Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,418
- Thread starter
- #161
Duh!!!😔😔😔😔😔😔Ukiwa unasubiri kustafu hakikisha una mwili mzuri wa mazoezi na swagger!.
Tofauti na hapo tafuta helaaa
Duh!!!😔😔😔😔😔😔Ukiwa unasubiri kustafu hakikisha una mwili mzuri wa mazoezi na swagger!.
Tofauti na hapo tafuta helaaa
Kwa hiyo WiFi yako imezimika??
Tena natangaza rasmi kwamba wewe ndie adui yangu namba moja hapa JF! Huwezi kumwaga sifa kedekede za wanaume wenye 6 packs kwa mpenzi wangu Khantwe wakati unajua kabisa mi mwenyewe nina packs 2 unusu tu 😀 😀 ,alah! Khantwe, am watching your movements na huyu cute be!!Hamna hata ila sijui myplusbee nilimkoseaga nini mimi.[emoji23][emoji23]
Unakuwa unaogopa hata kumshika kwenye hizo ndude??Niseme ule ukweli, kuna mtu niliwahi kubishana nae humu akaishia kuniita mshamba, sina exposure blah blah (he was probably right). Hizo kitu zinaitwa six packs sijawahi kuzielewa yaani sijawahi kuvutiwa nazo kabisa. Kwanza mtu akiwa nazo nakuwa naogopa hata kumshika kwenye hizo ndude, kiukweli huwa najishangaa how comes wanawake wengine zinawavutia ila mimi ni kinyume chake?
Kama six packs za marehemu mzee machache???Hamna mwanamke atachachua kitambi au kamwili kama ka njiwa over six pack[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Kamatia hapo hapo bidada, ukilegeza tu imekula kwakoMm naenda for six cars, huyo wa six packs hatonisaidia kitu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣[emoji3][emoji3][emoji3] ndio hizo hizo
Hela kama shing ngapi mkuu?? Maana naona wengine hawana kitu lakini alhamdulillah siku zinakwendaWanajua sana wanachotaka ....ebu kosa hela alafu uone kama utapata mwanamke wakugegeda
kaka hyo potential unaipimaje!??,... maana speaking from that note, kiupande wangu nikipima potential yangu ntaishia kua na mwajuma chautundu pale temeke uswahilini ... sema people tuna dare and balls to strive above our potentials.
Don't worry my angel, naondoka sasa hivi kwenda TANESCO kuwaambia wakufungie mtambo wako binafsi wa kuzalisha umeme wa gesi hapo home! 25 MW za umeme si zitakutosha, au?! Kama ndiyo, mwambie huyu cute b na mwenyewe akawaambie wabeba matofali wake wakamfungie japo solar power kama wataweza!Kwaherini jama tanesco wamekata
Duh!!!!Utility ni something very hard to please.
He has lived up to his expectations, kwa hiyo hata akiacha au akiendelea naye. That dream is fulfilled.
Hili nalo neno mkuuTafuta pesa wewe! Mzee Mengi bonge la Dingi hata 3 packs hakuwa nazo lakini akang'oa Miss Tanzania huku wana 6 packs wakiishia kubeba mabegi!!!
Nilidhani umeokoka moja kwa moja.
Kumbe una koloni.[emoji23][emoji23][emoji23]
😀😀😀😀😀😀😀Pale kuna usingizi mtamu[emoji23][emoji23]. Kama unapenda kudekezwa dekezwaa lakini. Maana atakuwa na mikono imetuna, kifua kimetuna basi ni kulala hapo unajihisi upo dunia nyingine.
Halafu zile za tumboni wakijikaza ndiyo huwa zinatokea,ila akikaa kawaida hamna.
Mwenye kitambi utaishia tuu kusikia minyoo, chruuuuuu, chrwaaaaa, chililiiiiiiii na ukute hana hela tena[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126](wanaume najua wanajiandaa kuja na Uzi wa kutusema tusio na chura).
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Tafuta pesa wewe! Mzee Mengi bonge la Dingi hata 3 packs hakuwa nazo lakini akang'oa Miss Tanzania huku wana 6 packs wakiishia kubeba mabegi 😀 😀 !!!
Duh!!!!
Tunatofautiana sana, I thought happiness is that which lasts
Nimekubali kukata tamaa mkuu mchakato wa six cars uploadedHahahahahaahahah
Mkuu nakushauri seriously, anza na six cars kwanza
Sitakulaumu kamwe jamaa yangu. Hawa wanawake matatizo sanaNdo uone sasa, manake ulidhani mi namsinginzia huyu! Yaani nitaanza kumpigia matukio huyu; we mwache tu!!