Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

Nna shauku ya kusoma Masters lakini hiwe ni Scholarship ya ndani ya nchi au nje... Tafadhali wakuu mkiwa na link mtusaidie humu tufanye maombi
Anza na hii hapa. Mlango wa application kwa mwaka huu umefunguliwa tarehe 1 August na utafungwa tarehe 31 August. See the link below:


HAMISI Nuru
 
Kusoma nje ya nchi hata hizi za hapa Afrika mashariki Mimi nachukulia very positive kwa sababu kunavitu unaweza kujifunza kutoka kwa wengine kuliko elimu yako yote uipate hapa hapa Tz tu. Binafsi nitafurahi nikipata abc kutoka kwa wale waliosomea nchi zetu hizi zilizotuzunguka kwasababu hata gharama sio kubwa Kama nchi za mbali. Natanguliza shukrani kwa yeyote atakaenipa connection na ABC kutoka nchi zetu hizi za jirani kwa masomo ya kozi za afya.
 
Mtu anayetaka kwenda kusoma lugha mfano English language pia anatakiwa afanye kwanza mitihani ya lugha kabla ya kwenda kusoma hiyo lugha!!!
Lugha unasoma kama lugha. Mitihani ni kwa ajili ya kupima uwezo wa kusikia, kuongea, kuandika, na kuzungumza kingereza.
 
 
Kama una degree na una bajeti ya kuanzia M 7 achana na shule njoo nikuelekeze uombe intern USA na ndo mwazo wa kusettle huko.
 
Back
Top Bottom