Kipaji Halisi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 2,280
- 1,364
Pipplikfikfuii[IiiigkjMG][/IMG]
To
To
Kulikuwa na katazo la wachawi kutopaa zaidi ya Mita 150 nchini Swaziland, na wachawi walilalamika wakisema watairoga serikali, sijui iliishia wapi ile issue.
Witches can’t fly brooms above 150 meters in Swaziland
Bado hujachelewa kaka mkubwaNatamani mno kuachana na haya madude
Kuchepuka tu.. ukute anadafiria fagio.. teh teh!Mwache amwage vitu, utakuta mtu anakomaa machoni kwa watu ooh, nasubiri Pasaka ipite huku nyuma ya pazia anachepuka.
mh hebu ni tagg na mimiIpo hiyo mbona? Tena ya mwaka jana mwanzoni ila niliitwa majina yote mabaya kwa wafia imani zao...nikiipata takutag
Nimejiuliza hilo swali hata mie! mana naona imekua kama tangazo linalowavutia wengine humo wakati mtoa tangazo anasema kastaafu. SIJAONA FAIDA NA HASARA ZAKE. MLETA MADA ANGEJARIBU KUTUELEZA KWA NINI HAO WANAOTUMIA USAFIRI HUO WASIBEBE ABIRIA WAKAPATA PESA. AU ni matajiri! Vitu kama hivi kama vinaendeshwa kwa uficho lazima MADHARA yake ni MAKUBWA kuliko upeo wa kufikiri kwako nashangaa mnaotaka kujitumbukiza kichwa kichwa kwa matangazo rahisiMshana somo hili linatundisha nini kaka?, si ulishastaafu!? napenda nimeet na wewe siku 1 kwani inaonyesha una nondo za kutosha kuhusu ulimwengu usionekana.
kwahiyo hapo jamaa amepaki??😀😀😀Kupaa kwa ungo huo ni usafiri wa wengi kama daladala na ni usafiri wa kimaskini
Kupaa kwa fimbo huu ni advanced na usafiri binafsi sana sana unaweza kumpa lift mtu mmoja na hapa kuna majini yanahusika
Kusafiri kiroho hii ni level ya juu kabisa ambako kwenye uchawi huu huu hakuna time limit wala umbali yani ni kama dunia iko kiganjani mwako na ni kiasi cha kujisogeza tuu
![]()