Sio sawa na broken English anayozungumza BashiteHizo unazoita wewe swaga sio swaga bali ndivyo wanavyoongea kiswahili na ukiongeza na tatizo la R na L. Makosa mengine yanayofanyika kwenye kiswahili hata hatujui kama ni makosa.
Halafu nimekuja kugundua watu wengi wakishaona kiingereza kinawapiga chenga wanaanza kusingizia kwamba kiingereza sio lugha yetu.... Sasa tunakiongea cha nini wakati sio lugha yetu... Kiingereza kikikupiga chenga kubali tu usilete visingizio.Hiyo lugha sio yetu , kinachoshangaza upo busy kumkosoa mtu kwa lugha ambayo sio asilia yake.
Usomi sio kujua kiingereza.
Tazama china, tazama India, Pakistan, Japan ENGLISH wanayoiongea ni mbovu sana ila.....
Kwani kalazimishwa kuongea kingereza, kama hajui si atafute mkalimani kuliko kuongea madudu.Hiyo lugha sio yetu , kinachoshangaza upo busy kumkosoa mtu kwa lugha ambayo sio asilia yake.
Usomi sio kujua kiingereza.
Tazama china, tazama India, Pakistan, Japan ENGLISH wanayoiongea ni mbovu sana ila.....
Hili tatizo kuisha ni mfumo mzima wa elimu kubadilishwa, Kingereza kiwe lugha ya kufundishia kuanzia darasa la kwanza(shule zote ziwe ni English medium), tofauti na hapo viongozi waongee Kiswahili tu kama vile China, India, Urusi, Iran na Ethiopia ambavyo viongozi wanatumia lugha zao na wanakuwa na wakalimani kutafsiri.Ujue hili tatizo ni la watanzania wote sio Makonda tu.
Tunaweza tukawa sahihi kwa kuwakosoa hawa viongozi hapa na pale, lakini tatizo linaishaje?
Nina uhakika mleta mada naye akipewa nafasi ya kujieleza kwa kiingereza ataboronga.
Ila wafuasi wa CHADEMA!, hivi angekuwa HECHE ungeleta huu Ushuzi humu?
Hii hoja haina nguvu kabisa.Usomi sio kujua kiingereza.
kama hujui kiingereza lazima utababaika kumuelewa, but for sure muungwana ameupiga mwingi tena simple tu kama vile anaongea kuisukuma tu 🐒
Kwasababu ya tafiti. Mhadhiri bora ni yule aliyechapisha tafiti nyingi na mpya kwenye taaluma husika.UDSM , UDOM , SAUT pemajaa wahadhiri Wahindi kwenye department za sayansi unajua kwanini?
Waafrika tulio wengi bado tuna ukoloni mamboleo vichwani mwetu.Nje ya mada,
Hivi kwanini ni rahisi zaidi mtu kukosolewa anapokosea neno la kingereza kuliko kukosolewa pale anapoongea neno/sentensi kwa lugha ya Kiswahili na kukosea?
Mfano unakuta humu JF mtu akisahihishwa kuandika Kiswahili kwa ufasaha anakua mkali!
leo dada
nadhani kwasabab si lugha yetu rasmi, pia inachekesha zaid ukichapia kiingereza kuliko kiswahili !Nje ya mada,
Hivi kwanini ni rahisi zaidi mtu kukosolewa anapokosea neno la kingereza kuliko kukosolewa pale anapoongea neno/sentensi kwa lugha ya Kiswahili na kukosea?
Sasa mbona English ya hao mabwana ni broken vile vile?Kwasababu ya tafiti. Mhadhiri bora ni yule aliyechapisha tafiti nyingi na mpya kwenye taaluma husika.
Wanaajiriwa hao wahindi kwasababu wana vigezo. Watanzania weusi hatuna utamaduni wa kujali kuhusu taaluma.
Huko mtaani hata humu JF, asilimia kubwa ya watu hawajui sarufi ya kiswahili fasaha.Kwanini mtu akiongea kiswahili kibovu na ni mswahili kabisa huwa hatumcheki?
Tunathamini visivyo vyetuNje ya mada,
Hivi kwanini ni rahisi zaidi mtu kukosolewa anapokosea neno la kingereza kuliko kukosolewa pale anapoongea neno/sentensi kwa lugha ya Kiswahili na kukosea?
Wana Ugonjwa wa akili tu hao!!!!! Lugha yako unatakiwa utambe nayo kiufasaha.