Dondoo za kupaa kichawi

Dondoo za kupaa kichawi

Wewe mshana utakuwa ni bonge LA mwangaaaaaa... Yaani kama we ndo Rafiki yangu tutaishia kupiga story tu!!! Kwangu hutapaju aiseee
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji86]
 
Just for story!!!! No need for you to know the place I am living!!! You have to nota bene that!!!!! You have magical powers to fly high and high during night
[emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Interesting...haifai kuomba lifti?kama nataka kushangaashangaa pande flan nikiwa angani.
 
mshana jr kuna movie ya kinigeria nilionaga wachawi walienda kusafiri kiuchawi wakatoka roho ikabaki mwili sasa walivorudi wakawa wanahangaika kurudia mwili mana walivoondoka kuna mmoja aliupaka dawa. Hivi ikishindikanaga hivo huyo mchawi hufa moja kwa moja au?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom