Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

Habari wanajamvi,,,,naitaji scholarship za information technology (IT) full funded, kwa mwenye tetesi za iyo kitu msaada tafadhali
 
Wakuu naweza kupata scholarship ya kusoma bachelor degree ya accountancy kwa kutumia cheti cha Bodi ya Wahasibu Tanzania (NBAA) ATEC level 2
 
Wadau naomba msaada wa maelekezo ya kufuata kwa ajili ys kusoma Masters in Economics, iwe full funded scholaship.
 
Msaada wakuu namna ya kupata scholarship...na msaada katika documents muhimu kwa mwaka 2023. Upande wa Phd, nina (M.A. Ed.)
 
Back
Top Bottom