Martrix_32
JF-Expert Member
- Dec 1, 2025
- 1,025
- 2,051
hakika, kama hii nliisikia " yani mimi tangu nijielewe na kuwaelewa watu sina rafiki my friend " πWengi wanaamini kiingereza ni kipimo cha ustaarabu na kuwa na akili.
tuithamini lugha yetu na iendelee kukua kimataifa πͺKiswahili tunakichukulia kama lugha ya kuombea chenji
Ni ngumu kuondoa lafudhi, chamsingi unazingatia sarufi ya lugha husika. Sisi sarufi inatutesa.Sasa mbona English ya hao mabwana ni broken vile vile?
Kiingereza ni kama hakitutaki watanzania.View attachment 3591661
ππππ
Hakuna mbaya tumeelewa vizuri hii sio lugha yetu,angekosea kwenye kiswahili ningempuuza kabisa.View attachment 3591661
ππππ
si ndiooo πLugha yako unatakiwa utambe nayo kiufasaha.
Hii inaandikwa sana na watu wanaotaka kuonekana wajanja.hakika, kama hii nliisikia " yani mimi tangu nijielewe na kuwaelewa watu sina rafiki my friend " π
Hakika mkuu.tuithamini lugha yetu na iendelee kukua kimataifa πͺ
Ni akili za kibashite ndio zinawasumbua hawa mbuziHalafu nimekuja kugundua watu wengi wakishaona kiingereza kinawapiga chenga wanaanza kusingizia kwamba kiingereza sio lugha yetu.... Sasa tunakiongea cha nini wakati sio lugha yetu... Kiingereza kikikupiga chenga kubali tu usilete visingizio.
AHaha hao wahindi inawatesa kama wengi wetu huku mkuu .bahati nzuri kozi nyingi nilizosoma nimefundishwa na Madoctor wa kihindi na moja ya kozi nilifundishwa na Professor kabisa.Ni ngumu kuondoa lafudhi, chamsingi unazingatia sarufi ya lugha husika. Sisi sarufi inatutesa.
Chadema imeingiaje hapa, akili kama za BashiteIla wafuasi wa CHADEMA!, hivi angekuwa HECHE ungeleta huu Ushuzi humu?
Wabongo tuna allergy na English. Imagine huyo ni waziri na ana degree! Professor Ndalichako akizungumza ndio utazimia kabisa.
Una hoja. Mtu anaweza kuwa vizuri kwenye maandishi na kusoma, ila matamshi hawezi.AHaha hao wahindi inawatesa kama wengi wetu huku mkuu .bahati nzuri kozi nyingi nilizosoma nimefundishwa na Madoctor wa kihindi na moja ya kozi nilifundishwa na Professor kabisa.
Huwezi kuconclude totally kwamba ufasaha wa kuongea kiingereza ndio kipimo cha elimu ya mtu. Waturuki wanamaengineer kibao ila unakuta english yao ya kudokoa dokoa, hao wachina usipime.
Mbona wanasahihishwa sana tu. Tena alikuwepo kiranja mkuu FaizaFoxy akikunasa anakuuliza "huko shuleni mlisomea ujinga eeh".Nje ya mada,
Hivi kwanini ni rahisi zaidi mtu kukosolewa anapokosea neno la kingereza kuliko kukosolewa pale anapoongea neno/sentensi kwa lugha ya Kiswahili na kukosea?
Mfano unakuta humu JF mtu akisahihishwa kuandika Kiswahili kwa ufasaha anakua mkali!
leo dada
Yeah ufahamu wa english ni muhimu sana hilo silipingi. Mwaka fulani nilikuwa najaribu kufatilia jinsi mtu anaweza kuwa wakala wa P2P kwenye binance,, kiufupi kule kama english yako ni ya darasa la 2 huwezi kutoboa. Kwa lughs nyepesi kwenye Crypto kama hujui english kaa napo mbali labda kwavile watu wanatransilate siku hizi.Una hoja. Mtu anaweza kuwa vizuri kwenye maandishi na kusoma, ila matamshi hawezi.
Lakini naamini kwa nchi masikini kama hii yetu kiingereza ni lazima aisee.
Ufahamu wa kidunia(global awareness) wa masuala kama AI, stablecoins nk. tunaupataje bila kiingereza? Na hatupaswi kuachwa nyuma kabisa.
Basi asiongee, kwani angepoteza nini kuongea kiswahili?Kingereza sio lazima.
Kukosea kuongea lugha Fulani isiyo yako sio tatizo
Kuna kitu huelewei,AHaha hao wahindi inawatesa kama wengi wetu huku mkuu .bahati nzuri kozi nyingi nilizosoma nimefundishwa na Madoctor wa kihindi na moja ya kozi nilifundishwa na Professor kabisa.
Huwezi kuconclude totally kwamba ufasaha wa kuongea kiingereza ndio kipimo cha elimu ya mtu. Waturuki wanamaengineer kibao ila unakuta english yao ya kudokoa dokoa, hao wachina usipime.
Hata wewe unaweza kumsaidia kujibuHilo swali mkuu mtafute makonda muulize.
Mimi nazungumzia tabia ya wabongo wenye kucheka broken za watu.
Sasa kwa nini hakuongea lugha yetu?Hiyo lugha sio yetu , kinachoshangaza upo busy kumkosoa mtu kwa lugha ambayo sio asilia yake.
Usomi sio kujua kiingereza.
Tazama china, tazama India, Pakistan, Japan ENGLISH wanayoiongea ni mbovu sana ila.....
Hiyo lugha sio yetu , kinachoshangaza upo busy kumkosoa mtu kwa lugha ambayo sio asilia yake.
Usomi sio kujua kiingereza.
Tazama china, tazama India, Pakistan, Japan ENGLISH wanayoiongea ni mbovu sana ila.....
it's a good english na ujumbe umeeleweka. kuna tatizo?Wabongo tuna allergy na English. Imagine huyo ni waziri na ana degree! Professor Ndalichako akizungumza ndio utazimia kabisa.