Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,418
- Thread starter
- #101
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mbona kama ninasemwa hapa[emoji41]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mbona kama ninasemwa hapa[emoji41]
Uchochezi tu😡😡😡😡😡[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ohoo sawaa
Vidole tena? Do you think sex is all about Penetration? Usinijibu sitaki kuendeleza huu mjadala [emoji3][emoji3]Unaona sasa?? Nyinyi kwa nyinyi na vidole vyenu???
KhaaaUlikuwa unaniongelea mimi!!!!!
Mungu atanipa pia
[emoji3][emoji3] sikuwa na maana hiyoUchochezi tu[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Kumbe ndio inakuwa hivyo?? Na Sisi tunaotegemea kupata tukistaafu je??Sasa hapo anza kutafuta hela, ukipata hamia kutafuta six pack.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Unanichatisha tuu kuanzia asubuhi mpaka jioni alafu hata vocha hutumi[emoji57][emoji57][emoji57]
Nikikujibu K badala ya OKAY unamind kweli?
Hebu muwe mnajiongeza jamani, tunawapenda sana.
Kweli siyo wewe.Ulikuwa unaniongelea mimi!!!!!
Mungu atanipa pia
Kwendeni zenu huko! Nikaichoshe misuli yangu eti kisa niwafurahishe nyie, aaaaaaargh!! Na nikipata pesa, nitatafuta mwanamke asiye na shobo na misuli manake nikija kwako au kwa Khantwe, itakuwa nafanya kazi ya kufupia, jitahada mnaenda kuzifanyia kwa wabeba vyuma!Hahaahahahhaha tafuta hela sasa[emoji23][emoji23]na tengeneza body pia.
Mwanamke anataka hela na mwanaume mzuri mwenye body hata ukitembea nae barabarani unajiona wewe ndiyo wewe[emoji23][emoji23]
Ukiwa unasubiri kustafu hakikisha una mwili mzuri wa mazoezi na swagger!.Kumbe ndio inakuwa hivyo?? Na Sisi tunaotegemea kupata tukistaafu je??
Sasa unapewa ushauri unapinga, utafeli kijananiaze kutafuta six pack kwanza.. Maana ndio rahisi
Hamna mwanamke atachachua kitambi au kamwili kama ka njiwa over six pack[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Kwendeni zenu huko! Nikaichoshe misuli yangu eti kisa niwafurahishe nyie, aaaaaaargh!! Na nikipata pesa, nitatafuta mwanamke asiye na shobo na misuli manake nikija kwako au kwa Khantwe, itakuwa nafanya kazi ya kufupia, jitahada mnaenda kuzifanyia kwa wabeba vyuma!
Misamiati inaongezeka tu, yaani kunakuwa kuna hela halafu kunakuwa kuna hela za maanaKabisa. Ukikosa hela za maana basi usikose six pack. Sasa pale unapokosa vyote you are completely poor[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanza mkuu huyo unaemuita haka kabinti ni nani?? Tuanzie hapo kwanzaHuna adabu wee! Na wewe Khantwe hii message ya haka kabinti imekufurahisha nini?! Mkuu Relief Mirzska umeona sasa ambapo huyu "rafiki" yako tunapopishana?!
Wanajua sana wanachotaka ....ebu kosa hela alafu uone kama utapata mwanamke wakugegedaNa ndicho ninachojaribu kuwasaidia dada zetu kwa kuwashauri, ila sasa Don Clericuzio anasema wao wenyewe hawajui watakacho