Amani Emanueli
Member
- Jul 5, 2019
- 6
- 3
Kwa hakika fanyeni kudondoaha new update s wadau
ukiwa na laki 3.5 unaishi vzr sana nchi kama Thailand kwa mwezi mzima... vizuri kufuatilia maisha nchi husika kabla ya kuogopa kutoka. si fursa zote zinakuja na full kila kitu...
Aisee, VP naomba unitext inboxlengo langu kusoma kozi ya afya nje ya nchi msaada wa sponsor plz!
Hizi muda wake utakuwepo kwel?Kuna hizi hapa Scholarship za Masters za UK za Commomwealth..
Naomba mniadd plzMkuu kila nikijaribu link inashindikana naomba nikupe namba uniadd...
Mkuu kila nikijaribu link inashindikana naomba nikupe namba uniadd...
Naona group limeshatengenezwa only kwa ajili ya scholarship na malengo yawe hayo kupeana update tu
GPA ya 2.5+ unapiga zako scholarships safi kabisaNaomba kuuliza.Ili uweze kupata scholarship ya MASTERS DEGREE nje ya Africa inabidi uwe na G.PA ya ngapi kwenye undergraduate degree yako?.Mi nimesoma BACHELOR OF SCIENCE WITH EDUCATION
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu habari ya muda....
Nimefungua uzi huu ili tuweze kupeana dondoo za jinsi ya kutafuta na hatimaye kupata ufadhili wa masomo nje ya Tanzania.
Tuweke matangazo ya nafasi za masomo kokote nje ya Tanzania, tupeane maelekezo na hatimaye wengi wetu tutoke na kwenda kujifunza dunia inaendaje upande mwingine wa Dunia.
Nitakuwa mstari wa mbele kutoa updates na maelekezo kadiri nitakavyoweza....
Karibuni sana!
Brunei darusalam hapo Shimoni Pesa ipo nchini mwao ila usitegemee vimwana wala Ulabu nchi Hio hawa import pombe aina yoyote wala kutengeneza POMBE huja nazo watalii wenye level ya juu financial
Deadline yake imeshapita ...ilikuwa tar 15 Jan 2020Hizi kuna mtu amejaribu?maana naona hii link haifunguki kwenye simu
View attachment 1330521
Sent using Jamii Forums mobile app
Deadline yake imeshapita ...ilikuwa tar 15 Jan 2020
Sent from my SM-G532F using Tapatalk
Vyuo vya Asia naona haviko competent sana kama Europe..Kuna hizi pia za Japan....
The Master of Science in Sustainability programme is a two-year programme, which provides students with the knowledge and practical skills necessary to contribute to solving challenges of sustainability. Drawing on an innovative, interdisciplinary approach, the programme integrates methods and resources from the natural and social sciences, as well as the humanities. The programme is intended for recent graduates, professionals and practitioners who seek to meaningfully contribute to the work of governments, civil society, the private sector, and/or the UN and other international organizations in the area of sustainability.
The programme builds on UNU’s strong record in research and capacity development, as well as the extensive network of scholars and academic institutions participating in UNU research. The programme is practice-oriented, user-focused, and of the highest academic quality. It provides students with unique opportunities to interact with leading scholars and policymakers through lectures, international conferences, and workshops.
The programme starts in September, and by July of the second year students must complete the course requirements, obtaining at least 30 credits. Students can select courses from those offered by UNU-IAS, while also enjoying the opportunity to take courses at other leading universities in Japan such as the University of Tokyo, Sophia University, International Christian University, and Yokohama National University.
MSc in Sustainability (2023) - Institute for the Advanced Study of Sustainability
The programme builds on UNU’s strong record in research and capacity development, as well as the extensive network of scholars and academic institutions participating in UNU research.ias.unu.edu