Yeah mimi ni mhunzi halisi
same tribesicomment tenaView attachment 331030Good...! Take this its a brotherly gift please don't ignore
It's a guardian angel wherever you are in the tight situation

Ahah! kumbe msabato mwenzangu mkuu! unamkumbuka pastor mhando?! Kwa ss anasali mbezi kama muumini wa kawaida maana aliasi sasa amerudi au na fitz henry jangwani 1999-2002?!Nimetoka msata jana leo Sabato
meditation,inaweza kufungulia hizo nguvu hizo?sijawahi wala sijui nafanyaje hio meditation,vp una materials kuhusu meditation?Achana na ushirikina...anza na meditation
Inaweza kwakuwa ni self practice. ni topic ndefu...kuna post nyingi humu kuhusu meditation zisearchmeditation,inaweza kufungulia hizo nguvu hizo?sijawahi wala sijui nafanyaje hio meditation,vp una materials kuhusu meditation?
poa,ila kabla hauja sign out,naomba unitag ktk thread ile inayo zungumzia dini na madhehebu ya ukristo!Inaweza kwakuwa ni self practice. ni topic ndefu...kuna post nyingi humu kuhusu meditation zisearch
Duh!!! Kweli elimu haina mwishoSi kila mchawi au mshirikina ana uwezo wa kupaa...uchawi na ushirikina una level zake kama ilivyo kwenye viwango vya elimu![]()
Mchawi anayejipendekeza kupaa bila kupata maarifa kamili hujikuta akipiga mweleka mkubwa sana kutokana na uzito wake au vinginevyo
Na huko angani kuna tufani za kila aina Usijaribu kupitisha helicopter yako kwenye anga la Boeing hutafika safari yako
Lakini pia kwenye kupaa kuna mahesabu yake...kwamba utapaa upande gani na umbali gani na urefu gani.kwamba kama unaenda Lamu kwa mwendo wa kawaida pengine ni masaa matatu hivi lakini wewe unataka kwenda kwa sekunde tatu tuu inabidi ujigawe roho na mwili yani unacheza kamari na Mungu
Kwahiyo unautanguliza mwili kwanza kisha ndio roho hufuata...vikishafika vyote salama huungana tena na kuwa binadamu kamili na kuendelea na mambo yake

Nitag na mie puliziii.. mshana jrIpo hiyo mbona? Tena ya mwaka jana mwanzoni ila niliitwa majina yote mabaya kwa wafia imani zao...nikiipata takutag
Imeshindikana ndugu yangu! Nimevumilia nikashindwa kabisa nikaona nisizidi kujitesa
mazoea mabayaaa sana!