Activity Ratio
JF-Expert Member
- Jun 9, 2016
- 554
- 577
Kasoma kwa mwendokasiwakati huo Tulia alikuwa kidato cha kwanza mwaka 1991.
Kasoma kwa mwendokasiwakati huo Tulia alikuwa kidato cha kwanza mwaka 1991.
Mwaka huu anawakilisha jimbo la vunjoJibu swali, bunge lililopita alikuwa anawakilisha jimbo lipi? Au hajui kama alikuwa mbunge?.
Ugaliii Mheshimiwàaa....Tulia sijui yupoje yule. Kwanini akubali kutumika kijinga namna hii
Tulia naye atawakilisha jimbo lolote huko kwao uchaguzi ujao. Kama ilivyokuwa kwa mbatia kipindi kilichopita huruma ya rais na saa hizi kachaguliwa huko kwao.Mwaka huu anawakilisha jimbo la vunjo
Hilo sahau kabisaTulia
Tulia naye atawakilisha jimbo lolote huko kwao uchaguzi ujao. Kama ilivyokuwa kwa mbatia kipindi kilichopita huruma ya rais na saa hizi kachaguliwa huko kwao.
Kama wewe ndo mwenye uwezo wa kuzuia asichaguliwe basi ataendelea kuteuliwa kama anavyoendelea kuteuliwa Suzana Lyimo tangu 1995 ama 2000 au yule mwingine mtoto wa Ndesamburo miaka yote yuko bungeni kwa kuteuliwa, sembuse Dr. Tulia ambaye hata mwaka hana.Hilo sahau kabisa
Tunashukuru kwa hilo na wapiga kura walimuamini wakampa kura akawa mbunge wa Vunjo badala ya Mrema. Ukweli ni kwamba Mbatia hakusign cheque toka chukua chako mapema ili agombee ila wananchi waliamua wenyewe.Inabadilisha nini? Dada Tulia (PhD) ndiye Naibu Spika wa Bunge la JMTZ, Mbatia ni nani? kwanza hata amshukuru Raisi Kikwete kwa kumpa Ubunge wa viti maalumu kama Lucy kamata vinginevyo leo hii angekuwa anabeba mikoba ya fisadi Lowasa au Mbowe!
Nafikiri hili dongo alipaswa kujipa mwenyewe yeye Mbatia kama miaka 25 yote bado anasaga lami tu mwenzake aliyekuwa Shule ya msingi leo hii Naibu Spika namba 3/4 Baada ya Raisi, Naibu Spika Tulia (PhD) ana uwezo wa kukabidhiwa kuongoza nchi iwapo dharura ikitokea, hivyo kama ningekuwa Mbatia ningetafuta kingine cha kufanya kama miaka yote hiyo lkn hakuna chochote ulichofanikiwa, kama ni chama hata Wabunge wawili hakina na hii ni kwa miaka 25 anayojisifia nayo!
Mnajivunia cheo cha voda fasta? Cheo cha kupewa mezani...Mbatia Angekuwa kichwa chama chake kingekuwa na mbunge mmoja tu ambaye ni yeye?
Miaka 25 yuko kwenye siasa bado mbunge hajawa hata makamu wa Raisi au waziri mkuu au naibu spika?.Ni aibu.Tulia kaanza juzi tu leo naibu spika wa bunge.Yeye Mbatia miaka 25 Hajui hata unaibu spika unafananaje anangoja Tulia amwonyeshe kidole kuwa haya babu uliyekaa kwenye siasa miaka 25 chama chako kikiwa na mbunge mmoja ongea!
Kuna watu nchii hii hawajitambui ndugu yangu...mizgo wao na vi-la-za waoMnajivunia cheo cha voda fasta? Cheo cha kupewa mezani...
Nafikiri hili dongo alipaswa kujipa mwenyewe yeye Mbatia kama miaka 25 yote bado anasaga lami tu mwenzake aliyekuwa Shule ya msingi leo hii Naibu Spika namba 3/4 Baada ya Raisi, Naibu Spika Tulia (PhD) ana uwezo wa kukabidhiwa kuongoza nchi iwapo dharura ikitokea, hivyo kama ningekuwa Mbatia ningetafuta kingine cha kufanya kama miaka yote hiyo lkn hakuna chochote ulichofanikiwa, kama ni chama hata Wabunge wawili hakina na hii ni kwa miaka 25 anayojisifia nayo!
Ulifuatilia kilichotokea au umehadithiwa? Unadhani kwa nini wabunge wote pamoja na wa ccm waliamua kutoka?tatizo huyo Nasari hafuati kanuni , sheria na taratibu sasa yeye Tulia afanye nini jamani?!?!?!
Sasa ndio wamekutangazia rasmi kuwa hawajachukua posho tangu wameanza kumsusa tuliambatia acha unafiki wewe. Mbona ulikuwa unachukuwa posho za vikao vya vyama?
Yaani avatar + ID yako ninejumlisha nikagawanya kuhusu hiyo avatar nikapata jibu."Nina miaka 25 niko kwenye siasa.Wakati tunapambana kwa ajili ya Watanzania miaka hiyo yote hatukuwahi kuwa na posho.Kipindi hicho kina Tulia walikuwa shule ya msingi"
Source: Mh Mbati, James
Kunguni wewe kwani hujui kuwa yeye anatoka Jimboni na mwenzake kateuliwa na Rais,dont you see the difference?Hata wewe Rais akitaka uwe naibu spika si unakuwa?Acha kuchokoza watu wewe na usije ukaongea utumbo kama huu mbele za watu utajikuta ushasukumiwa ngumi hata kabla hujamaliza bila hata kuulizwa,acha kabisa mawazo mgando kiasi hiki.Nafikiri hili dongo alipaswa kujipa mwenyewe yeye Mbatia kama miaka 25 yote bado anasaga lami tu mwenzake aliyekuwa Shule ya msingi leo hii Naibu Spika namba 3/4 Baada ya Raisi, Naibu Spika Tulia (PhD) ana uwezo wa kukabidhiwa kuongoza nchi iwapo dharura ikitokea, hivyo kama ningekuwa Mbatia ningetafuta kingine cha kufanya kama miaka yote hiyo lkn hakuna chochote ulichofanikiwa, kama ni chama hata Wabunge wawili hakina na hii ni kwa miaka 25 anayojisifia nayo!
Tuna mpango wa kufuta viti vya raisKama wewe ndo mwenye uwezo wa kuzuia asichaguliwe basi ataendelea kuteuliwa kama anavyoendelea kuteuliwa Suzana Lyimo tangu 1995 ama 2000 au yule mwingine mtoto wa Ndesamburo miaka yote yuko bungeni kwa kuteuliwa, sembuse Dr. Tulia ambaye hata mwaka hana.
Kwani kichwa Tulia amegombea kupitia jimbo gani?Mbatia Angekuwa kichwa chama chake kingekuwa na mbunge mmoja tu ambaye ni yeye?