Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 39,996
Watu wamepiga magoti waliozoea kusimama. Betting against Magufuli is not that wise after all. Mtu atakula hadi king!
Wahamisha magoli wawe waangalifu
Wahamisha magoli wawe waangalifu
What is kuhamisha magoli pleaseI like this!
Waendelee kuhamisha magoli tu
Kama mtu alimtimua best wake, akamuondoa bila ving'ora mpiga debe wa chama chake, sidhani kama unaweza kujaribu kucheza kamari dhidi yake na ukaweka hela zako kwamba "hatafanya"... utaliwa..Whaaaaaat are u saaaaaying
Mwanakijiji na wewe unakuwa draged kirasi hivi?? Ni lini uliona takukuru wakipeleka mtu mahakamani wanaitish hadi mkutano na wandishi wa habari?? Hata hili hujaliona?? Hizi ni movie na maigizo kama mengine tu, acacia imetulia sasa ni gia lingine ili siku zisogee, na hili nalo litaisha hivi hiviWatu wamepiga magoti waliozoea kusimama. Betting against Magufuli is not that wise after all. Mtu atakula hadi king!
Wahamisha magoli wawe waangalifu
Watu wamepiga magoti waliozoea kusimama. Betting against Magufuli is not that wise after all. Mtu atakula hadi king!
Wahamisha magoli wawe waangalifu
Hivi unadhani kumpigisha magoti Karasinga mchezo?Mwanakijiji na wewe unakuwa draged kirasi hivi?? Ni lini uliona takukuru wakipeleka mtu mahakamani wanaitish hadi mkutano na wandishi wa habari?? Hata hili hujaliona?? Hizi ni movie na maigizo kama mengine tu, acacia imetulia sasa ni gia lingine ili siku zisogee, na hili nalo litaisha hivi hivi