Dongle nzuri ya kisasa nnayoweza kuiona ligi kuu ya Uingereza

stable-negro

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
509
347
wakuu naombeni kujuzwa ni dongle gani nzuri naweza kuitumia kuona channel znazoonyesha ligi kuu ya uingereza kwa wakati huu bila zengwe....mwaka 2013 niliwahi kuona jirani yangu aliekuwa anatumia xman g8 akifaidi sana sasa sijui kama bado utamu ule unaendelea au kuna ki2 kipya sasa hivi.

Natanguliza shukran zangu wakuu; nawasilisha....
 
subiri mwl rct aje atoe jibu hapa
 
dongle inayofanya kazi ni qsat yenye account ya avatacam nayo ili uone vizuri itakulazimu ufunge dish la ft4 upate intelsat 20, kwa upande wa uetelsat w7 channel si nyingi sana. kama unataka kwa ajili ya mpira ni afadhali ukanunua canalsat decoder ambayo utalipia sh.75,000 tu kwa mwezi huku ukicheki ligi kubwa kama epl, la liga na nyinginezo.

sasa mkuu huyo provider wa canalsat ndo nan? Na vp guarantee ya ubora wa picha pamoja na gharama za installations
 
dongle inayofanya kazi ni qsat yenye account ya avatacam nayo ili uone vizuri itakulazimu ufunge dish la ft4 upate intelsat 20, kwa upande wa uetelsat w7 channel si nyingi sana. kama unataka kwa ajili ya mpira ni afadhali ukanunua canalsat decoder ambayo utalipia sh.75,000 tu kwa mwezi huku ukicheki ligi kubwa kama epl, la liga na nyinginezo.

Kwanza hiyo sio official website hicho ni kiblog uchwara tu
Pili canalsat na supersports wapi na wapi?

Hili ni li donja magumashi kama mengine tu unless prove otherwise

No hard feeling........ Mmeibia sana watu na madonja yenu
 
dongle inayofanya kazi ni qsat yenye account ya avatacam nayo ili uone vizuri itakulazimu ufunge dish la ft4 upate intelsat 20, kwa upande wa uetelsat w7 channel si nyingi sana. kama unataka kwa ajili ya mpira ni afadhali ukanunua canalsat decoder ambayo utalipia sh.75,000 tu kwa mwezi huku ukicheki ligi kubwa kama epl, la liga na nyinginezo.

Acha utapeli wewe ndio unaongoza kitapeli watu hivi vidude kwa sasa havifanyi kazi,kwa nini hamsemi ukweli?mwizi mkubwa kazi utapeli tu.
 
Back
Top Bottom