Mbatia Angekuwa kichwa chama chake kingekuwa na mbunge mmoja tu ambaye ni yeye?
Miaka 25 yuko kwenye siasa bado mbunge hajawa hata makamu wa Raisi au waziri mkuu au naibu spika?.Ni aibu.Tulia kaanza juzi tu leo naibu spika wa bunge.Yeye Mbatia miaka 25 Hajui hata unaibu spika unafananaje anangoja Tulia amwonyeshe kidole kuwa haya babu uliyekaa kwenye siasa miaka 25 chama chako kikiwa na mbunge mmoja ongea!
Yeye ubunge wa kupewa hajui wenzake walivyo upata kwa mbinde.
Unaamuru Nasari atolewe nje na polisi kama mwizi? Uchungu aliopitia Nasari hadi kuwa Mbunge yeye haujui na hatujui yeye kaupata vipi ule ubunge na unaibu wa haraka haraka
Haha Lumumba bhana. Tulia kaibuliwa from nowhere kaja kukalia kiti cha spika. Wote mnajua kamba alibebwa na serikali na hana uzoefu wowote wa kisiasa wala kibunge. Kuteuliwa kwa Tulia na kuwekwa pske ni dharau kubwa kwa wabunge wa ccm? Wabungevwotevwa ccm hskukuwa na mwenye uxoefu na bunge na sifa ya kuwa naibu spika hadi ikabidi akatafutwe mbunge wa kuteuliwa aje awaongoze! Wabunge ws ccm ni hovyo kabisa!
Hoja yako inaweza kupata mashiko pale utakapotushawishi kuwa ni nani zaidi kati ya aliyechaguliwa na wananchi pamoja kwa kura moja moja na yule aliyeteuliwa na mtu mmoja bila kujua 'alishauriana' na nani!Nafikiri hili dongo alipaswa kujipa mwenyewe yeye Mbatia kama miaka 25 yote bado anasaga lami tu mwenzake aliyekuwa Shule ya msingi leo hii Naibu Spika namba 3/4 Baada ya Raisi, Naibu Spika Tulia ana uwezo wa kukabidhiwa kuongoza nchi iwapo dharura ikitokea, hivyo kama ningekuwa Mbatia ningetafuta kingine cha kufanya kama miaka yote hiyo lkn hakuna chochote ulichofanikiwa, kama ni chama hata Wabunge wawili hakina na hii ni kwa miaka 25 anayojisifia nayo!
Jibu alivyowaita inaleta picha panaKwani unaijua vizuri historia ya mama yake na huyo mbunge dogo wa Morogoro?
Ni kweli. Sina taarifa sahihi but nadhani Mbatia 'alitimuliwa na Mwinyi' pale UDSM mwaka 91 baada ya kutokea mgomo wa wanafunzi, mbatia akiwa raisi wa serikali ya wanafunzi.
Nani akabidhi Nchi kwa Tulia ambaye Bunge tu limemshinda! Aakiachiwa Nchi Tulia siku Hiyo hiyo Jeshi litapindua Nchi hana weledi yy ni Tv remote ipo ikuluNafikiri hili dongo alipaswa kujipa mwenyewe yeye Mbatia kama miaka 25 yote bado anasaga lami tu mwenzake aliyekuwa Shule ya msingi leo hii Naibu Spika namba 3/4 Baada ya Raisi, Naibu Spika Tulia ana uwezo wa kukabidhiwa kuongoza nchi iwapo dharura ikitokea, hivyo kama ningekuwa Mbatia ningetafuta kingine cha kufanya kama miaka yote hiyo lkn hakuna chochote ulichofanikiwa, kama ni chama hata Wabunge wawili hakina na hii ni kwa miaka 25 anayojisifia nayo!
Naibu Spika Tulia ana uwezo wa kukabidhiwa kuongoza nchi iwapo dharura ikitokea,
Stop embarassing your parents.
They didn't raise a fag.got like you.
Kongoza nchi Ni kazi isiyohitaji ujuzi na busara ingekuwa hivyo jpm asingekuwa ikuluNafikiri hili dongo alipaswa kujipa mwenyewe yeye Mbatia kama miaka 25 yote bado anasaga lami tu mwenzake aliyekuwa Shule ya msingi leo hii Naibu Spika namba 3/4 Baada ya Raisi, Naibu Spika Tulia ana uwezo wa kukabidhiwa kuongoza nchi iwapo dharura ikitokea, hivyo kama ningekuwa Mbatia ningetafuta kingine cha kufanya kama miaka yote hiyo lkn hakuna chochote ulichofanikiwa, kama ni chama hata Wabunge wawili hakina na hii ni kwa miaka 25 anayojisifia nayo!
"Nina miaka 25 niko kwenye siasa.Wakati tunapambana kwa ajili ya Watanzania miaka hiyo yote hatukuwahi kuwa na posho.Kipindi hicho kina Tulia walikuwa shule ya msingi"
Source: Mh Mbati, James
Sasa hilo dongo liko wapi?"Nina miaka 25 niko kwenye siasa.Wakati tunapambana kwa ajili ya Watanzania miaka hiyo yote hatukuwahi kuwa na posho.Kipindi hicho kina Tulia walikuwa shule ya msingi"
Source: Mh Mbati, James
Hoja yako ni nini hapa? Una maanisha wewe ni mpuuzi tu kwa Dk Tulia kwa kuwa ana cheo kikubwa kukuzidi, au wewe ndiye JN? Unafahamu vita ambavyo NCCR Mageuzi imekabiliana navyo katika historia ya mfumo wa vyama vingi hapa Tz? Unafahamu nguvu iliyotumika kutaka kukisambaratisha zaidi NCCR Mageuzi kuelekea uchaguzi wa mwaka jana kwa sababu ya kuwa ndani ya Ukawa? Unafahamu nguvu iliyotumika kuhakikisha Kafulila wa NCCR Mageuzi harudi bungeni?Nafikiri hili dongo alipaswa kujipa mwenyewe yeye Mbatia kama miaka 25 yote bado anasaga lami tu mwenzake aliyekuwa Shule ya msingi leo hii Naibu Spika namba 3/4 Baada ya Raisi, Naibu Spika Tulia ana uwezo wa kukabidhiwa kuongoza nchi iwapo dharura ikitokea, hivyo kama ningekuwa Mbatia ningetafuta kingine cha kufanya kama miaka yote hiyo lkn hakuna chochote ulichofanikiwa, kama ni chama hata Wabunge wawili hakina na hii ni kwa miaka 25 anayojisifia nayo!
Nafikiri hili dongo alipaswa kujipa mwenyewe yeye Mbatia kama miaka 25 yote bado anasaga lami tu mwenzake aliyekuwa Shule ya msingi leo hii Naibu Spika namba 3/4 Baada ya Raisi, Naibu Spika Tulia ana uwezo wa kukabidhiwa kuongoza nchi iwapo dharura ikitokea, hivyo kama ningekuwa Mbatia ningetafuta kingine cha kufanya kama miaka yote hiyo lkn hakuna chochote ulichofanikiwa, kama ni chama hata Wabunge wawili hakina na hii ni kwa miaka 25 anayojisifia nayo!