatua marinda maarufu hivi sasa wanawafuata hao hao wenye 6 packs! Na kwavile hawana hela wakitegemea kupata visichana kama akina cute b kwa kutegemea 6 packs zao, ndo pale unakuta huku wanakula, kule wanaliwa; aaaaaaargh!
Mkuu....
 
Kama ulitaka kuandika hivyo hapo sawa! Unajua hiyo movie ya "the point of no return"???

Na pia kuna baadhi ya watu, the vocabulary losing is not in their dictionaries. But learning yeah, it has been repeated several times

Kwenye NOTE nimesema practice makes perfect, means siyo kila mission utaishinda. Ila utajifunza.
 
Sa' washua si wazazi wako! Na hayo majamaa yanayobeba machuma na kurudi nyumbani wanaishia kula mikate miwili ya buku 2 bila blue band na wenyewe ni wa kishua?! Usijichekeshe wewe, waambie wakufungie japo solar power kama wanao huo ubavu!
Kuna kitu umeandika hapo nimecheka balaaaa[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom