Mwanagenzi
JF-Expert Member
- Sep 11, 2006
- 741
- 281
Huwa kuna msemo wa kuonyesha kuwa mtu fulani "ameshindikana" pale anapoambiwa "Aliyekuloga kisha kufa".
Je, mtu akikuloga na kisha mlozi huyo akafa kabla aliyelogwa hajapona, basi mtu huyo aliyelogwa haezi kupona tena? Kuna ukweli gani juu ya madai au dhana hii?